Марахаба мванангү hali halisi wanayo ila hawaridhiki bado kwa hiyo wanaendelea kuboresha.Yaani katika huo muungano wa nato hakuna hata inchi moja iliyoweza kuunda kombora la hypersonic duuuuh urusi shikamoo
Maana yake hana silaha ya kutosha na majenerali wa jeshi walichoka naye. Hivyo amejitahidi tangu miezi kuteka kamji mdogo hakufaulu hadi leo. (lakini AMETANGAZAAAA!)Prigo ni fala sana,
Anakutandika halafu anajifanya ana ugomvi waziri wa ulinzi wa russia kwa kunyimwa kwake silaha.
Extrovert hii ina maana gani?
na wewe unaamin, Iraq kuvamiwa ni kosa nashukuru kwa hilo,Nato haikuenda Vietnam.
Ilienda Yugoslavia kuzuia mauaji ya Waislamu na Wakroatia na Waserbia (si sana kwa upendo lakini kwa hofu ya wimbi kubwa sana ya wakimbizi),
ilienda Afghanistan kwa sababu mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka eneo la Afghanistan.
Nato haikuenda Iraq ila nchi wanachama mbalimbali walienda wakifuata uwongo ulioaminiwa.
Heri tusikoroge kila kitu.
Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)na wewe unaamin, Iraq kuvamiwa ni kosa nashukuru kwa hilo,
je, mvamiaji na yeye haki yake ni ipi ???
na Somalia yule yule mvamiaji kote huko, na he huyo mvamiaji ujasiri anautoa wapi, ??? au ndo ukimshambulia kwake NATO wanakuja, kumtetea ?
naomba unipe ufafanuzi kidogo, kwa nini NATO ilivamia libya ???
nani kawapa ruhusa ya kuingilia uhuru mataifa mengine???
Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????ni
ni vigumu kutenganisha matendo ya USA na NATO !!!Mkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????
nafikiri hivoMkuu Libya imeshtajwa hapa mara kwa mara. Kufunga anga juu ya Libya na kutoa rukhsa ya kutumia mbinu za kijeshi kwa utekelezaji ni azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 (ona hapa)
Somalia haikuwa NATO tena ilikuwa UMoja wa Mataifa moja kwa moja. Azimio la Baraza la Usalama namba 794 (pamoja na kura za Urusi na China) lilituma jeshi la UM;
Marekani ilikuwa sehemu kubwa ya jeshi hilo. Nchi nyingine: Australia, Bangladesh, Belgium, Botswana, Canada, Egypt, Ethiopia, France, Germany, Greece, India, Ireland, Italy, Kuwait, Morocco, New Zealand, Nigeria, Norway, Pakistan, Saudi Arabia, Spain, Sweden, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, the United Kingdom, and Zimbabwe.
Mkuu sasa nauliza: Nini imesababisha wewe kushika historia hii kama tendo la NATO????
Mkuu naona hata kama si rahisi kupokea habari kutoka kwa "You know nothing", labda itakusaidia kujua kwamba
a) ni kweli wamepunguza hizo dhamana za wizara ya fedha za MArekani (treasury bonds yaani dhamana za muda mrefu kama miaka 10- sababu zinatajwa katika makala) lakini
b) badala yake waliongeza kununua hati nyingine za taasisi za kiserikali za Marekani (federal agency bonds)
China slips away from Treasuries but sticks with dollar bonds
Although China's selling of U.S. Treasury securities over the past year raises multiple geopolitical questions, it's merely switching to other dollar bonds - casting doubt about a more alarming strategic investment shift.www.reuters.com
Ninavyoona kwa jumla akiba ya China ya hati za USD haikupungua. Kama umeona hesabu tofauti, tafadhali utuonyeshe!