Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na kwa kuongezea ni kwamba US kwa hila ameharibu bomba la mafuta ili yeye awe ndie muuzaji mafuta mkuu kwa EU badala ya Russia.

Russia alijenga bomba la Nord Stream " ili wendeleze mahusiano mema na EU pamoja na hilo la biashara lakini US kwa hofu kuwa anapoteza influence kwa EU ndo akaja na huo uzandiki kwa kufanya upanuzi ili siku ikifika waivamie Russia mazima.

Russia wana ramani za mipango yote yangia 2014 na wamesema wazi nini khasa lengo la US/NATO kujitandaza karibu yake.

Hivyo Russia amewawahi kabla ya wao kufanya chochote.
 
Wewe unaandika ujinga hadi unakera..et poor judgement..hivi unajua Putin alifanya nini mara baada ya waandamanaji kuvamia ofisi ya KGB -East Germany???
Jamaa ana mahaba na marekani, huyo anayemuita ni poor judgement ndiyo huyo huyo aliitoa urusi kwenye minyororo ya west ya madeni hadi kufikia urusi kuwa na uchumi wa kujitegemea
 
Daaah wee jamaa, kama urusi na China hawazuiwi kuweka base kwanini marekani alitishia kuchukua hatua Kali dhidi ya visiwa vya Solomon Kwa kitendo Chao cha kuruhusu mchina kujenga base????
 
Nashukuru brother na afadhali umekuja ili uongezee nyama maana hawa watu ni hatari hata kwa Taifa letu ikiwa watashika Uongozi
 
Sikupingi na wao wamevunja makubaliano ya kuitanua NATO, na kupereka siraha karibu na mipaka ya urusi
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Emmanuel Macron, president of France, clarified his position on the future of Europe and its relations with China and the U.S. in the short term. Returning from his visit to Beijing, Macron believes that Europe should avoid getting caught up in a conflict between the U.S. and China, and reduce its reliance on the U.S. dollar to avoid becoming “vassals,” applying his concept of “strategic autonomy.”

Emmanuel Macron Believes Europe Should Remain Autonomous Regarding U.S. and China

French President Emmanuel Macron recently revealed his stance on the current geopolitical and…

Continue Reading


News Source: French President Emmanuel Macron States Europe Must Reduce Its Dependence on the US Dollar to Avoid Becoming 'Vassals' – Economics Bitcoin News



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sheria za Marekani kampuni itafuata matakwa ya serikali Yao na kukataa ni kujimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…