Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] yani kweli hauna akili hata kidogo.yani unaipangia mifumo jinsi ya kufanya.kwa iyo ulitaka drone zilipuliwe kuanzia wapi?.
 
Ilo kombora linaloitwa JY-21 umelipata wapi au umetengeneza kwenyewe.ebu toa ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Tuanzie hapa, ni aina gani ya material imetumika kutengeneza ganda la Nje la hiyo Hypersonic cruise missiles ya Russia? Ukiweza unaweza kutupa Hata detailed description of classifying the material katika levels zifuatazo:
1.Macro structure
2. Micro structure
3. Sub structure
4. Crystal structure
5. Electronic structure
6. Nuclear structure
====
Natanguliza Shukrani.
 
ngoja akagoogle kwanza [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tunaomba majibu ya ilo kombora linaloitwa JY-21 linatumiwa na taifa gani maana hakuna kombora lenye jina kama ilo.tueleze wewe umelitoa wapi.

Tupo tunasubiri majibu
 
Wagners kote kote wapo[emoji23][emoji23]

The French Senate’s website went offline after pro-Russian hackers claimed to have taken it down, in the latest cyberattack since Russia invaded Ukraine last year. A group calling itself NoName on Telegram claimed responsibility, saying it had acted because “France is working with Ukraine on a new ‘id’ package, which may include weapons
 
Sis wa la pili b tunakodoa macho tu hatujaambulia kitu
 
Naanza kuwaamini wanao sema we kwako kila cha US ni bora na kila cha Russia ni dhaifu. We huoni kwa matukio yote kuna failure of intel agencies za taifa husika?

Kwamba US navy ship ikiwa nje ya US na ikawa bandari ya kiraia inakuwa sawa na lori la Azam pale Benaco linalosubiri kuingia Rwanda, unaweza kutoka unakotoka ukalipiga kibiriti?

Hivi kwa nchi kama USA taasisi zake za intelligence zinapaswa kurelax na kusinzia kisa nchi haiko vitani? Mi nilijua moja ya majukumu yao ya msingi ni pamoja na kudetect dalili za matukio hatarishi yakiwa katika hatua za awali za kupangwa na kudeal nayo!

Au gaidi hua anaamka tu na kujipakia milipuko na kwenda kulipua sehemu! Hamna chain of events ambazo CIA, NSA na DIA walipaswa kuzigundua mapema kwa issue ya USS Cole? Na je CIA, NSA na FBI hakuna kitu walipaswa kufanya kuiepusha nchi na Sept 11? Kama wali fail hapa US ni super power kwa uzembe huu wa taasisi zake za usalama?

Kama Putin tu huko aliko aliunganisha dots za kulipuliwa USS Cole na kuuawa kwa Ahmad Shah Masoud akahisi Alqaida wanapanga shambulio kubwa zaidi na akampigia simu Bush kumtahadhalisha kwanini wao Super power hawakuliona hili?

Kwa utetezi wako tuamini raia na assets za US haziko salama hata kidogo threat inapotokana na ugaidi? Unawakosea sana wana jukwaa waliokupa moyo na hisia zao man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…