kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na hasa akiwa ameshiba ugali dagaaMtu kama Proved anaweza kumpinga huyo jasusi mstaafu wa Marekani kua anamkuza TU Putin.
Kua Putin ni mjinga TU na ametengwa na Dunia nzima.
Huenda ikawa hivyo. Hilo eneo litakuwa limeua watu wengi kuliko kawaidaNimeona ila baadhi ya milblogger Warusi wanadai ni HIMARS. Kwamba JDAM hazijatumika pale.
Prigozhin anadai Bakhmut ikishaanguka ndio Ukraine itaanzisha counteroffensive.
Tarimo ajengewe sanamuSana tu.
Safi kabisa CHINA [emoji630]Wachina wamemkomesha huyu majnuni wa kikee
After Ursula lectured China China throws Ursula into a common passenger line at the airport while leaving China - not through a VIP exit The German press noted that the President of the EC Ursula von der Leyen faced a real diplomatic humiliation as her ID was checked
View attachment 2582413
Utakuwa umeachika mda sio mrefu. Ma stress unakuja kuyatoleo uku. Hapa umeingia cha kike, watu wenye akili kama zako walikuwa wengi sana lakini mpaka sasa kabaki kipanya peke yake na kwasababu ya dishi lake kuyumbaUSA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
jinga hilo usisumbuke nalo majituk kama hayo hayataki kuwa na akili za kujitegemea yana waza kuletewa kila kkitu na marekaniNchi kuwa na wapumbavu kama ww ndo sababu ya kuishi kwa kutegemea misaada ya Marekani na mwenyewe anahitaji muendelee kuwa wapumbavu zaidi ili muendelee kuwategemea.
Nimejaribu kufuatilia toka mwanzo sijaona sehemu umekuwa na akili hata siku moja inaonekana unamsongo wa mawazo.Unaamini ktk ujinga huo? Tumieni akili ndugu sote tunapenda Russia but tushauri matumizi ya akili na sio ubabe, ubabe haitatuimarisha hata kidogo bali itatuacha dhaifu zaidi.
Leo tunasema vita ni kati ya Putin na USA but jiulize USA wako direct? No yeye ni mfadhili na anashirikiana na allies kutufanya dhaifu au hatuoni hili think tank wa Russia?