Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.

Lengo la USA kuweka Nuclear kwenye baadhi ya nchi za Ulaya ni nini?.
Urusi na China hawazuiwi kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayo ina kambi ya jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumudu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani nao wanataka wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.
 
Ukrainian President Volodymyr #Zelensky and Greek Prime Minister Kyriakos #Mitsotakis have discussed the situation on the front lines and the current defense challenges facing #Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzee unapuyanga sana. Kwahiyo ikitokea kila mwenye nguvu awatishie wasio na nguvu wewe hapo na mke wako mtaweza kudinyana kweli?
 
Kama siyo Putin ni nani?
Kama siyo bagamoyo ni wapi?
Simple logic inatokana facts mbili tu kwamba

(a) Putin aligraduate kutoka Leninigrad University mwaka 1975 halafu akaijunga na mafunzo ya KGB hadi mwaka 1979; wakati USSR inaivamia Afghansntani ndipo alikuwa anamaliza mafunzo ya KGB na wala hakuhusika na operation ile ila alipangiwa majukumu ya makao makuu Moscow.

(b) Mnangagwa alifungwa jela mwaka 1966 na kuachiwa huru mwaka 1975

Hiyo picha haiwezi kuwakutanisha Putin na Mnangagwa Bagamoyo mwaka 1973. Putin mwenyewe aliwahi kuhojiwa kuhusu picha hiyo akasema hajawahi kuishi sehemu yoyote Afrika. Halafu watu hapa wanalazimisha kuwa alikuwa afrika. Hata alipoanza kuwa waziri mkuu hakuwa na mwili kama huo wa kwenye picha hiyo.

 
Mbona unarukaruka mndogo wangu.
Picha inasema 1973 - 1977.
Wewe umeng'ang'ana na 1973.
Nimekuuliza kama siyo Putin ni nani?
Na kama siyo Bagamoyo ni wapi?

Kama huna majibu funga bakuli lako lililo kwenye fuvu lako la kichwa.
 
Lengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.

Lengo la USA kuweka Nuclear kwenye baadhi ya nchi za Ulaya ni nini?.

Soma Tena majibu majibu yako uliyojibu hayo masuali Kisha utafakari kama nimajibu sahihi, au umeamua kuzunguka zunguka tu.

Labda nikuulize suali lingine la ziada hapa chini.

Kwa nini Marekani na Australia wanapinga CHINA kujenga Base SOLOMON ISLAND?.
 
PRO Russia , mnaonaje siku dunia ikiwa multipolar world, bricks zikiwa na swift yake, Ukraine ikiwa Russia, Saudia ikiwa member wa bricks,
tuchague mji tufanye sherehe ?
Na Mimi nitafanya sherehe pale vijana wakakamavu wa rais zelensiky watakapomtia mikononi Putin na kumpeleka ICC

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin mwenyewe aliwahi kuhojiwa kuhusu picha hiyo akasema hajawahi kuishi sehemu yoyote Afrika.

View attachment 2583681


“The claim is just ridiculous,” says Paul Fauvet, a journalist who has lived in Mozambique for several decades.
Training offered to Mozambican freedom fighters in camps in Tanzania, he says, “was conducted by Chinese instructors and not the Soviets”.

Georgi Derluguian, who worked as a Portuguese-Russian interpreter in the 1980s, and is now a professor at New York University Abu Dhabi, says the claim that the man in the photo is Mr Putin “is a joke”.



Mr Putin seen here wearing his watch on his right wrist (not the left as in the old photograph)

Source: Online blogers and BBC
 
Mbona unarukaruka mndogo wangu.
Picha inasema 1973 - 1977.
Wewe umeng'ang'ana na 1973.
Nimekuuliza kama siyo Putin ni nani?
Na kama siyo Bagamoyo ni wapi?

Kama huna majibu funga bakuli lako lililo kwenye fuvu lako la kichwa.
Msumbiji ilipata Uhuru mwaka 1974, kwa hiyo iwapo unaondoa mwaka 1973 basi Machel hakuwa Tanzania kuanzia mwaka 1974. Halafu Mnangagwa alifunguliwa jela mwaka 1975, na alipofunguliwa alijiunga na chuo kikuu cha Zambia kusomea digrii ya sheria. Alipomaliza akafanya internship kwenye kampuni ya sheria hapo Lusaka, na kuanzia hapo hakujishughulisha tena na shughuli za kieshi akabaki kwenye nyanja ya sheria tu, kwa hiyo Mnangagwa asingeweza kuwa Bagamaoyo kwa mafunzo ya kijeshi mwaka wowote kuazia 1973 hadi 1977.

Inaitwa proof by elimination ndugu yangu. Kuna njia nne au tano kubwa za proof, mimi kutokukuambia kuwa mtu aliyeko kwenye oicha ni nani kama siyo Putini haina maana kuwa basi mtu huyo ni lazima awe Putin. Burden of proof iko kwako kuweka passport yake kuwa aliingia Tanzania lini na aliondoka lini.
 
Mr Mnangagwa could not have been in Tanzania in 1973 as he was arrested in 1965 and imprisoned for 10 years by the white-minority government in then Rhodesia.

Source: BBC
 
Mr Mnangagwa could not have been in Tanzania in 1973 as he was arrested in 1965 and imprisoned for 10 years by the white-minority government in then Rhodesia.

Source: BBC
wape jamaa ukweli. Mimi niliwahi kutembelea Zimbabwe mwanzoni mwa miaka ya tisini na baadhi ya ya sehemu tulizopelekwa ilikuwa zaidi ya heroes acres ilikuwa ni gereza alilofungwa Mugabe na gereza alilofungwa Mnangagwa. Watu ukiwaambia wafungue vichwa wako sifuri kabisa wakishameza propaganda hawazitemi hata siku moja,
 
Kuwekza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…