Mkuu tupe nyama kidogo kuhusu CubaMkuu naona unaongea kipropaganda mno...yaani nakuangalia unavyoandika mada hapa hauna tofauti na wanyonyaji wa kizungu wenye siasa za kuzunguka mbuyu wakati nia yake ni akupige tukio huku unajiona na unakubali kupigika.
Zimbabwe ilichapisha banknote nyingi kwakua ilipata vikwazo kutokana na kufukuza wakulima wa kizungu, uganda ilichapisha banknote nyingi kwasababu ilipoingia mgogoro na Tz kpnd cha Idd Amin basi nchi zilizokua zinaidhamin misaada zilikatisha misaada, Tz iligoma kuchapisha banknote nyingi ndio ponapona yake fedha haikuporomoka sana, ukilinganisha na sarafu ya Kenya(baada ya vita ya Ug ndio kipindi kenya inaiacha nyuma Tz kiuchumi)..hadi leo hii vita ile imesababisha shida katika chumi za nchi hizo mbili,
N.korea baada ya kuwekewa vikwazo uchumi uliyumba fedha yao haukuweza kujitosheleza S.korea iliwekizwa kuiangusha N.korea, raia walitegemea zaidi kilimo cha ndani ya nchi, kama mazao hayakutosha basi baadhi walikufa njaa na wengi waliugua utapiamlo, na aliejaribu kutoroka nchi alipatikana na madhara makubwa ikiwemo kifo pindi akikamatwa anatoroka,serikali iliendeshwa kwa njia zisizo halali km black market na hacking kwny mitandao, je wajua ilipokosekana sababu ya kuiangusha fedha ya libya ni nini kilitokea? Je Iraq? Je misri? Unakijua kinachoitesa sudani na akiba yao kubwa ya mafuta? Somalia? Je Nigeria?
Cuba ilipowekewa vikwazo raia wengi walikufa njaa, wengi walitorokea Miami..fedha ya nchi ilidorora..unajua kwanini Cuba inajulikana kwa kuwa na madaktari bingwa wanaotibu maeneo mengi duniani tena burebure....? Kama hujui sababu muache basi propaganda za kizungu humu..mtaelewa kwanini US ana vituo vya kijeshi karibu 65% ya nchi zote duniani hadi nchini kwako, lkn huyo urusi tunaeambiwa ni mbaya na hatari kwa dunia hana hata kituo cha kugawa kondom nchini kwako.
Kwanini msiwaambie NATO Wakamkamate Putin?Si anahitajika ICC?kama kidume kweli kiambie kiguse nchi yeyote ile member na NATO kama hatavaa boxer kichwani.
Mkuu je umeishia matusi makali zaidi?We mwanamgambo wa Ukraine toka Kilolo acha uwongo yule Jenerali wa Canada aliyetiwa nyavuni na Wachechen unaskia story zake sio lazima utangaziwe maumivu NATO wanayoyapitia hawawezi kutangaza aibu kubwa kama hiyo
NATO haina shida na Putin wala Urusi, itakuwa na shida endapo yeye atavamia nchi yoyote mwanachama wa NATO kati ya zile 31.Kwanini msiwaambie NATO Wakamkamate Putin?Si anahitajika ICC?
Au hako ka warrant ni sawa na tissue paper?
Russia hawezi kuvamia NATO na Wala NATO hawawezi kuivamia Urusi!
H
Urusi pia hana sababu Wala mpango wa kuvamia nchi za NATO!Ila iwapo usalama wa Urusi utakuwa hatarini basi walishasema wazi watarespond accordingly!NATO haina shida na Putin wala Urusi, itakuwa na shida endapo yeye atavamia nchi yoyote mwanachama wa NATO kati ya zile 31.
Kingine elewa kwamba Urusi inapigana na Ukraine na hatuna taifa lolote lile linaweza kuingia vita hii moja kwa moja.
Nchi marafiki wa Urusi ama Ukraine hawazuiwi kusaidia misaada ya kibinadamu ama kijeshi, wasimulie na warusi wenzako wa buza mambo haya.
umeeleza vizuri, sasa waambie na wenzio waelewe wasifikiri kwamba Mrusi anapigana na NATO ama US hapana, Mrusi anapigana na Ukrane sababu kuu ni usalama wake endepo Ukraine atajiunga na NATO.Urusi pia hana sababu Wala mpango wa kuvamia nchi za NATO!Ila iwapo usalama wa Urusi utakuwa hatarini basi walishasema wazi watarespond accordingly!
NATO kutokuwa na shida na Putin au Urusi ni kwasababu wanajua ni kucheza na shilingi chooni!Ingekuwa taifa lingine kama Libya,Iraq,Afghan ndio wamevamia Iraq basi NATO wasingechelewa kuzifumua hizo nchi na kukamata viongozi wao!
Super power ana special treatment!Ndio maana ni member permanent kwenye security council!
Yeye ndo alimpa huyo muandishi kisanamu kilicho kuwa na bomu kwa hiyo ulitaka wamchekee?Wazushi tu warusi wamemkamata binti wa watu ili waonekane wapo makini
Kama wangekukuwa hivyo wanavyojiaminisha wangezuia huo mlipuko kabla haujaleta madhara.
Kwakuwa ni nchi ya kidikteta huyo binti atakuwa mbuzi wa kafara kwa viongozi wasiotaka kuwajibika.
Baada ya hapo waende Frontline kule meat grinder bukhumut.Finland ajiunga NATO, sasa NATO ni umoja wa kujihami ulio na nguvu kubwa Duniani.
Finnish and NATO flags flutter at the courtyard of the Foreign Ministry before Finland's accession to NATO, in Helsinki, Finland [Lehtikuva/Antti Hamalainen via Reuters]
Finland has joined NATO in a historic shift that brings an official end to the Nordic nation’s principle of neutrality.
Jens Stoltenberg, head of the world’s largest military alliance, hailed the move as on Tuesday as “a good day for Finland’s security, for Nordic security and for NATO as a whole”.
Wa Ukraine wanatosha.Baada ya hapo waende Frontline kule meat grinder bukhumut.
Aisee wewe ni Zombie la NWO proper.Yaani unaimba nyimbo zile zile za kufikirika za handlers wako.Amechelewa sn Putin, west Wana strategies nyingi sn hatimae ss wanaikodolea sebule za Moscow na Kremlin.
Leo hii kila dk milipuko haiishi ndani ya Russia hiki ni kipimo tosha kuwa Sasa wamemfikia huyu mbwa mwitu.
Putin anajua na warusi wanajua kuwa Sasa usalama wao upo shakani.
Bado kitambo kidogo tu Putin kutiwa pingu na kupelekwa the Hague.[emoji1787]
Mbona askari wa Ukraine wameisha mkuu,yaani sasaWa Ukraine wanatosha.
Sasa mambo binafsi kumuhoji mwanamme mwenzako ndio nini?Mkuu T14 Armata
Kuna ishu ya wewe kuendekeza kupiga punyeto, uliulizwa ni kwa sababu gani unapenda michezo hiyo lakini bado hujatolea ufafanuzi.
hao wahuni wanaojiita Wegner wanafanya nini huko?Mbona askari wa Ukraine wameisha mkuu,yaani sasa
wanaokoteza wapiganaji mpaka vitoto na walemavu.It would be better for Zelensky to surrender frankly,ila naona bado biashara ya Adenochrome,damu za watu na viungo vya binadamu bado inahitajika,bila kusahau kwamba Lucifer na Malaika zake waovu bado wanahitaji kula various secretions and hormones produced by extremely terrorized dead humans.
Wanapigana upande wa Russia.hao wahuni wanaojiita Wegner wanafanya nini huko?