Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaanza kuja na hoja za kitoto
Utoto wake upo wapi hapo. Yaani kuna mtu anasema kwamba yale makombora yanayojaribiwa Urusi yatarushwa mpaka White House, na mimi nasema kwa nini wasubiri warushe washington wakati jamaa alikuja hadi Kyiv? Ukiona kitu hukielewi siyo kwamba LAZIMA kiko chini ya kiwango, inawezekana wewe ndiye uwezo wako wa kuelewa ndiyo uko chini ya kiwango.

Yaani nyie hamuwezi kujenga hoja mpaka mseme mambo ya hoja za kitoto, ushoga, ujinga, na mengineyo?? Jifunzeni kuwa watu wazima kwa kujibu hoja kwa hoja badala ya kutafuta sifa kwa kuita watu kwa sifa za ajabu ajabu!!
 
Umem quote nani aliesema hypersonic inaweza kutumwa white house? Kama kuna alie sema hivo nae ni mtoto mwenzio
 
Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili

Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Kitu cha kwanza ulipaswa kujiuliza kwa nini Russia kaamua kupeleka jeshi Ukraine? Chanzo cha Russia kuanzisha military operation hapo Ukraine ni nini? Putin ni kichaa kwamba aamke tu na kurusha makombora nchi nyingine?

Jua kwamba mgogoro huo haujaanza feb 24, 2022 pale Russia ilipotuma missile ya kwanza kwenda Ukraine, mgogoro huo una historia ndefu.

Kwa kujiongezea ufahamu Kapitie mambo machache ukianza na geopolitical situations

Anzia na youtube link hiyo

Humo ndani wamegusia kidogo ishu ya US ilivyoingilia michakato ya changes za viongozi wa Ukraine, wenyewe wanafikiri nani awe kiongozi na nani hafai kuwa kwenye uongozi mpya



Ukiachana na hapo, rudi nyuma kapitie nini kilipelekea kuvunjika kwa Partition Treaty/Karkiv pact kati ya Russia na Ukraine, ingia chimbo fanya utafiti wa majarida kujua sababu.

Kwa ufupi kujua nini maana ya hizo treaty pitia link hiyo





Lakini pia mwaka 2021, mshauri wa Putin alitoa accusation kwa US kwamba wanatengeneza biological weapons karibu na mipaka ya Russia,

unajua biological labs ambazo Russia walikua wanaziongelea zilikua wapi?
 

Attachments

  • 20230330_002007.png
    329.3 KB · Views: 17
Angalau serikali ya China inawekeza sana kwa kununua US tresury bonds. Nikielewa vema wanafuata shabaha ya kuwa na thamani ya juu ya US Dollar.
Hata hujaelewa logic ya nilichouliza!Kwa lugha nyingine,kwanini baadhi ya nchi zimeanza kuingia bilateral agreements?
Ukiwa mtu tajiri,can u trust Western system ya kuwekea individuals sanctions kisa tu ni raia wa nchi fulani?
Nafurahi nchi nyingi za Africa na hata Ghana alipotoka VP wa US kuwa hakutakuwa na exclusive partnership!
 
Waafrika naona wamechoka kuwavumilia wamarekani

Speaker of the Ghana Parliament Alban Bagbin explained to Kamala Harris what democracy is in response to her criticism of the Ghanaian anti-LGBTQ law
: They will ask questions, like the vice president did yesterday. I want to say that such things should not be allowed. This is undemocratic. What is democracy? Someone has to dictate to me what is good and what is bad. Is it unheard of because we decided to devalue ourselves and go begging? Come on, we've got more than enough. God has created more than enough for every person. The bill will be passed.

Note: These are the views of the politician and the government of Ghana. We don't discriminate against people because of their genders/gender, religions, or cultural identities.
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 

Aisee we jamaa una upungufu wa maarifa asa kwenye energy resources, hivi kwa karne ya sasa kuna energy gani rahisi ya kuendesha uchumi wa viwanda ukiacha makaa ya mawe, gesi na mafuta?, hakuna alternative ya hivi vitu kwa sasa na miaka mia ijayo, hakuna green energy inayoweza kureplace hvyo vitu kwa gharama ya chini na upatikanaji ukawa mrahisi.
 
Hujui lolote
 
Ni kweli, Urusi kwanza haiiti hii ni vita bali ni ka Operation ka kijeshi kadogo - kwa hiyo anaipelekaa mdogo mdogo hadi mataifa yote ya Magharibi pamoja na US na NATO yao yatepete afu ndiyo aimalize kwa mbwembwe.

Putin si wa mchezo ndugu.
Hahahahaha mwanzo walihisi Putin hana silaha ila kumbe anazo na uwezo wa kuzalisha nyingi anao. Mkimnyima semi conductors anazalishia Iran 🤣🤣🤣!

Lengo ilikuwa yeye aishiwe silaha sasa kawageuzia kibao NATO na lengo ni kuiangusha Dollar na Dola zao. Kwahiyo hii operation haitaisha hadi Ukraine yote iishe na kuisha kwa Ukraine maana yake ni pigo kwa USA na uchumi wao maana wenye akili washaanza kurudi kwa siri kununua gas na wese la mrusi.
 
Hahahahah jamaa kapewa AD za mchongo kmmmk dah😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…