Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hoja zako hizi unataka kutwambia nini kuhusu kushambuliwa kwa USS Cole, WTC na Pentagon?
 
Kwa hoja zako hizi unataka kutwambia nini kuhusu kushambuliwa kwa USS Cole, WTC na Pentagon?
Hizo incidents zote haikuwa kipindi cha vita, preparedness ya jeshi na ulinzi wa nchi huwa ni mkubwa mkiwa kwenye vita ya nchi na nchi.
1. USS Cole ilikuwa kwenye bandari ya kiraia ya Yemen, sio bandari ya kijeshi na sio nyumbani. Shambulizi ni la kigaidi.
Hii haina ulinganifu wowote na Moskva cruiser ambayo ilikuwa kwenye state of war na inaenda kufanya shambulizi dhidi ya nchi, na iko baharini.

2. Pentagon na WTC zilishambuliwa na magaidi, hakikuwa kipindi cha vita. Hijacking ya civilian airliner sio sawa na unmanned drone ambayo unaharibu kabla hata haijasogea eneo. Na hizo sio ikulu
 
Utumbo unao wewe mkuu, na siwezi ionea wivu nchi yako hiyo mchuuzi wa gesi. Kuna nchi za kuonea wivu ila sio hilo kubwa jinga. Nitajie nani aliwahi ondoka Marekani kwenda kuishi nchi nyingine akafanikiwa zaidi, nikutajie Warusi zaidi ya watano mamilionea walioenda Marekani wakafanikiwa.

Nimesema kati ya Iskander na Kinzhal ni bora ya Iskander. Kinzhal sio hypersonic pekee, nyinyi ndio kila dawa ya meno mnaita Whitedent. Na nikasema ni bora ya hypersonic za Wachina ambazo ni anti-ship kama JY-21.
 
Hilo zege lao walisahau kuchora Z kama wafanyavyo kwenye vifaru vilivyokufa kipindi cha vita vya dunia
 
Wewe jamaa una maneno mengi utadhani mfanya mazingaombwe.
Wewe Kila kitu alichonacho Urusi asichokua nacho USA kwako ni kupinga TU.
Mada hii haizungumzii mafanikio ya kiuchumi wala utajiri wa mamiilionea,unajaribu kuhamisha mada.
Mada ni vita kati ya Urusi na Ukraine.
Kama Urusi kubwa jinga ingizeni basi majeshi yenu ya NATO kama mlivyozoea kuingiza Kwa akina lraq na Watalaban.
Umekua muongo Hadi unasahau ulidanganya Nini mara ya mwisho na Sasa hivi watu wamekushitukia na Sasa umeanza kujiongopea mwenyewe.
Nakukumbusha moja ya uongo wako ,Kuna mtu alikubana humu kwa ishu ya Assad ukasema USA haikuwahi kutaka kumpindua Assad.
Nikakuletea kauli za Viongozi wa USA wakubwa akiwemo na Rais wa USA wakisema 'Assad must Go'.
Sasa mtu kama wewe tukuamini kwa lipi?
 
Wanaoshangilia kuwa daggar imetunguliwa someni hii kutoka TG channel ya Ukraine.

#раскладка
As for the information about the downed "dagger" - this is an invention of our specialists. According to our data, nothing was shot down, but this is not the most important thing. The main thing here is that our functionaries work according to the old formula, to please the "sponsors".
The purposes of this statement are many.
The first is to show that Russia no longer has a formidable weapon that can get anyone from anywhere. Such a moral factor.
Secondly, this is a PR campaign for Patriot air defense installations. The Office of the President always promotes what sponsors ask for. Most likely it comes as an additional

Wanaojua kirusi someni hapa Chini

#раскладка
Насчет информации о сбитом «кинжале» - это выдумка наших спецов. По нашим данным ничего не сбивали, но, это не самое главное. Главное тут, что наши функционеры работают по старой формуле, угодить «спонсорам».
Целей этого заявления много.
Первая, это показать, что у России нет уже грозного оружия, которое может достать кого угодно откуда угодно. Такой себе моральный фактор.
Второе, это пиар акция установок ПВО Patriot. Офис Президента всегда пиарит то, что их просят спонсоры. Скорее всего это идёт как дополнительная функция от заказчика. Ранее, это были Байрактары, потом Хаймерсы, а теперь патриоты.

Сейчас с турками уже отношения испортились и сразу Байрактар вышел из строя и его показательно сбили, а после заявили, что это у птички мозги протекли, а не ошибка пилотирования. Хотя, могли легко сказать, пилот - ученик ошибся, чтобы не портить отношения с Турцией и не обваливать им рейтинг и имидж.
 
Drones mbona ziliwashwa moto!!?
 
Marekani haijawahi kuweka mikwara mbuzi dhidi ya Urusi. Hicho ni kama kisima cha mafuta wacha kiwauzie mafuta producers wa dunia kisha wao wazalishe na wakiuzie products za kawaida kama simu.

Urusi ndio inabidi iivamie nchi iliyotoa silaha kwa Ukraine kama ulivyosema. Au ivamie Finland kama ulivyosema.
 
Mbona drones zilitunguliwa? Sasa hawezi kulinda Ikulu kivipi?
Kitu gani, interceptor gani imedungua hiyo drone?
Drone imevuka kilomita kadhaa na mita za kutosha kwenye restricted area

Yani ikulu izuie bodaboda kuingia ndani alafu bodaboda iingie washindwe kuizuia ikamatwe ikiwa ndani ndipo walinzi wajisifie wamezuia?
 
Hivi wewe una matatizo gani? Unasema shambulio limefanyika wakati drones zote ziliwashwa moto kabla hazijafanya shambulio lolote!!
 
Wale wamarekani waliouwawa kwenye mahandaki last month unawakumbuka mkuu?
 
Inaonekani uelewa wako ni wa chini sana au unaubishi wa kindezi.
 
Hatari sana huyo mwamba Galip Vrl ,comment zake unasoma kama upo darasani tena pindi la mathe, acha we unatamani asimalize [emoji28][emoji28]
Heshima kwenu Wakuu 🤝, BUSH BIN LADEN na abdulqadirj kwa pamoja niseme am humbled na shukran for such a Compliment mliyotoa🫡...

Kitaaambo sana but nipo jirani nawa'zoom kwa mbali.
 
Waliozoea kuchinja angalia Sasa Ukraine walivyofanywa

⚡️Total confirmed losses by the end of the day for the AFU amounted to 846; not including actions by MVD Forces & "Yug" Artillery forces. The true number is likely closer to 1,100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…