Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Ngoja nijibu kwa niaba yake, because yuko Poland kwenye training za F-16 akijiandaa kwa historical counteroffensive.Kipanya unasemaje bukhmut tuijenge kama mariupol au kama beijing
ushauri tafadhali!
Hizo si mali kitu kwa Urusi, wana air defence Kali Sana na nyingine hawajazitumia kama s 400, s500 na s 550 ambazo zinatungua mpaka setilaiti. Wao wazilete tu waonyeshwe kazi.Wachambuzi, tuzijadili siraha mpya kwenye uwanja wa SMO-F 16 planes, je zitakua na impact gani?
Russia watakua damaged how far na meassures za kuzidhibiti ni zipi?
Majibu kutoka Kremlin sisi tutakudanganya na uchambuzi wetu wa mbagala rangi moja.Wachambuzi, tuzijadili siraha mpya kwenye uwanja wa SMO-F 16 planes, je zitakua na impact gani?
Russia watakua damaged how far na meassures za kuzidhibiti ni zipi?
Macron ni mnafiki sana, usimwamini hata kidogo Mkuu Labani og . Ndiyo maana akienda kwa PUTIN2022 pale Kremlin, sitting distance anayopewa ni kama dunia na mwezi within the same room.Hapa ndipo naanza kuamini kauli ya bwana mdogo macron.....raisi wa ufaransa pale aliposema ...
Ingawa Wegner ni kampuni dg la ulinzi Russia [emoji1179][emoji1179] lakini inawezekana wako imara na fighting spirit kubwa kuliko baadhi ya majeshi ya nchi za EU". mwisho wa kunukuu kutoka Kwa macron [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sanakp kipanya44 Ungekuwa wewe ungbaki,
Cheki kazi iliyofanywa jana usiku na wanamgambo wa Wagner hapo bakhmut[emoji635] kuhakikisha hakuna hata inzi atakayetoka salama hapo bakhmut[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2628833
🙏🙌👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺💪Licha ya vidonge, unaweza kushangaa vikiibuka vita kubwa kati ya nato na wakomunisti alafu mabomu makubwa yote kutoka nato yakaharibiwa yakiwa kwenye anga zao wenyewe hivyo wakaanza kukaangwa kwa mionzi ya mabomu yao wenyewe.
Kingine naamini zile dakika 5 za kwanza wachina na warusi watakuwa bize kulinda anga zao zaidi huku wakitungua satellite za nato zote alafu ndipo wataanza kuwaadabisha hawa mbwa.
Katika record sijaona silaha iliyomsumbua Urusi pale Ukraine alafu cha ajabu Putin na serikali yake hawana hofu kabisa ila wanaongea kwa kifupi sana kwamba, kila mtakacholeta tutakuharibu! Hii inaonesha anawajua nato kuliko wanavyojijua.
Urusi libarikiwe sana na iheshimiwe na kila mwenye akili timamu
StarringStaftah njema bandugu View attachment 2629518
Mungu ibariki Urusi kutusaidia Kuwathibiti manyangau haya mashetaniUko Sawa,lkn napenda nikuhakikishie, Moscow wanajua Kila Nia ovu juu Yao inayopangwa na west.
Kuna watu hawalali kazi zao ni kufatilia Kila mpango ovu unaopangwa na west.
Wanajua kuliko tunachojua sisi.
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces killed about 201,760 Russian invaders between February 24, 2022 and May 19, 2023, including 660 in the past day alone.
On May 18, Ukrainian defenders also destroyed 4 enemy tanks, 4 armored combat vehicles, 12 artillery systems, a multiple rocket launcher, an air defense system, 10 operational and tactical level UAVs, 21 cruise missiles, 10 trucks and fuel tankers, and a unit of specialized equipment.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile a
Kuna balozi mmoja wa Urusi nchini Marekani,akiwa huko huko alikua akijibu hoja ama akitoa ufafanuzi Fulani,alionya kwa njia ya mkwala,Halafu eti tunapeleka wanajeshi wetu for training Marekani au tunatumia American Millitary Advicers,upuuzi mtupu,Russia ndiye mwanaune bwana.
Putin ana mbwembwe.........,mwananaume kwa mkogo kabisa kasema,"we have not started yet." Duh,hamjaanza huku NATO chali!Sawa Boss Putin,sasa mtakapoanza itakuwaje,ngoja tusubiri.
Kweli kabisa mwamba.Moscow ni Taifa Kuu la Kaskazin
Mungu ibariki Urusi kutusaidia Kuwathibiti manyangau haya mashetani
Hizo 35,000 unit guns tunaenda kufanyia kazi west Africa.[emoji845][emoji635][emoji1255] Chronicles of #Bakhmut in numbers.
[emoji736] The 21 Brigade of the Armed Forces of #Ukraine was defeated.
[emoji736] 10 brigades of the Armed Forces of Ukraine have completely lost their combat capability.
[emoji736] 57,000 APU killed and over 35,000 wounded.
[emoji736] More than 10,000 pieces of equipment and weapons of the Armed Forces of #Ukraine destroyed.
[emoji736] More than 50 aircraft and helicopters of the Armed Forces of Ukraine were shot down in the sky above Bakhmut.
[emoji736] More than 6.5 thousand foreign mercenaries destroyed.
[emoji736] More than 100,000 units. small arms lost the APU.
[emoji736] More than 35000 units. guns were captured by PMC #Wagner during the battles for Soledar and Bakhmut.
Tumedanganywa for too long mkuu.America iliamisha Ulimwengu kwa kutumia soft power kwamba ndiyo mwamba Ulimwenguni in everything,kumbe si chochote si lolote, debe shinda,mwamba mwenyewe yupo kanyamaza.Hii vita imetufundisha mengi sana.Kuna balozi mmoja wa Urusi nchini Marekani,akiwa huko huko alikua akijibu hoja ama akitoa ufafanuzi Fulani,alionya kwa njia ya mkwala,
Alisema
"Kama NATO wakiingiza majeshi yao,Urusi itaingiza jeshi lake,na haitapigana kama inavyopigana Sasa hivi."
nadhani hapa alimaanisha kua itapigana zaidi ya hivi tunavyoona Leo hii.
aisee Kwa kauli hiyo nilichoka.🙌🙌🙌🙌