Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Mkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.
(Ukipenda kuleta tena orodha ya Libya, Iraki, Afghanistan na kadhalika: hapana hizo zote hazikuwa mashambulizi ya NATO; Afghanistan ilikuwa jibu kwa shambulio dhidi ya nchi mwanachama, Libya ilikuwa kufuatana na agizo la Umoja wa Mataifa, Iraki 1 ilikuwa jibu la uvamizi wa Kuwait, Iraki 2 ilikuwa vita ya Marekani, si ya NATO; Kuingia kwa NATO Yugoslavia ilifuata azimio 816 ya Baraza la Usalama ya Umoja wa Mataifa na ombi la Katibu Mkuu, kwa shabaha ya kusimamisha Waserbia waliolenga kuangamiza Waislamu wa Bosnia).
[/QUOTEUrusi anapigana na NATO, huo ndo ukweliKwa nn wasiwe na huo uwezo..?. kwani NATO ni akina nani..? si wanajeshi tu waliopatiwa mafunzo na kupewa silaha bora...?...wewe uliwahi kudhania hapo nyuma kuwa Jeshi la Ukrein wangeweza kuhimili jeshi la Russia hata kwa week 2....?... Wagner wamepewa sila bora na jeshi la Urusi ...wanapewa michongo/intelligency ya kila aina na jeshi la Urusi...Why? wawashindwe hao NATO...unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...kumbe ... hata askari wa Poland...sijui Romania, na nchi nyingi tu hapo za former soviet union ni NATO...sasa wana maajabu gani?...Marekani ndio baba wa NATO...mbona alisimamishwa na Somalia hapo...wale Mujahidin wa Afghanistan aliwaweza huyo Marekani..??..na hawakuwa na ubora wowote zaidi ya morali ukiwalinganisha na hao Wagner.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hizi Gepard mjerumani alishazistaafisha tangu 2010 (yeye hazitumii tena) na ni tech ya miaka ya 1960 lakini Leo hii (miaka 60 baadae) imekua mwiba mchungu dhidi ya suicide drone za Iran. Kweli mjerumani kwenye tech sio wa mchezo mchezo.Germany is preparing another massive military package (2.7 billion Euro) for Ukraine. It will contain:
- 4x IRIS-T SLM firing units
- 12x IRIS-T SLS launchers
- 30x Leopard 1 A5
- 20x Marder IFVs
- 18x RCH 155 Haubitze
- Hundreds of SLM and SLS missiles
- Artillery ammunition
- 200x surveillance drones
- 100x MRAPS
- 100x logistic support vehicles
Picha ni Gepard SPAAG maarufu kwa kuzuia suicide drones za Iran. Gazeti jingine limedai zitaongezwaView attachment 2620503
Ulaya walikuwa wanasema munitions za Ukraine hasa za S-300 zinaisha mwezi huu ila take it with a grain of salt maana taarifa za kumpotosha adui aingie kichwa kichwa ni nyingi. Hata S-300 zikikosa at least hizi Western systems zipo ingawa sio backbone ya Ukrainian AD.Kama mrusi alishindwa kufanya SEAD operation pale mwanzo Kwasasa hicho kitu asahau Labda ije itokee Ukraine aishiwe ammunition za air defenses kitu ambacho si rahisi.
"unconfirmed".According to unconfirmed reports, the commander of the Bakhmut grouping of the Armed Forces of Ukraine, Syrsky, reported to Zelensky about the heavy fighting in Bakhmut itself, during which the Armed Forces of Ukraine were forced to leave the blocks around high-rise buildings.
Majibu yanakuja"unconfirmed".
Nimeishia hapo.
Russsia ni Taifa teule wadogo zangu achaneni na movies za hao upinde
Mjerumani tatizo lake moja tu ni kufanya vifaa vyake vya kijeshi kuwa more complex, mambo ya sensors kibao na maintenance kubwa kama magari yake. Ndio maana Ukraine huoni wanatumia sana Pz2000 wanakomaa na self propellered howitzers za Poland.Hizi Gepard mjerumani alishazistaafisha tangu 2010 (yeye hazitumii tena) na ni tech ya miaka ya 1960 lakini Leo hii (miaka 60 baadae) imekua mwiba mchungu dhidi ya suicide drone za Iran. Kweli mjerumani kwenye tech sio wa mchezo mchezo.
Pole sana shekhe, warusi wamekuachia uwanja peke Ako[emoji1787]Majibu yanakuja
Nina wasiwasi hata zile documents za Pentagon zilizovuja juzijuzi hapa kuhusu plans pamoja na vifaa vya jeshi la Ukraine ilikua ni moja ya mipango ya kumpotosha aduiUlaya walikuwa wanasema munitions za Ukraine hasa za S-300 zinaisha mwezi huu ila take it with a grain of salt maana taarifa za kumpotosha adui aingie kichwa kichwa ni nyingi. Hata S-300 zikikosa at least hizi Western systems zipo ingawa sio backbone ya Ukrainian AD.
Urusi haina uwezo wa kufanya SEAD, ule muda iko busy Hostomel na VDV ingeutumia kuharibu AD na runways za Ukraine. Wana mifumo ya kizamani wale wazee kwenye MoD, wanashindwa fanya kitu kilifanywa na Israel mwaka 1967.
Ni kati ya vitu sijawahi zungumzia humu. Ilikuwepo Zimmerman telegram kwenye WW1 ilikuwa hivihivi taarifa za uongo watu wakaingia kichwa kichwaNina wasiwasi hata zile documents za Pentagon zilizovuja juzijuzi hapa kuhusu plans pamoja na vifaa vya jeshi la Ukraine ilikua ni moja ya mipango ya kumpotosha adui
Nadhani hili ni tatizo la silaha nyingi za West,zinakua complex kupitiliza. Kama wamarekani walivyoweka jet engine kwenye Abrams tank pamoja na makorokoro mengine. Sasa hii Kwa Ukraine itakua ni logistical nightmareMjerumani tatizo lake moja tu ni kufanya vifaa vyake vya kijeshi kuwa more complex, mambo ya sensors kibao na maintenance kubwa kama magari yake. Ndio maana Ukraine huoni wanatumia sana Pz2000 wanakomaa na self propellered howitzers za Poland.
Otherwise Ujerumani ina silaha nzuri sana ila kwa namba ndogo na kwa gharama kubwa. Waliiuzia Israel submarines zao za Dolphin class zenye AIP system.
SawaMajibu yanakuja
Wamarekani ile jet engine ni the best navyoona kwa sababu ni ndogo, more powerful na kubwa zaidi inatumia mafuta aina yoyote iwe diesel, petrol na mengine. Kwa wao inawafaa, kwa wengine hapana maana inakula mafuta sanaNadhani hili ni tatizo la silaha nyingi za West,zinakua complex kupitiliza. Kama wamarekani walivyoweka jet engine kwenye Abrams tank pamoja na makorokoro mengine. Sasa hii Kwa Ukraine itakua ni logistical nightmare
Kipigo kinajibiwa na kipigo yaani leo wanaleta kelele najua kesho atabaki kipanya tu hao wengine wataingia mitini.Nawaletea mpya mpya sasa nataka msikimbie
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️A destroyed Ukrainian Panthera T6 armored car delivered from the United Arab Emirates, a rare PRP-3 "Val" mobile reconnaissance post and two BMP-2s on the second "death road" from Khromovo to Bakhmut[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
View attachment 2620522
View attachment 2620519
View attachment 2620518
Ndicho nachosema kwao inawafaa Ila Kwa wengine ni issue.Wamarekani ile jet engine ni the best navyoona kwa sababu ni ndogo, more powerful na kubwa zaidi inatumia mafuta aina yoyote iwe diesel, petrol na mengine. Kwa wao inawafaa, kwa wengine hapana maana inakula mafuta sana
Hao jamaa wanafuraha ya masaa tuKipigo kinajibiwa na kipigo yaani leo wanaleta kelele najua kesho atabaki kipanya tu hao wengine wataingia mitini.