Huyu yupo kweli au alikwenda na maji pale kwenye bunker?Hali tete Ukraine yasababisha kamanda mkuu wa Ukraine ashindwe kuhudhuria kikao Cha NATO hata Kwa njia ya mtandao.
[emoji1255] Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny refused to participate in the meeting of the NATO Military Committee at the level of Chiefs of General Staff "even in the format of a video conference" due to the "tense operational situation" in Ukraine”.
"Yesterday I received a letter from the Ukrainian commander Zaluzhny, who informed that, due to the tense operational situation on the ground, he would not be able to take part in a meeting of the NATO military committee, even in the format of a video conference," the media quoted the head of the Alliance committee, Rob Bauer, who opened the event (broadcast was conducted on the website NATO).
@DDGeopolitics
Hii sio habari ya kuishabikia kabisa, kama wanathubutu, next time wanaweza kufanikiwaKumbe Ukraine walijiandaa kuharibu sherehe Kwa kutumia drone 55 lakini zote zilifanywa kitu mbaya Sana.
❗️🇷🇺🇺🇦✈️ I should like to thank the armed forces and law enforcement agencies. To all those who ensured the security of our country on that day.
Over 25 drones were shot down and landed today. About 30 more drone take-off attempts were stopped in Moscow and the region.
Thank you for the celebration. Victory will be ours.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Mkuu!Russia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???
HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??
View attachment 2616788
CNN: HIMARS become less effective in Ukraine due to Russia's jamming
In recent months, Russia has been blocking the U.S.-provided High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS) used by the Ukrainian army more frequently, making them less effective, CNN reported on May 5, citing people familiar with the matter.kyivindependent.com
Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.
Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
Pole sana bandugu wallahMkuu!
*Nimesema 50% ya ardhi iliyokatekwa na Urusi(na siyo ardhi yote ya Ukraine naomba elewa)
*Himars zinakuwa jammed lakini si kwa 100% (rejea shambulio la Donesky juzijuzi)
*Mkuu nitajie miji walau 2 aliyokaretreat Russia now ameirejesha)
Kumbe wanathibitisha rasmi kwamba droni nyingi zinarushwa ndani ya Urusi? Hili ni tangazo rasmi kweli?Kumbe Ukraine walijiandaa kuharibu sherehe Kwa kutumia drone 55 lakini zote zilifanywa kitu mbaya Sana.
❗️🇷🇺🇺🇦✈️ I should like to thank the armed forces and law enforcement agencies. To all those who ensured the security of our country on that day.
Over 25 drones were shot down and landed today. About 30 more drone take-off attempts were stopped in Moscow and the region.
Thank you for the celebration. Victory will be ours.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
hujui hata kuchomoka pale unapokuwa umechemka...!!...Russia alikuwa ametaka 30% ya ardhi ya Ukrein kwa ujumla...unaposema Ukrein amerudisha 51% ya ardhi iliyokuwa imetekwa...u mean (51% of 30% sio..)...kwa hiyo unamaanisha Ukrein amerudisha 15% na Russia kabakia na 15%..sio???..if so umefikiria lakini kabla ya kutuandikia humu?Mkuu!
*Nimesema 50% ya ardhi iliyokatekwa na Urusi(na siyo ardhi yote ya Ukraine naomba elewa)
*Himars zinakuwa jammed lakini si kwa 100% (rejea shambulio la Donesky juzijuzi)
*Mkuu nitajie miji walau 2 aliyokaretreat Russia now ameirejesha)
Humu kumbe kuna wapumbavu wa mwisho kabisa tuko nao.[emoji846]View attachment 2616894
Weka source ya taarifa yako humu sio kijiwe cha kahawa.Usikute vijana wake wamemuuza kama Yuda[emoji23][emoji23][emoji23]. R.I.P kamandaView attachment 2616993
Kamanda amekwenda na mma kijana.mbona liko wazi ilo au ndo umetoka kulala bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]Weka source ya taarifa yako humu sio kijiwe cha kahawa.
Fatilia tungo zake, miundo ya sentensi zake zusizofuata tamathari za semi utagunduaUmejuaje huyo mdau ni Mzungu ?, umemuona ?
Uzuri kifo uwa akijifichi.we kuwa mpole tu utapata taarifa kamili kutoka kwenye ikulu yenuWeka source ya taarifa yako humu sio kijiwe cha kahawa.
Ni kazi rahisi tu weka source acha kujichekesha.Kamanda amekwenda na mma kijana.mbona liko wazi ilo au ndo umetoka kulala bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamanda muda huu yupo kuzimu anasubiri hukumu yake kutoka kwa Father God[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kazi rahisi tu weka source acha kujichekesha.
natamani hili jambo liwe kweli...ikiwa hivyo litaanza kumfikirisha Zelensky mara mbili juu ya kuendelea na hii vita...,,, na itawavunja morari sana hapo kwa FRONTOKamanda muda huu yupo kuzimu anasubiri hukumu yake kutoka kwa Father God[emoji23][emoji23][emoji23]
Safii,japo ni zaidi ya iyo!The Ukrainian army regains 5% of the city of Bakhmut, acc UkrMedia