Sielewi kwa nini hutambui kwa Urusi ndiyo iliishambulia Ukraine, Marekani akasita kidogo kufanya maamuzi ya kuisaidia Ukraine halafu baadaye akatambua kuwa ahadi zitamsuta mbeleni kwa vile makubaliano na Budapest Memorandum yalizitaka nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zihakikishe usalama wa Ukraine ili Ukarine iachie silaha zote za Nyuklia ilizokuwa nazo ziende Urusi baada ya USSR kuvunjika.Marekani hana jema na Mrusi, anatamanii hata kesho urusi isiwepo, ndo maana anabigana na urusi Kwa mgongo wa ukreni. Siraha mafunzo na wanajeshii wakujitolea analipa Marekani.Ni kosa kuivamia nchi nyingine.lakini makosa hayo yakifanywa na Marekani nchi zingine haziruhusiwi kusaidia.Siria mpaka Leo wanalalamika Marekani Yuko pale Kwa ruhusa ya nani?
Unaandika maandishi mengi sana. Andika maelezo yenye content na mantikSielewi kwa nini hutambui kwa Urusi ndiyo iliishambulia Ukraine, Marekani akasita kidogo kufanya maamuzi ya kuisaidia Ukraine halafu baadaye akatambua kuwa ahadi zitamsuta mbeleni kwa vile makubaliano na Budapest Memorandum yalizitaka nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zihakikishe usalama wa Ukraine ili Ukarine iachie silaha zote za Nyuklia ilizokuwa nazo ziende Urusi baada ya USSR kuvunjika.
Sasa Urusi ambaye ni mmojawapo wa signatories wa hiyo Budapest Memorandum ndiye anakuwa wa kwanza kuvunja makubaliano hayo. Kama marekani au Uingezereza walikuwa na nia mbaya na Urusi wasingeshiriki kuhakikisha kuwa sialaha zote za Nyukilia zilikuwa zinamilikiwa na USSR zinakwenda Urusi. Kumbuka kuwa Urusi unayojua leo siyo USSR ya cold war.
Nimewahi kuwakumbusha watu hapa kuhusu picha hii Budapest Memorandum. Kama huijui hiyo memorandum basi itafute uisome ndipo utajua kwa uingereza na marekani wamekuwa mstali wa mble kuisaida Ukraine baada ya kushambuliwa na signatory mmojawapo wa memorandumu hiyo.
Bado hajajibu swali, kwa hiyo wengine kwa sababu hawana uwezo?Urusi na China hawazuiwi kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayo ina kambi ya jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumudu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani nao wanataka wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.
WATANZANIA WOTE WAMEUNGANA NA URUSI KUPINGA USHOGA.
Elewa kuwa makampuni hayakulazimishwa kuondoka, ila yaliombwa yaondoke na yakakubali kwa msingi huo. Kuna kampuni moja haikuondoka hadi leo. Kwa makapuni ya biashara wateja ni watu wa muhimu sana. Ukiwaambia kuwa watakosa wateja nchi zote za Magharibi kwa sababu ya ushiriki wao Urusi yenye wateja kidichu tu wanajua jinsi ya kuitikia.Kama makampuni ya West hayamilikiwi na serikari zao?
Elezea kwa nini yalijiondoa Russia baada ya Special Military Op kuanza?
Sasa yatakuwa na tofauti na ya kule Urusi?
N.B Those who fail to see, the big picture are doomed
Leta evidance ya maandishi yako haya mzee wa LGBTQ.Elewa kuwa makampuni hayakulazimishwa kuondoka, ila yaliombwa yaondoke na yakakubali kwa msingi huo. Kuna kampuni moja haikuondoka hadi leo. Kwa makapuni ya biashara wateja ni watu wa muhimu sana. Ukiwaambia kuwa watakosa wateja nchi zote za Magharibi kwa sababu ya ushiriki wao Urusi yenye wateja kidichu tu wanajua jinsi ya kuitikia.
Sijui kama wana uwezo au hapana ila najua kuwa Urusi wana kituo cha Syria na China nayo ina kitua chao pale Red sea na wamwakuwa wanjenga kituo kingine south China Sea. Swala la wao kuwa ni vituo au kutokuwa navyo siyo swala la kujadili hapa kwani inategemea na priority na uwezo wao. Katika dunia hii ambayo watu wanajenga hostility kali dhidi ya Marekani kama alivyokuwa Osama bin laden na hata wewe ni hostile kwa Marekani ni lazima Marekani ijiiandae kujihami.Bado hajajibu swali, kwa hiyo wengine kwa sababu hawana uwezo?
Kwani mie nikimuhonga mkeo kwa lengo la kula mbususu yake kuna ubaya? Kufanya jambo flani sio vibaya ila intention ndio inalifanya liwe baya.
Hao mashoga wameinvest ni jambo zuri ila kuja kuweka base zao za kijeshi sio swala la kupuuzia.
Umeanza kuishiwa. Ndio nyinyi mnaofanya waafrika wote tuitwe animals kwa vile una animalist arguments.Leta evidance ya maandishi yako haya mzee wa LGBTQ.
Wewe mbona unautangaza?WATANZANIA WOTE WAMEUNGANA NA URUSI KUPINGA USHOGA.
Vipi mwenzetu upo upande gani?
Nimekuuliza kuhusu picha. Naona unaruka ruka tu.Umeanza kuishiwa. Ndio nyinyi mnaofanya waafrika wote tuitwe animals kwa vile una animalist arguments.
LGBTQ unaipenda sana hii picha. Wazungu wamekufanya mbaya. Tafadhali sisi ni waafrika mambo yenu yaishie huko kwenu.Wewe mbona unautangaza?View attachment 2583836
VIDEO
Mapema leo Ndege ya Marekani Aina ya Navy P-8 ilikuwa Ikikatiza Bahari Nyeusi Ghafla Ikazungukwa na Ndege Vita za Kirusi na Kupewa Amri ya Kuondoka Eneo Hilo
Yaani Awamu hii Jibwa koko limekutana na Saizi yake
View attachment 2583729
Hilo ni shimo lako tunalishangaa, Wewe ni wakala wa kutangaza hiyo michezo ndo maana umeiandika mara nyingi sana.LGBTQ unaipenda sana hii picha. Wazungu wamekufanya mbaya. Tafadhali sisi ni waafrika mambo yenu yaishie huko kwenu.
Mbona sioni shimo mdogo wangu. Naona picha ya wazungu wawili na wewe LGBTQ. Au siyo wewe huyo?Hilo ni shimo lako tunalishangaa, Wewe ni wakala wa kutangaza hiyo michezo ndo maana umeiandika mara nyingi sana.
View attachment 2583843
Wanakula vyakula vyepes km biskut maji kwa wingiNaomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo mda mrefu wakiwa front ? Naomba ufafanuzi wa kina
Iddi Amini hakuwa mtu mbaya kama vyomba vya habari ilivyokuwa vikimlipoti, Nyerere aliingizwa cha kike na wamagharibi kuanzisha vita na Iddi Amini.Ndio nataka aelewe.
Kisa cha Idd Amin kuivamia Tanzania ni kutokana na na Askari wengi wa Tanzania walikuwa wakielekea Angola kuwasaidia ndugu zetu MPLA.
Baada ya Idd Amini kupata taarifa hizo kuwa askari wameenda Angola ndio aliivamia Tanzania.