Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

VIDEO
Mapema leo Ndege ya Marekani Aina ya Navy P-8 ilikuwa Ikikatiza Bahari Nyeusi Ghafla Ikazungukwa na Ndege Vita za Kirusi na Kupewa Amri ya Kuondoka Eneo Hilo
Yaani Awamu hii Jibwa koko limekutana na Saizi yake

Your browser is not able to display this video.
 
VIDEO

Your browser is not able to display this video.

Kwa Kuangalia Video hii Nani Anashinda Vita?
Hawa Ni Wagner wanazunguka Mitaa ya Bakhmut tena kwa Pikipiki Kukiwa hakuna hata Panya!
Yaani huu ni mji wenu Wageni wanazurula bila Shida yeyote Na bado mnasema Mnashinda Vita Ipi?
Hawa Wapuuzi wapo Bakhmut ipi?

Ila tuache masikhala Miji ya Ukrein imeharibiwa sio Mchezo
unaweza Sema Hapakuishi watu Miaka 100
Barabara Hazijulikani kama ni Lami au Kichochoro!
 
Marekani hana jema na Mrusi, anatamanii hata kesho urusi isiwepo, ndo maana anabigana na urusi Kwa mgongo wa ukreni. Siraha mafunzo na wanajeshii wakujitolea analipa Marekani.Ni kosa kuivamia nchi nyingine.lakini makosa hayo yakifanywa na Marekani nchi zingine haziruhusiwi kusaidia.Siria mpaka Leo wanalalamika Marekani Yuko pale Kwa ruhusa ya nani?
 
Unarudia maneno hayo hayo tu.
Nimekuuliza kama huyo siyo Putin ni nani?
Na kama hapo siyo Bagamoyo ni wapi?

Naongeza kwa kusema unajua hiyo picha ilipigwa mwaka gani?
Jibu mswali acha kupiga porojo za BBC
 
Wewe ni kiraza ambaye hujui kitu
Pengine tukuulize putini bagamoyo alikuja kama nani? Raia wa kawaida au solder au mpelelezi?

Nenda maktaba ya taifa picha zake zipo za akiwa bagamoyo- posta

Pia unaweza tembelea tbc taifa utapata documentary ya putini akiwa na wapigania uhuru wa africa

Sio unaleta kekelele tu tembea hayo maeneo afu utaleta mrejesho nyau mimi
 
Na wewe ubongo wako pia nia ghali sana. Angalia waliofuatilia picha hiyo wanasemaje


Unawezekana na wewe ni mmoja wa warusi wa Manzese wanaoamini kuwa kila neno la Putin ni dhahabu kwenu.
 
Huwa wanajidai wana Demokrasia
wanadai wana Uhuru wa Vyombo vya Habari
leo hii hao hao ndio Wanatishia Vyombo na watu kuchapisha Habari ambazo kwao ni Mwiba!!
Wapuuzi kweli hawa

Your browser is not able to display this video.

John Kirby warns journalists not to report on leaked Pentagon documents.

"This is information that has no business in the public domain...It has no business...on the front pages of newspapers or on television."
 
Nenda maktaba ya taifa picha zake zipo za akiwa bagamoyo- posta

Pia unaweza tembelea tbc taifa utapata documentary ya putini akiwa na wapigania uhuru wa africa

Sio unaleta kekelele tu tembea hayo maeneo afu utaleta mrejesho nyau mimi
Maktaba ya Taifa, nitajitahidi nipite nione hii kumbukumbu. Asante kwa source.
 
Kama makampuni ya West hayamilikiwi na serikari zao?
Elezea kwa nini yalijiondoa Russia baada ya Special Military Op kuanza?

Sasa yatakuwa na tofauti na ya kule Urusi?

N.B Those who fail to see, the big picture are doomed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…