jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Mkuu usipinde habari. Mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka maeneo ya Afghanistan. Serikali ya Afghanistan ilikataa kuwakamata washambuliaji au kuwakabidhi kwa hao walioshambuliwa.Kwa hiyo NATO akishambuliwa kutokea Tanzania (hata kama sio Tanzania imehusika) basi ni halali kwa NATO kuivamia Tanzania!?
Mkuu unajaribu kujibu mchango wangu kwa kujadili jambo tofauti??Mkuu pole wewe kwa "uchovu wa propaganda"
Kwanza nikushtue tuu kwamba watu sio wajinga tena kama mnavyofikiri, unawapingia NATO kitu wanachokisema wenyewe, wew nia yako hasa ni nini? Angalia sifa ya hako kadude Kinzhal kwanza...
#Kinzhal rapidly accelerates to Mach 4 (4,900 km/h), and may reach speeds of up to Mach 10 (12,350 km/hr)#
Yaani kanaweza kutokea Urusi kakaingia USA na kurudi tena Urusi ndani ya 1hr..lisaa limoja, yaan kakipgwa kutokea pale Moscow kanafika New york kwa nusu saa..dk 30 tuu..
About kinzhal missile struck ukrainian comand center bunker
-------------------------------------
#On March 19, 2022, the Russian Ministry of Defense claimed it had fired a Kinzhal missile at a munitions depot around the town of Deliatyn in southwestern Ukraine#
Sasa kama wewe unapenda story nzurnzur tuu za NATO hawawez kukusimulia hizi za kutisha...
#Russia likely developed the unique missile to more easily target critical European infrastructure (e.g. airfields, warehouses, command centers, etc.) and to counter U.S. theater missile defenses such as THAAD#
Ndio maana hawatak kujipendekeza km kule Iraq na Libya...
#The United States was able to track the missile “in real-time” during its flight, according to CNN citing U.S. government officials#
Unaelewa maana ya real time? Yaani walikaona LIVE..kwenye radar zao pale ukrain...walikaona kaleee kanatumwa ndani ya sekunde kameshazama kwenye matundu yao ya kujificha...sasa watakaonaje in real time km sio comand center ilikua pale palipopigwa(ukrain) maana kadude kanakimbia sio poa..kilometa 4 kwa sekunde moja..yaani kanatoka mombasa hadi kakamega kwa dakika tatu na nusu, 3½minutes
"it's almost impossible to stop it. There's a reason they're using it..." Joe Biden
#wasemaji wa NATO wanakwambia hivi#
"US official said the Pentagon had not been able to confirm that the launch took place"
Wakati tayari wao ndio wakwanza kukatrack kadude kinzhal "in real time" ikimaanisha hao "United state" waliokiona live hawakua US, bali kwenye comand center Ukrain
Sasa mkuu usipende kufichaficha maana wenzio wameficha sanaaa...wanasemaje..?....false, misleading, and unevidenced claims as well as outright propaganda, often targeting nato and seeking undermining Western support to Ukrain have become a hallmark feature of this conflict, as reported widely by western media and others.....
Ila ukiskia makelele tuu jua vimeumana huko ground..
Ni mtu mwenye akili "dhaifu" tuu ataamin eti warusi wanakufa ila waukrain wanawaua warusi...yaani nipo kwako nakupiga..unajibu, naendelea kukupga alafu useme mimi ndio nakufa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wacha kuwapaka mafuta hao westerns.. Countries kwa mgongo wa chupa ukifanya hivo unakuwa unatetea unafki na uovu wanao ufanya kwenye nchi za watu hususani nchi dhaifu kama kina iraq...libya wakati wa utawala obama afaghanistan ....syiriaMkuu usipinde habari. Mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka maeneo ya Afghanistan. Serikali ya Afghanistan ilikataa kuwakamata washambuliaji au kuwakabidhi kwa hao walioshambuliwa.
Naona namna jinsi NATO ilivyojibu haikuwa sawa lakini si ajabu. Katika sheria ya kimataifa tendo lilikubaliwa, ingawa hawakutumia busara.
Pia walijibu jinai kwa matendo yaliyoleta maumivu na vifo kwa watu wengi wasiohusika.
Mfano wako wa Tanzania ni ajabu. Tuwaze kundi linasababisha vifo vya watu elfu nyingi katika nchi fulani, ilhai inaandaa na kupanga shughuli hizo pale Shinyanga. Je serikali ya Tanzania itafanya nini kama jambo linajulikana? Itawakamata? Au itawatetea? Ikiwatetea si ajabu kama nchi iliyoshambuliwa itaingia kijeshi Tanzania . . . Utamlaumu nani??
Uongoooo
Hao jamaa huwa akili zao wamezikaliaMkuu nimeleta juu chanzo kinachoonyesha USD ilikuwa asilimia 58 za Forex ya China mnamo 2019, labda imepungua kidogo. Pesa nyingine inayowekwa akiba ni Euro, halafu kwa kiasai kidogo Pauni na Yen. Ruble sijawahi kusikia. Franc haiko tena.
Sasa wanakimbilia China kuomba Xi aongee na Putin yaishe.
"I had a telephone conversation with President Zelensky before my visit to China. Ukraine will be an important topic of my meetings with President Xi and Premier Lee". States #UrsulavonderLeyen"
Ni mwisho wa zama."Emmanuel Macron arrived in China for a three-day visit. No welcome. The Chinese President was absent. Not a single official to welcome him. Macron could shake hands only with the the guy who opened the door of the airplane. What a humiliation"…
AIBU KWERI KWERI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Emmanuel Macron arrived in China for a three-day visit. No welcome. The Chinese President was absent. Not a single official to welcome him. Macron could shake hands only with the the guy who opened the door of the airplane. What a humiliation"…
SMO HAIWEZI ISHA WITHOUT ODDESSAHeloo Oddesaa!!
Moto unawaka
Daaah bonge moja la dharau 😆😆😆😆😆"Emmanuel Macron arrived in China for a three-day visit. No welcome. The Chinese President was absent. Not a single official to welcome him. Macron could shake hands only with the the guy who opened the door of the airplane. What a humiliation"…
Zikajaribu kunusa pale meat grinder bakhumut [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hata mimi nashangaa sana kwa nini sasa hivi wanakimbilia China.
Si waendelee kuleta silaha zao...
Mkuu sina sababu ya kumsifu yeyote asiyestahili sifa!Mkuu wacha kuwapaka mafuta hao westerns.. Countries kwa mgongo wa chupa ukifanya hivo unakuwa unatetea unafki na uovu wanao ufanya kwenye nchi za watu hususani nchi dhaifu kama kina iraq...libya wakati wa utawala obama afaghanistan ....syiria
Nato imefanya maovu na vurugu nyingi chini ya jua ....ingekuwa marekna kavamia hapo ukraine mngekuwa mnaisifia marekna na mngemtetea ila kwa sababu ni the great Russia basi imekuwa taabu ....em kuweni wakweli bwana...
Iran and Saudi Arabia sign joint statement in China, agreeing to resume flights, facilitating visas for citizens
Naona Sasa Saudia Anaupiga mwingi Kutoka mikononi mwa Jibwa Koko lili Mpa Chuki Za Kila Aina kwa Jirani Zake
Sasa Wametiliana Sain Na Iran huko China
Usafiri Wa Anga Baina yao Pia Urahisi wa Visa kwa Raia Wakila Upande
huu ndio Mwanzo Mzuri
Hapo bado counter offensive haijaanza.....huyu Supa-pawa wa kuchora ataita maji 'mma'..Mambo sio rahisi kwa vikosi vya Urusi Na washirika wake huko Ukraine.Mpaka sasa wamepoteza magari ya deraya elfu 7 !
View attachment 2578180