T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
CIA hawajatoa nakala, hiyo nakala iliyotolewa na CIA iko wapi?Mkuu mbona umeleta nakala moja kuna nakala nyingine ina fichua kuwa mpaka sasa Urusi imepoteza wanajeshi 16000_17000 lakini nyinyi mmekuwa mkituambia kuwa Urusi imeshapoteza wanajeshi 150,000.
Au CIA imetulisha matango poli?
Hawajibugi hili swali....ndio utaona ujinga wao ... Ukiwauliza NATO WANAJIHAMI dhidi ya nani (mwenye nguvu mpaka waungane) wanapoteana...Russia ni dhaifu
NATO ni umoja wa kujihami kijeshi, kwan wanajihami na mataifa gan kwenye dunia hii?
zaid kuelekea estern Europe,
"Nyinyi" ndio akina nani haoLakini nyinyi ndo mlituambia kuwa Urusi haiwezi kumudu gharama za vita hata kwa mwaka mmoja.
Ukraine washaedit documentMkuu mbona umeleta nakala moja kuna nakala nyingine ina fichua kuwa mpaka sasa Urusi imepoteza wanajeshi 16000_17000 lakini nyinyi mmekuwa mkituambia kuwa Urusi imeshapoteza wanajeshi 150,000.
Au CIA imetulisha matango poli?
Humu tangu mwaka jana kulikuwa na taarifa za Bakhmut kutwaliwa na Urusi. Kwanza ngoja nimuite yule bwanaDuh! Umejua kuwapa nondo warusi wa buza [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa kweli tumekusikia Mr machumachuma NATO promoted democracy DRC, Sicily, Panama, Afghanistan,Syria,Iraq, Haiti, Nicaragua, Yugoslavia n.k kote huko Marekani na Nato wamesambaza demokrasia kwelikweli.....NATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.
No any NATO member has seen a military conflict with another member. Meanwhile, former Soviet block members have seen various wars and invasions.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu tuambie ni nani huyo aliyesema kuwa Bakhmut imeanguka toka mwaka jana.Humu tangu mwaka jana kulikuwa na taarifa za Bakhmut kutwaliwa na Urusi. Kwanza ngoja nimuite yule bwana
Unatumia nguvu Sana kijipa matumaini kijana ...kunywa maji relax....Haya masupapawa uchwara tulishakubaliana yanatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yenyewe yanadhania NATO ipo kwa ajili ya kile kijiji cha kuchuuza gesi na mafuta wakati NATO yenyewe on its own inasaidia kuondoa migogoro. Wanachama wa NATO wengi ni nchi kubwa kiuchumi, hasa wale wa mwanzo.
Hao kabla ya NATO walishapigana WW1 ikaisha wakakaa miaka 21 wakapigana WW2, baadae wakaona wakae kwenye umoja wajadili mambo yao hadi sasa umoja una miaka zaidi ya 70 hawajawahi pigana hata mara moja.
Meanwhile kile kikoba cha maskini watumiaji nguvu bila akili kilichokuwa kinanuka umaskini mpaka ukata ukakiua kimeshapigana mara kibao na leo hii members wa NATO wanakisaidia kisiendelee kupigana. Lawama sijui za niniView attachment 2577282
Bado haijanguka iyo Bakhmut.vijana wa Ukraine naona wapo imara kwenye kuweka ukuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Humu tangu mwaka jana kulikuwa na taarifa za Bakhmut kutwaliwa na Urusi. Kwanza ngoja nimuite yule bwana
Mkuu mbona unajitoa ufahamu?CIA hawajatoa nakala, hiyo nakala iliyotolewa na CIA iko wapi?
Nyinyi ambao ni nyie mlituambia kuwa uchumi wa Urusi hautofikisha mwaka utasambaratika hivo hataweza kugharamia vita."Nyinyi" ndio akina nani hao
HakikaAcha visukume mda tu; wenye akili wameshaona kuwa US kabigi hapo.
Nashani nyuma ya pazia maadui wa US watampa VP support kuhakikisha hii OP haishi mapema
Mwalimu kashasha huu uchambuzi wako ingekuwa ndio kule front line nako kuko hivi hivi,, basi urusi hivi ishaanguka kitambo,, lakini shida inakuja zilongwa mbali,, zitendwa mbali,,Kuna kitu kinaitwa "3:1 Rule of Combat". Invading force inabidi iwe kubwa mara tatu ya defending force kama wana nguvu sawa kwenye front. Russia inahitaji wanajeshi wengi zaidi kupiga Bakhmut kuliko Ukraine. Hivyo hivyo kwenye loss za KIA na WIA Russia inapata wengi zaidi ya Ukraine kwa mathematical model hii ambayo iko proved since WW1 na WW2 na vita mbalimbali.
Russia nayo inapoteza wanajeshi, inatumia resources na budget, inapoteza zana za kivita, wear and tear inaleta logistical nightmare na service, battle fatigue, demoralising the troops watu mnapigana tangu May 2022 mnatokea Luhanks iko chini ya Urusi tangu 2014 na iko kama 150km kutoka Bakhmut ilipo ila hadi leo kuchukua eneo lililo umbali wa 150k mnashindwa wakati mnajiita second strongest army in the world. Nchi ishaanza kutumia vifaru model ya enzi Mwalimu Nyerere anavaa kaptula wewe unadai inaweza pigana miaka 10😂View attachment 2580719
Kuwazuia Warusi wasisonge mbele sio propaganda, ndio vita yenyewe hiyo, au ulitaka waimbiwe kwaya. Kwani malengo ya Ukraine ni nini kama hilo sio mojawapo.
Urusi haina uwezo kupigana sehemu yoyote miaka kumi, labda wawe waasi wavaa makatambuga. Last time I checked USSR ilipigana na Mujahedeen pale Afghanistan wakashindwa vita wakaondoka 1989, na 1992 wakavunjika muungano. Hapo walijitutumua kupigana miaka mingi wakaambulia kusaga uchumi wao, Russia yenyewe ndio ilikuwa mstari wa mbele kuvunja muungano.
Russian source Rybar claims Ukraine fired Grom-2/Hrim-2 short-range ballistic missile on Crimea, Feodosia today from Odesa. Reports suggest it was shot down by S-300 air defence system.Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298] Two explosions rang out in Feodosia in temporarily occupied Crimea.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app