Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe jamaa fix sana.
Yaani upo huku Manzese, halafu eti unajua kwa undani President Putin anapolala.

Au uwaga mnalala pamoja...
Hahahahahaha huyoo mwamba huwa ananifurahisha mnooo na uchambuzi wake, ukisoma anachoandika unaweza sema ni kamanda mkubwa mno wa NATO tena yuko mstari wa mbele wa mapigano, kumbe yuko zake Tanzania ametulia zake ana
 
Waiikujibu unitag mkuu
 
Hiyo ng'ombe sio ya kuijibu. Yenye ile majani tu alafu ikapige kunyeto
 
Kwa nini wahusika wanakana kushambulia na hio drone?.
Kazi ya air defense system ni kuzuia shambulizi haijalishi wahusika baadae watakubali au watakataa. Sasa kama wamekataa ndio shambulizi halijatokea?

Kwa mfano wangekubali ingebadili nini kwenye tukio hilo kutokea. Any unauthorized flight kwenye restricted area inadondoshwa, Kremlin hairuhusiwi ndege kuruka bila idhini. Hata Ukraine wiki hii walidondosha Bayraktar TB2 drone yao baada ya kupoteza mawasiliano ikiwa mjini kwenye makazi ya watu.

Ikulu hata ndege iwe ni ya Urusi wenyewe tena zile ambazo hazijawa exported ni marufuku makubwa kuwa anga la ikulu bila ruhusa
 
Mkuu sikuamini kuwa hujui kati ya Urusi na USSR. Pia siamini pia kuwa hujui kuwa mataifa zaidi ya kumi yalijitangazia uhuru zikiwemo wasaliti Ukraine, Poland n k. Kuanzia leo ukiandika kitu chako Wala sisomi .
Kwa akili zako unadhani Urusi ilianza kuwepo mwaka 1991. Czar Nicholas II, Peter the Great na Catherine waliongoza nchi gani?

Kwani nani hajui Russian Empire, USSR na Russian Federation.
Hiyo Kremlin inayowaliza ilijengwa na nani kwenye era ipi?
 
Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(6 May 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◽️In Kupyansk direction, the attacks, launched by aviation and artillery of the Zapad Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the AFU units close to Kislovka and Berestovoye (Kharkov region).

💥The AFU losses were up to 50 Ukrainian servicemen, 2 armoured fighting vehicles, 3 motor vehicles and 1 Akatsiya self-propelled howitzer.

◽️In Krasny Liman direction, Operational-Tactical and Army aviation, as well as the artillery of the 'Tsentr' Group of Forces, have neutralised the enemy near Nevskoe and Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic).

💥The enemy losses were up to 60 Ukrainian servicemen, 1 armoured fighting vehicle, 3 pickup trucks, 1 Gvozdika self-propelled artillery system and 2 D-30 howitzers.

◽️In Donetsk direction, the assault detachments continued to conduct combat actions against the enemy in the western part of Artyomovsk. The Airborne Troops units were constraining the enemy movement on the flanks.

💥Operational-Tactical and Army aviation, as well as artillery of the Yug Group of Forces inflicted a fire damage on the enemy units close to Chasov Yar and Bogdanovka (Donetsk People's Republic).

💥The Russian aviation have made 7 sorties in this area during the day. The Group's artillery have performed 72 firing missions.

💥The enemy losses were over 185 Ukrainian servicemen and mercenaries, 1 tank, 4 armoured fighting vehicles, 4 motor vehicles, 2 D-20 howitzers and 1 D-30 howitzer.

◽️In South Donetsk and Zaporozhye directions, the aviation and artillery operations of the 'Vostok' Group of Forces have resulted in the neutralisation of the AFU units near Gulyai Pole (Zaporozhye region), and Ugledar (Donetsk People's Republic).

💥The enemy losses were up to 90 Ukrainian personnel, 2 armoured fighting vehicles, 4 motor vehicles, and 1 D-30 howitzer.

💥1 ammunition depot of the AFU 35th Marine Corps Battalion has been destroyed close to Velikaya Novosyolka.

◽️In Kherson direction, the enemy losses were up to 35 Ukrainian servicemen, 2 motor vehicles and 1 Gvozdika self-propelled artillery system.

💥Operational-Tactical and Army aviation, and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 85 artillery units of the AFU at their firing positions, manpower and military hardware at 104 areas.

💥1 U.S.-manufactured AN/TPQ-48 counterbattery warfare radar has been destroyed close to Verkhnekamenka (Lugansk People's Republic).

💥Air defence forces intercepted 3 HIMARS multiple-launch rocket system projectiles and 1 HARM anti-radar missile.

◽️Air defence forces have shot down 32 Ukrainian unmanned aerial vehicles close to Novoandreyevka, Svatovo, Pshenichnoye (Lugansk People's Republic), Gorlovka, Volnovakha (Donetsk People's Republic), Vasilyevka, Chubaryovka and Orekhov (Zaporozhye region).

📊In total, 418 airplanes, 230 helicopters, 3,995 unmanned aerial vehicles, 421 air defence missile systems, 9,002 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,096 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,748 field artillery guns and mortars, as well as 10,002 units of special military vehicles have been destroyed since the beginning of the special military operation.

🔹 @mod_russia_en
 
Kwa akili zako unadhani Urusi ilianza kuwepo mwaka 1991. Czar Nicholas II, Peter the Great na Catherine waliongoza nchi gani?

Kwani nani hajui Russian Empire, USSR na Russian Federation.
Hiyo Kremlin inayowaliza ilijengwa na nani kwenye era ipi?
Kwanza iyo tabia yako kwa mtoto wa kiume si nzuri kabisa maana siku za mbele inaweza ikakuletea shida.wewe mtoto wa kiume unatakiwa kujikaza kama kidume ila iyo tabia uliyokuwa nayo ni tabia za dadazako.

Ukisikia tu kuna kitu kuhusu Urusi basi unarudi mbio mbio ila kama hamna basi unajifanya upo bize kumbe unaenda kushinda kwenye jukwaa la taarabu.hakuna mwanaume mwenye tabia kama zako.

Uwezi kuwa mwanaume hata kwa asilimia 2.
 
Ukrainian diplomats have laid a wreath and flowers at the monument to Ukrainian victims of the Ebensee concentration camp in Austria, as well as national monuments of other countries, to honor the memory of those who died in that death camp.
Historical memory makes Ukraine stronger in today’s struggle against the Russian aggressor, according to Yevhenii Tsymbaliuk, Permanent Representative of Ukraine to the International Organizations in Vienna.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini wanaosesema ni false flag unapingana nao?.
 
Mkuu mara nyingi huwa unawapa fact sema wengi ni vichwa maji na wana ubishi wa kiha hawawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…