Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



Near Bakhmut, the Armed Forces of Ukraine destroyed an ammunition depot and military equipment of the russian invaders with one shot.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#Ukraine should already start preparations for receiving from foreign partners F-16 multi-purpose warplanes, including training pilots, preparing maintenance bases, and setting up an airfield network.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nimeshasema mara nyingi sana humu kwamba hiyo ni sera ya Democtratic. Huwezi kuta Republicans wanatishia watu kwa sababu ya mambo ya ushoga. Siku wakiondoka madarakani, huwezi sikia aina hiyo ya vitisho.
Kipindi cha Trump,Makonda alipigwa ban na US!Moja ya sababu ni kuminya haki za mashoga!
Trump ni republican!
 
Marekani haijawahi kuwa na hofu kama safari hii
Marekani Iko na hofu kubwa sana,
Hii ni kwa sababu safari safari hii inasababishwa kua wamejikuta Wana dili na mwerevu .
 
Ukosoma vizuri,wamemnukuu Putin akisema "It could be a lengthy process",wao Wakaja na heading Yao!
So hapo wamemuwekea maneno mdomoni!
Ila hapo hapo wanasahau kuwa alisema malengo lazima yatimie na Victory is inevitable!
Sasa mtu aliyesema ataendelea na SMO mpaka malengo yatimie,ndio huyo wanakuja kugeuza maneno yake!
 
To date, the sanitary losses of the Russian army exceed 220,000 people, British Defense Minister Ben Wallace said in an interview with Sky News.

"The Russian military is experiencing significant and deep systemic problems right now. The latest US estimates I've seen put the casualty figure at over 220,000 wounded and killed," Wallace said.

In February, British intelligence estimated the sanitary losses of the Russian army at 175,000-200,000 people.

Join our telegram channel for more videos - link in comment

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Lazma vifaa vifike kwenye Uwanja wa maangamizi hiyo ndo njia pekee ya Urusi kupata au kuteka vifaru vizima. There much more to this war than just Ukraine
 
Hao wanao kimbilia kwenye City Center na kwa kuwa raia wamekwisha hama basi binafusi ningemshauri Putin kwamba wanajeshi wa Ukraine walio kimbilia katikati ya mji awamalize kwa mvua ya white phosphorous incendiary agents - kwa kuwa wengi wa wanajeshi hao wala si raia wa Ukraine majority ni some US/NATO troops na mamluki.
 
Waki,waki,waki,waki waki🚮🚮 Nini kinwazuia wasiende?

Hapajawa na sababu maana ka-Ukraine kenyewe kameweza kulemaza hilo lisupapawa mnaloliabudu.
Tulitegemea litafumua ka-Ukraine kwa wiki moja, leo mwaka umeisha limeliwa hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…