Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ukweli mtupuuuuMwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo
No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Ndugu yangu Bwana Utamu NAMI nasema kwamba!🙏MKUU umeupiga wakutosha sana kongole wakuelewa naaelewe
Tunasubili mkusanyike tena na machumachuma yenu kwa maandalizi ya counteroffensiveKwahiyo tuseme kuwa baada ya ku destroy Patriot hatutasikia tena mashambulizi kuelekea kyiv maana lengo la kuipia Patriot limetimia na ndio silaha ya pekee iliyopo hapo kyiv.
Sio anamtandika Ukraine,sema anamtandika NATO!Kama kawaida, russia anamtandika ukraine kwa mwezi mmoja baadae anampa siku 3 za kujidai.
Kaunta offensive ya sitomu shadow imeishia wapi?
Labda iliugua baada ya kazi kubwa ya kudaka makombora🤣🤣🤣🤣😂😂😂🇷🇺💪Inakuwaje "damaged" wakati makombora yoooteee yalizuiliwa?
Hii ya Hawa wapuuzi kuchapwa naingojea mnoooRais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Yupo Tayari kuisaidia Serikali ya Congo DRC Kuwamaliza Magaidi wa M23.
Balozi wa Urusi Jijini Kinshasa Congo DR Tayari ameshaonana na Waziri wa Ulinzi wa DRC Jean Pierre Bemba Tarehe 20.04.2023
View attachment 2598663
Sema huyu jamaa akiongea hua anamadini matupu halaf linajua kuongea jamaa yupo na kila sifa yakua FMJukumu la operesheni maalum ya kijeshi ya Urusi ni kuondoa vitisho vilivyoundwa na NATO kwenye mipaka ya nchi, NATO haijasema kwa uaminifu ni vitisho gani iliondoa huko Yugoslavia, Libya, Iraqi - Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Lavrov katika mkutano wa Baraza la Usalama la UN.
Ila vita bado inaendelea kupuuzwa kwa sababu ama laa hakutaifanya UKRAINE [emoji1255] isishikishwe adabuNdio kinachompata Mzee Putin kwa sasa.....hii Vita imemtia aibu na sababu zake za uongo kuanzisha hii Vita zimepuuzwa na walimwengu.
Alokwambia RUSSIA anataka msaada wakijeshi NaniMkuu!Hapana sote tumeona Urusi ilivyopata uungwaji mkono mdogo katika mambo mengi ikiwemo UN(votes) na hata misaada ya kijeshi.
sasa kwa mazingira haya inajulikana nani katengwa.
Mkuu tuongelee uhalisia(kubali kuna muda mambo hayaendi kama unavyopenda/taka)
Shoigu anashangaa, Ukraine wanasema wameintercept Missile nyingi kuliko hata Russia alizo launch, hizo idadi nyingine wametolea wapiSasa kama Patriot imeharibiwa si muendelee kurusha makombora maana anga la Kyiv halina ulinzi.
Swala jingime kama Kinzal haitunguliwi na Patriot hizo 6 mlizorusha kyiv zimepiga wapi maana target yao ni kui destroy Patriot na ziko mbili tu kyiv sasa kinzal 6 za nini?
Kwahio SMO bado tunayo sanaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
US Dollar Has Five Years Left As Dominant Currency — Russian Tycoon
According to Russian billionaire Oleg Deripaska, the US dollar has only five years left as the principal currency for the global economy.
Seven years ago, the absolute dominance of the greenback in global settlements and financial transactions seemed unshakable, the founder of aluminum giant Rusal wrote in a Telegram post on Saturday.
Deripaska expects global settlements to diversify and digital currencies to become more “compatible.” “That will be hard at the beginning, but then the world will discover a new reality without a [need for] a hegemon,” he said.
Subscribe to RT
HeheheeeNchi kuwa na wapumbavu kama ww ndo sababu ya kuishi kwa kutegemea misaada ya Marekani na mwenyewe anahitaji muendelee kuwa wapumbavu zaidi ili muendelee kuwategemea.
Kwa maana Ukrain hawajui hata zilirushwa ngapiShoigu anashangaa, Ukraine wanasema wameintercept Missile nyingi kuliko hata Russia alizo launch, hizo idadi nyingine wametolea wapiView attachment 2625033View attachment 2625034
Tutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo, leo bakhmut imekwenda hahahahahahaaTutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo. Leo tayari 600.