lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Ukweli hata Mimi kabla ya SMO hii,nilikua naiona NATO kama kiboko ya Urusi,aisee SMO hii imenifunza kitu kikubwa mno ambacho nilikua sijui.NATO hiyo inayopigwa Kama ngoma? Saizi hata ikisogea hakuna tatizo kumbe mdabwedo tu.
Boss, Urusi hajawahi Sema anataka Ruble iwe fedha ya kimataifa, nilichosikia na kuona machapisho ni kuwa; Kila taifa linalofanya Biashara na taifa fulani basi watumie sarafu za Nchi zao...kama wewe ni British unanunua simu Ufaransa, tumieni Pound na franc kwa mauziano yenu...huku bongo tunanunua Sana vitu kutoka Kenya India China na Japan, tunazo exchange zao hapa chin, kwanini tuhangaike kuweka Akiba ya makaratasi ya nchi ambayo haihusiani? Ndicho Urusi anataka kukitoa..kila mtu Anunue kwa fedha za Nchi unayonunua kitu chako, no uza kwa fedha ya nchi yako.....Unayajua malengo ya Euro? Lengo ni kuipa nguvu dollar, siku akikupiga sanction yaani ndan ya siku Moja keshakumaliza...Tumewashtukia wahujumu uchumi wa nchi Nchi zetu ni nyie mnaoipigania Dolar iwe medium of exchangeUkiwa na pesa nyingi hivi kama Musk kila badiliko la pesa fulani linamaanisha ama faida au hasara kubwa kwenye akaunti yako.
Ila mataifa kujitenga na USD?? Ni ndoto. Nchi nyingi zinapunguza kiasi matumizi ya USD lakini hazijitengi. Miaka kadhaa iliyopita wengi waliofikiri Euro itapita USD lakini haikutokea.
Ona China: In July 2019, China's State Administration of Foreign Exchange announced that at the end of 2014, US dollar assets accounted for 58% of China's total reserves, down from 79% in 2005; adding that its share of US currency assets was lower than the global average of 65% in 2014.[13]
Maana hawakupunguza matumizi ya USD, ila kuongezeka kwa akiba ya forex, waliongeza zaidi Euro na Yen kuliko USD hivyo asilimia ya USD imepungua kwa jumla.
Ona Uhindi: India's foreign exchange reserves are mainly composed of US dollar in the forms of US government bonds and institutional bonds.[5][6] with nearly 7.34% of forex reserves in gold.
Uhindi bado sehemu kubwa kabisa ni USD.
Una namba zozote zinazoonyesha Ruble?? Katika nchi gani?
Urusi pekee kwa sasa imeweka asilimia kubwa kwa dhahabu 8ambayo ina hatari yake kiuchumi) na Renmin ya China. Ila wanafanya vile kwa sababu akiba za USD zao zimekamatwa na akaunti kufungwa.
Ona wastani wa nchi 149:
View attachment 2574290
Uwezekano mkubwa Dolar itaendelea kupungua polepole. Ila Ruble haitakuwa sarafu ya kimataifa.
Soma:
In the last two centuries, the world has seen three significant reserve currencies. The pound sterling dominated in the 19th century. In the course of half a century, the US dollar gradually overtook sterling. In the last decade, the euro has emerged with 27 percent of global currency reserves, while the dollar still holds two-thirds. Sterling and yen account for 3 to 4 percent each, leaving less than 1 percent for other currencies.
The real question is whether the dollar will disqualify itself as a reserve currency and give way to the euro, or possibly the Chinese renminbi in a few decades. But the ruble hardly complies with any of the arduous demands for a reserve currency, having become convertible as late as July 2006.
The Ruble as a Global Reserve Currency? No!
Do you remember the Kremlin hubris of the summer of 2008? Forget it! The ruble cannot possibly become a reserve currency for the next half-century. To become a major financial center, Moscow needs many years of serious reforms not even contemplated today. In June 2008, Prime Minister Vladimir...www.piie.com
Hilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.Mkuu, hilo pori si ndio linaleta mgogoro? Gesi Mafuta makaa mbolea, mashamba....si ndio yanayowatoa udenda US had anaanzisha cold war? Au sababu ya Ukraine 'kuvamiwa' ni nini haswa...labda hatujajua kwanini Urusi 'imeivamia' ukrain
Umetema madini adimu sana Mkuu.haya maneno ya kwenye Kanga ndio yanayokuonyesha uko wa kawaida kiasi gani??...!!!...Super Power Uchwara ... Europe yote inayumba sababu yake...., kuna nchi inayoweza kuonyesha direct threat kwa US hapa duniani na ikabaki salama kama anavyofanya Russia..???....hata China na uchumi wake mkubwa ... hawez onyesha umwamba namna hii..mbele ya US na akabi salama...!!
Mbona huzungumzii ile Shadow Military Command ya NATO...iliyofunuliwa na Kinzhal hypersonic missile.. na kuteketeza 100's ya NATO Specialists...??
Marekani....hana uwezo wowote wa Kijeshi wa kuifanya Russia...hana...combined na NATO yote...,,, kama ni Conventional Millitary Hardware...kwenye SMO hii.. Russia ameonyesha ni Mwamba kiasi gani..,,Nuclear hata tusiongee sababu iko wazi nani ni mwamba...!!!
Silaha kubwa ya Marekani kwa Russia ilikuwa ni 'Sanctions'...ndio maana mwanzoni mwa Vita .. BIDEN alikuwa anampiga mikwara PUTIN...waziwazi kwamba atajuta...sasa ni mwaka zaidi...US hana cha ziada kwenye Sanctions...amemaliza vikwazo vyote...hadi kwa michepuko ya PUTIN todate hakuna kilichofua dafu...!!!
hv nchi kama Russia kwa yote inayoyafanya kupambana na Collective West.... huku akiwa the most ever sanctioned Country on Earth..
na bado anawakilisha namna hii...unawezaje kumuita Super Power Uchwara...!!!...lazima either Mahaba ya West yamekuzidi au unajitoa ufahamu...
Issue ya Finland...PUTIN alishasema wazi hana tatizo na hzo nchi kujiunga NATO..but issue itakuja hao NATO watafanya kitu gani baada ya kuingia hapo...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Basi ndo maana hawavionei huruma kama pale Vulhedar walikuwa wanavijaza tu hawaoni tatizo.Hajaishiwa ndio maisha yake yalivyo kwake, ila kwa mtazamo wa kimagharibi kaishiwa. Niliwahi andika tatizo la rushwa, kutojali na wizi wa mali za umma kwa Urusi ni kubwa na lipo sana jeshini. Unategemea nini kwa nchi ambayo matajiri wake wakubwa karibia wote ni oligarchies, nchi zingine kubwa utasikia huyu kakusanya mitaji kuanzisha kampuni ya magari ya umeme, huyu kaanzisha kampuni ya kuuza vitu online, huyu ana kampuni ya teknolojia ndio matajiri hao. Urusi matajiri wake ni huyu alibinafsishwa kampuni ya mafuta USSR ilipoanguka, huyu alibinafsishwa machimbo ya makaa ya mawe, huyu aluminium.
Urusi on paper ina vifaru vingi sana, doctrine yao ni kuwa na namba kubwa haijalishi performance na serviceability ikoje. Wana vifaru kama T-54 vimetengenezwa miaka ya 1950s kabla Stalin hajafariki na walifanya upgrade unakuta miaka ya 1960s ndio navyo wanahesabu. Wakati Ujerumani ina Marder IFV ambayo ya kwanza ilianza tumika 1971 (vifaru vya T-72 vimeitangulia Marder kutumika). Ujerumani imeshastaafisha Marder inaziona outdated ila ilizihifadhi kwenye maghala ya ndani. Wakati Urusi kwa T-72 ni vifaru havitarajiwi kuondoka, T-64 yenyewe bado inatumika. Au Ujerumani jinsi imeziondoa Gepard SPAAG jeshini inaziona za kizamani ila Ukraine imepewa na zimesaidia. Urusi yeye ndio wale watu wanatumia iPhone 7 hadi leo.
Maghala ya silaha ya Urusi mengine hayatunzwi kama haya na hivi vifaru kwenye makaratasi wanavihesabu, hapa wakienda ni kuongeza explosive reactive armour, electronics na marekebisho kadhaa kisha kuwapa wapiganajiView attachment 2574014View attachment 2574015
Nimeshangaa Sana!Mtu anayesema maneno kama haya unawezaje kumuunga mkono!!
“We’ll defeat everyone, we’ll kill everyone, we’ll rob everyone we need to. Everything will be as we like it,”
Hii vita imesaidia tujue mambo mengi sana.Pamoja na kubadilisha makamanda wa vita mara tatu bado superpower uchwara anapuyanga. Na si mjajifanya mnaifukuza NATO sasa Finland inakuja inaongeza mamia ya kilomita za mpaka, kapigane na uko tena ndio wako jirani zaidi na Urusi.
Mwezi March kilichoongezeka ni 0.01% ya ardhi ya Ukraine, akili kisoda nguvu nyingiView attachment 2574038
US hajavuruga Indo-Pacific. Japan, South Korea na Taiwan ziko bega kwa bega na US na zinafanya vizuri sana kiuchumi na kila kitu. Huwezi nitajia nchi tatu zilizokuzwa kiuchumi na Urusi dunia nzima.Usijali boss, Ukraine itaishinda Urusi, US ataendelea kuitawala dunia, West wote watamsapoti Ukraine, US ataingia Indopasific kuvuruga awake ufalme wake, ameshaweka miguu afrika Ref: Kamala's trip....maombi yako yatatimia dunia kuwa utumwani.
Ujue China sarafu yake haiendeshwi na soko, bali CPC wakiamua ifanya iwe au isiwe na thamani ni kitendo cha dakika tuMkuu bila shaka athira ya Marekani itaendelea kupungua polepole. Ila naona kwa miaka inayokuja USDollar itaendelea kuwa sarafu kuu duniani.
China imewekeza kiasi kikubwa cha pesa yake kwenye USD ili haiwezi kuachana karibuni.
Walileta T90 zimeharibiwa vibaya hapo BakhmutDah!...hivi outdated T-54 ndio vitakavyopambana na Vifaru vya Challenger, Abrams na leopard ?....
T14 Armata zipo wapi ?au ni kwa ajili ya gwaride tu ? Urusi kwa man power na silaha nyingi walizonazo hapo Bakhmut bado pamekuwa pagumu ....... ... hii counter offensive huenda ikashangaza dunia.
Mkuu unaota ndoto nzuri lakini umeshajiuliza kwa nini nchi nyingi (zote?) zimeweka akiba ya sarafu chache, hasa USD, Euro, Pauni, pia Yen na Renmibi?Boss, Urusi hajawahi Sema anataka Ruble iwe fedha ya kimataifa, nilichosikia na kuona machapisho ni kuwa; Kila taifa linalofanya Biashara na taifa fulani basi watumie sarafu za Nchi zao...kama wewe ni British unanunua simu Ufaransa, tumieni Pound na franc kwa mauziano yenu...huku bongo tunanunua Sana vitu kutoka Kenya India China na Japan, tunazo exchange zao hapa chin, kwanini tuhangaike kuweka Akiba ya makaratasi ya nchi ambayo haihusiani? Ndicho Urusi anataka kukitoa..kila mtu Anunue kwa fedha za Nchi unayonunua kitu chako, no uza kwa fedha ya nchi yako.....Unayajua malengo ya Euro? Lengo ni kuipa nguvu dollar, siku akikupiga sanction yaani ndan ya siku Moja keshakumaliza...Tumewashtukia wahujumu uchumi wa nchi Nchi zetu ni nyie mnaoipigania Dolar iwe medium of exchange
Isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hazitaki tena nishati za Urusi... (ukiacha jitu kama Hungaria na Serbia..)MBULAMATALI ukiona mtu anatishia ni dhaifu!!
Urusi haitishii Ulaya kutokana na uwezo wake bali kutokana na Rasirimali anazozimiliki za nishati. Nje ya mambo ya nishati, Urusi inaweza kuiambia nchi gani ya ulaya isifanye kitu fulani na nchi hiyo ikatii isifanye kama Marekani inavyoiwekea vikwazo Urusi na nchi zote zinatii!!??
Ila Ukraine ni nomaVladlen Tatarsky ndio basi tena. Kauwawa na Warusi wenzake msitafute maneno. Mnachelewesha vita mwaka mzima mpaka kajifia akisubiri ndoto zake
Hili jambo tulijadili bila ya kuleta ushabiki. Kiuhalisia Marekani ina uwanda mpana zaidi wa kuaminika kuliko Urusi linapokuja suala la uchumi, kijeshi hata mahusiano ya kimataifa. Uimara (Stability) wa Marekani kwenye nyanja mbali mbali hautiliwi shaka sana kuliko Uchina au Urusi.Isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hazitaki tena nishati za Urusi... (ukiacha jitu kama Hungaria na Serbia..)
Kilichoiangusha USSR 1991 nadhani huwezi kukitenga na hiki kinachoendelea pale Ukrain Mkuu..Hilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.
Sasa bado wanahangaika na Ukraine badala waendeleze nchi yao. Nani avamie yale mapori, Russia halisi iko Western uko St. Petersburg, karibia na kati uko Moscow na kusini kina Sochi. Mashariki uko Chechnya ndio maana walipigana kujitenga, ni kama hawapo.
Ukraine imevamiwa kwa sababu zilezile za kuivamia Georgia na ujinga wa Urusi ni kuvamia jirani tena waliokuwa nao Soviet block. Hutoona Marekani inaivamia Canada au Mexico