Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona issue ya PPP unaipotenzea. Wewe ni mzembe sana kwenye ubongo.
 
Naona issue ya PPP unaipotenzea. Wewe ni mzembe sana kwenye ubongo.
Ni kweli Ubongo wako unaweza kuwa na thamani kubwa sana kwani ili kupata kilo moja tu ya ubongo wako inabidi vichwa vingi sana vya aina yako vivunjwe wakati mimi kichwa changu kimoja tu kinatoa zaidi ya kilo mbili za ubongo.
 
Kuna vi wachambuzi uchwara vya humu JF vitampinga huyo Mmarekani orijino kua hayo ni maoni yake na kua haijui Marekani kama vinavyoijua vyenyewe.
Vimo humu vingi TU.
Huku vikijisahaulisha kua huyo mwamba ni familia ya JF kenedy

Ukoo wa Kennedy ni binadamu majasiri sana na wapenda haki - members wengi wa ukoo wa Kennedy wamepoteza maisha yao kwa njia ya ukatiri - mtoto wa kiume wa Rais J.F. Kennedy alipoteza maisha yake baada ya ndege yake ndogo kifanyiwa hujuma akafa yeye na mkewe kama nakumbuka vizuri.
 
Ni kweli Ubongo wako unaweza thamani kubwa sana kwani ili kupata kilo moja tu ya ubongo wako inabidi vichwa vingi sana vya aina yako vivunjwe wakati mimi kichwa changu kimoja tu kinatoa zaidi ya kilo mbili za ubongo.
Ndio maana unaongea utumbo. Ubongo wako umejaa makamasi mpaka yamefika kilo mbili. Asante kwakutueleza hili.
 
Ni kweli Ubongo wako unaweza thamani kubwa sana kwani ili kupata kilo moja tu ya ubongo wako inabidi vichwa vingi sana vya aina yako vivunjwe wakati mimi kichwa changu kimoja tu kinatoa zaidi ya kilo mbili za ubongo.
Boss una hoja nzuri na naamini wapo wanaosoma, kwa ushauri tu kuna point ikifika ukatambua hakuna majadiliano tena yenye manufaa kwa wasomaji wengine kwepa na jikite kwenye hoja zingine ili wasomaji waendelee kujifunza.
 
[emoji779]️As for now, Russia is illegally detaining 4,396 orphaned children from Ukraine.

Ukraine is working to create an international coalition to return Ukrainian orphans from Russia, Deputy Prime Minister Iryna Vereshchuk told the parliamentary TV channel Rada.

The coalition is already being formed. The International Committee of the Red Cross, the United Nations High Commissioner for Refugees, UNICEF, etc. may act as intermediaries.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wasiofahamu vyema historia yake wanamuita jasusi nguli....ila hii 'miscalculation' aliyofanya kuanzisha hii Vita imemvua huo 'unguli'.
Miscalculation how? Mpaka sasa kuna kipi kwenye hii OP ambacho Russia wanakijutia kuliko Ukraine, tuache mihemko hebu tujadili kwa hoja! Kuna sentensi ukisoma unaweza kudhani Moscow imetekwa na putin ameuwawa au kukimbilia uhamishon
 
Hahahaaa...
 
Mkianza kuchakazwa msije kulialia Tena[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…