Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa kati ya Fuso na msemaji wa Ukrainian air force tumsikilize nani


 
♨️♨️♨️

❗️According to the results of last year, Russia returned to the top ten largest economies in the world (8th place). This follows from the data of the World Bank and national statistical services. In 2014, the country ranked 9th.
♨️♨️♨️
 
Kama Kwa mawazo yako hypersonic haipo, inakuwaje marekani anatumia billions za dollar kufadhili mradi ambao haupo????

Ndiyo kusema marekani hakuna Wanasayansi wa kuishauri serikali Yao na kuwaambia wasipoteze pesa za walipa Kodi Kwa miradi ambayo haitawezekana
 
Russia electronics industry yao ni dhaifu labda Kinzhal inategemea inertia navigation ambayo inafaa kwa stationary targets. Ile haina mambo mengi ila haiko very accurate.

Electronic industry ya Russia kwa nini unasema ni dhaifu? Mbona imeonyesha capabilities nzuri sana kwenye uwanja wa vita hasa kwenye kudeal na western weapons?

ukianza na drones za Ukraine


HIMARS zimekua jammed imepelekea kuwa na less efficient


JDAMs zikawa jammed kuzifanya zimiss target
 
Kama akili yako inakumbukumbu hata huo mfumo ulioupost Ni msaada kutoka us unatuambiaje Sasa sio NATO ?
 
Una umri gani? Aisee kuna shida kwa Vijana wetu katika kujumlisha na kutoa katika mambo yanayoendelea ulimwenguni. Russia anapigana na nchi zaidi ya 32 hapo.
 
[emoji1218][emoji1218][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji736][emoji736][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Unadhani CIA itakaa tu wakati kuna watu wanapanga kuivunja Marekani iwe vinchi vidogo.
We jamaa michosho sana, kwahiyo unataka tudiscuss kitu ambacho hakijatokea tutapata jibu?

Umeshakubali Uss Cole na Sept 11 zilitokea kwa sababu mashirika ya kijasusi yali fail kuplay part yake kwa ukamilifu, sasa kama mashirika husika yanaweza kufail kwanini tuamini US haiwezi kuvunjika pia kwa mashirika husika kufail kufanya wajibu wao?

Shit happens bro haijalishi una uwezo kiasi gani ndo maana kwa mfano CIA unayosema haiwezi kukaa tu ikiangalia nchi ikiwa inavunjika vipande walikuwa wapi Balozi wao pale Benghazi anauawa? Si kila ofisi ya ubalozi kunakuwa na CIA asset ambae ni Chief of station au FBI walikuwa wapi wakati Commander in Chief ndugu Kennedy anauawa?

Umeshajihukumu kwamba US sio miungu so hoja zote zinasimamia hapo, hakuna mkali wa kila kitu na kila wakati. USSR sio Russia kwahiyo hapaswi kubebeshwa majukumu ya kuvunjika kwa USSR.

Na hata kama USSR ilivunjika inaweza kuwa matokeo ya kazi ya ndani na sio nje kama wengi mnavyotaka kuforce ionekane same goes na FSB kumuweka madarakani Trump.
 
Wasije kusema Urusi imeishiwa diesel hadi magari yao yanatumia mafuta ya nazi
 
Mbona sasahivi Ukraine ndio anashambuliwa sana kwa makombola. Juzi nimesikia mikoa yote 13 ilikuwa inawaka moto
Mkuu!Kwa jiografia na ukubwa wa Ukraine ni ngumu sana kudhibiti kabisa mashambulizi yasitokee hasa ukizingatia idadi ndogo ya mifumo hii(hususani Patriot ADs 2 deployed)
Pia Urusi huwa anarusha makombora mengi na droni kwa wakati mmoja hivyo kuizidi nguvu mifumo hii.
kumbuka hata Urusi pamoja na kuwa na mifumo mingi na ya kisasa ya ulinzi kama S-400,S-300,Pantsir,Electronic warfare,etc bado droni za Ukraine zimeweza kupita kwenye anga lake( kumbuka hakuna mfumo uliosahihi kwa 100%)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…