Crimea ilikua part ya Urusi ikatolewa kama zawadi kwa Ukrain, sasa mkaleta wanyonyaji kwenye nchi...zawadi imerudi kwa mtoa zawadi...nini mbaya...??If the Crimean peninsula is the last swath of land that Ukraine recaptures from Russia, it will be the end of the war with this country, according to Kyrylo Budanov, the head of the Main Intelligence Directorate of Ukraine's Ministry of Defense.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bumba jingine hili hapa...The Russian invaders' construction of fortifications in the temporarily occupied Crimea indicates not only preparations for the Ukrainian counter-offensive but also the occupiers' desire to launder money.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
π π π π π. Huyu muhuni bado clip za akiwa anakula mbunye na bange tu. Hamna kitu hajafanyaPutin Mnyama na Sport Car
View attachment 2600041
Putin hakuwa raisi kwa kipindi hicho ila Gadafi asingeuwawa nakwambia.Unanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavu
Mm nimesema ukweli Russia wameshindwa vita na nchi dhaifu tu, kwani Putin alikuwa wapi wakati Gadafi anauawa? why akumsaidia? pumbavu unaleta upumbavu wako hapa
Russia wamezidi na watazidi kupoteza mbele ya USA ukitaka kumshusha USA usichagua vita alafu et vita umechagua nje ya USA duh, wakati huo watu wako ndo wanapigana vita, USA yeye ni watu wake wako mbali huoni unashida sehemu? Putin wetu ameyumba kichwani sio bure
Ila December isifike hamjafanya Counteroffensive yenu..mkizidi hapo bas Biden anawaacha...atakua kwenye harakati za uchaguzi mpya..na hakuna rangi mtaacha kuona..Ukrainian President Volodymyr Zelensky in an interview with Al Arabiya expressed confidence in Ukraine's ability to repel the Russian invasion, saying that the country is preparing for a counteroffensive.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke!!?Mahaba baba duh, ila binafsi Urusi vita imemshinda ni kujitapatapa tu
Wewe hujui kitu!Covid ilianzia China baba, au ndo kuchanganyikiwa au mahaba? Urusi ni mbwa koko mbele ya mbabe USA ok, alafu kuchukia USA ww sio wakwanza soma historia bwashee kote USA aliweza faulu Russia amebanwa mbavu na Ukraine sio USA mbona unakimbia ukweli kaka?
Kidoogo wanakaribia wale 190,000 walioanzisha hii OP fukuza wanazi..Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
From February 24, 2022 to April 24, 2023, Ukraineβs Defense Forces eliminated 187,080 Russian invaders, including 660 in the past day.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Analysis officer wa kp
kuna mtu anajiita ARMATA 14
Uelewa wako mdogo sana wewe!Russia wako na waliopuuzwa wenzake duniani kama Iran, North Korea, etc, USA amepuuzwa na nani wakati hata nchi yako wanaomba msaada kwake na sio Urusi.
Angepuuzwa USA tayari Urusi wangeshateka Ukraine tumia akili sio mahaba kaka
Haijawahi tokea hiyo...mshika mawili moja humponyoka, sasa moja limekuponyoka...umebakia upande wa NATOMkuu kuwa neutral ni kazi!Kwasababu kwa nyakati tofauti nitawakwaza watu wa group mbili hizi(pro West and pro Russia)
kwanini?humu ndani propaganda na mihemko ni mingi kuliko uhalisia.
hivyo basi nitakapochangia kitu kisichopendeza upand A basi nitaonekana supporter wa upande B and vice versa.
ila kwa mtazamo wako usije sema Igo Girkin ni pro West(kwa uchambuzi ni misimamo yake)
FYI: Number hazidanganyi bro, so tushawazoea!thread imevamiwa pro urusi nawakumbusha kuna sapota wa ushoga na usagaji kavamia thread twendeni nae taratiiiiiibuuu
Biden asihofu Ukraini itashinda, eeeh wazee wa counter-offer-show wataua warusi wengi kadir wawezavyo "in kp kipanya's voice"...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huko marekani Biden na kundi lake hofu tele.
[emoji1258][emoji1255] The Biden team fears the consequences of a failed Ukrainian counteroffensive, writes Politico.
The publication claims that the US presidential administration is preparing for criticism at home and from allies abroad if the UAF attack fails.
According to American politicians, some will reproach the American authorities for not handing over to the Ukrainian army everything that was required, including fighters and air defense systems. Others point out the shortcomings of Kiev
In addition, the countries of Europe will begin to consider peace talks between Ukraine and Russia as a more attractive option if Kiev cannot prove that victory is not far off.
Earlier, the commander of the Ukrainian troops in the Kharkiv region, Serhiy Melnyk, said that now the Armed Forces of Ukraine are exhausted: there are not enough people and equipment in the army.
Ukweli ni kuwa upande wa haki, sio kua refa kupiganisha haki na uovuI know that but always i will stand with truth and reality!
Mungu anapenda ukweli!
Na Biden anajitoa kujiandaa na uchaguzi 2024Kuna videos nimeona, kuna wanajeshi wengi sana wa Chechnya, wamemwagika kwenye fronts zote.
Inavyoonekana Russia wamejiandaa kuwachinja kwa mkupuo wa Ukraine watakaojipendekeza kufanya hiyo counter-offensive.
Naona wanataka kuwapa kichapo kimoja kitakatifu ambacho hawatakisahau na hawatarudia tena kuzungumzia counter-offensive.
Acha ndoto za ki-westwest basi, hivi kwanini mko brain washed kiasi hiki?, kama Urusi alipeleka wapiganaji 190,000 akaongeza nguvu ya wapiganaji wa wegner 50,000...unahisi Ukrain kaingiza wanajieshi kiasi gani? Kazuia wanume wote wenye nguvu Ukrain wapigane, bado kaongeza askari wa NATO wanazid 900+ pamoja na intel ya nchi 30 za ulaya..na bado maeneo yamechukuliwa...unahisi beti yako ratio ya vifo ni Ukraini 1:3 Urusi au ni Ukrain 3:1 Urusi...Mkuu ni hivi kwa ufupi;
kwenye vita pande zote hupoteza vifaa na askari.
kwenye aina hii ya vita inayopiganwa kati ya Ukraine na Russia (attritional warefare/trench warefare) mshambuliaji anapata madhara makubwa kuliko mlindaji(ndio maana uwiano waweza kufikia 1:3)
mkuu nahisi umenielewa kwa kupitia lugha hii nyepesi kwangu(kwa maoni yako)
H ha ha haa.Na hasa akiwa ameshiba ugali dagaa
Tarimo alishiriki kuikomboa Dunia.Tarimo ajengewe sanamu