Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The same to King charles, or US goverment system
 
Wengine wanasema ni photoshop hawaamini kisa wameletwa warusi.
Hiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
 
Umeeleweka sana ndugu na shida sio hiyo unayoizungumza ila hutolewa mifano juu ya hayo yanayowafanya pro urusi kutukana watu kisa tofauti ya kimawazo.

Kwahiyo ndugu huyo aliyeleta picha za wanaume wa kirusi wanaokulana denda ameleta kama kuonesha mifano kama hayo mambo hata huko yako..

Mimi hushangaa badala ya watu kupinga kwa hoja zenye mantiki hutokezea watu na kutukana na kujiona wanauwezo mkumbwa kiakili kumbe hamna lolote.

Wengi wa wachangiaji huchangia kwa mimhemko tu hasomi na kuelewa kilichoandikwa bali hufuata hisia tu.

Mambo ni mengi mda ni mchache.

Tenha um bom dia.
 
Samahani mkuu sababu za kushuka kwa bei ya pesa fulani (yaani exchange rate) mara nyingi ni sababu za ndani. Mfano kama benki kuu inazidi kuchapisha pesa - ilhali hakuna bidhaa za kutosha sokoni - basi pesa inashuka. Katika nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya, Amerika tumeona mifano mingi ya aina hii, tena tangu karne nyingi.
Zamani (kabla ya benknoti) serikali zilichanganya sarafu za dhahabu na fedha kwa shaba au metali nyingine. Kumbe sarafu hizo zilitambuliwa na bei zilipanda. Mfano Waroma wa Kale walikuwa na sarafu ya Denarius , kiasili yenye gramu 4.5 za fedha (silver) iliyokuwa asilimia 90 ya uzito wake wakati wa kuzaliwa kwa Kristo. Miaka 200 baadaye, fedha ndani yake ilikuwa 45% pekee, , miaka 250 baadaye ilikuwa silimia 5 pekee, na mwaka 265 asilimia 0.5 pekee. Wafanyabiashara walipaswa kupandisha bei za bidhaa mara elfu kadhaa. Wengine wanaona ilikuwa vibaya kuliko Yuhoslavia kwenye miaka ya 1990 au Zimbabwe juzi.
Leo enzi ya sarfu za dhahabu au fedha imepita, lakini unapata matokeo yaleyale ukichapicha benknoti nyingi mno. Au zaidi siku hizi kama Benki Kuu inaongeza mno kiasi cha mkopo kwa benki za kibiashara
 
Kweli ni vibaya na aibu. Je inaelekea tayari kwenye kiwango cha ugaidi unaotokea huko Ukraine?
 
Unafahamu Urusi ipo kwenye nchi tatu kati ya nchi zenye high immigration hasa kutoka Central Asia?

Kwamba Uchumi wa Kirusi ni wa kijamaa?
Zote ni nchi za kibepali ila zinatofaitiana mode of operundum.

Fursa kubwa?
Ingekuwa na Masikini wasio na makazi Milioni 37?
 
Imani ya dunia kwa Marekani!!
Imani hii imezikwa rasmi baada ya uaratibu wa USA kutumia sanctions kama Siraha na pesa Yao ndio primary tool kupitia mifumo kama SWIFT.

Utaratibu huu umezikwa rasmi kwa kukamata pesa za wawekezaji walizowekez katika Western world.

Sasa Mataifa yameanza kuamka na kutafuta mbadala wake.

Imani hii imekwenda kuweka wazi kwamba There is only USA and the western world ni Vassal state ambazo hazina Sovereignty na maamuzi yanatoka Pentagon.
Ushahidi ni kupiga sanctions vitu ambavyo vinawaumiza wao wenyewe kwa faida ya USA.
 
Mh kwa hiyo Elon Musk hawi controlled na satanic government ya Marekani?

Kwa nini walitaka kumnyang'anya kampuni yake baada ya kuvuta bange hadharani?

Wazee wa double standard
 
Kazi imeisha huko burkimut tayari Iko Chini ya wanamziki
Your browser is not able to display this video.

❗️"Legally we took Bakhmut" - Evgeny Prigozhin confirmed that PMC "Wagner" occupied the administrative buildings of Artemovsk

The head of the Wagner PMC confirmed that the orchestra had occupied the administrative buildings of Bakhmut. The Russian flag and the banner of Wagner were erected on the roofs of the houses. Nevertheless, the forces of the Armed Forces of Ukraine remain in the western outskirts.

“Vladlen Tatarsky has a good memory,” such an inscription appeared on the Russian flag, which Yevgeny Viktorovich is holding in his hands.
 
Dah hapa nala daku huku nimeshiba BUKHMUT NDIO ISHAKWENDA NA WANA MACHEPE KAMA SIAMINI HIVI [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179] VIva Russia. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…