Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni tahadhari ili vita isisambae na kuwa NW. Ikitokea NW utaelewa tafsiri sahihi ya uoga mionzi itakapokuwa imezuia maindi wala viazi visiote huku kukiwa hakuna njia ya kupata taarifa ni nini kimetokea duniani.
 
Ukraine akishambulia urusi nayeye ataonekana kama mvamiz vilevile,kwa kuwa hakutakuwa tofauti Kati ya urusi na Ukraine maana wote wataonekana wamevamiana!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine akishambulia urusi nayeye ataonekana kama mvamiz vilevile,kwa kuwa hakutakuwa tofauti Kati ya urusi na Ukraine maana wote wataonekana wamevamiana!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Former US Senator: Capture of Bahmut biggest battle since WWII By capturing Artyomovsk (Bakhmut), Russian forces won the biggest battle in Europe since World War II, former US senator from Virginia Richard Black told RIA. " Russia has won the biggest battle in Europe since World War II. The Western media is slow to admit the Ukrainian defeat, but Zelensky seems to have lost the city, suffering devastating losses in manpower and equipment," Black said, calling the battle for Bakhmut "epic." by battle.
 
Hapa ndipo Sheria Kali kama kunyonga inabidi zitumike, maana wale wanaofanyakazi wanahitaji kuona matunda ya jasho lao sasa linapoingia suala la ufisadi hukumu ya kifo inabidi ishike hatamu, na Sheria itendeke na watu wakubali yaani Siyo inafika Kwa waziri Sheria inapinda, inapofika Kwa mo au bakharesa sheria ifanye kazi sawasawa na masikini, nakuhakikishia kama tutakusanya na kutumia kila senti ya Kodi iliyokusanywa na kutumika vile ilivyokusudiwa ndani ya miaka kumi tz tunakuwa matajiri
 
Ndo maana China wana mifumo miwili, Ujamaa na ubepari, sera zao za kisiasa na kijeshi bado zipo kwenye kipindi cha Soviet lakini kiuchumi wapo ki capitalist.
Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.

Ukifatilia nyenzo za kiuchumi za china,makampuni makubwa na ya kati 80% yanashikiliwa na Serikali ya China sasa hapo utasemaje uchumi wa China ni wa kibepari?
 
Hivi umisha wahi kujiuliza iwapo Uchumi wa Urusi ingekuwa upo kibepari angalau kwa 70% nini kingetokea kwa Russia kwa wakati kama huu?

Russia amewez kucontain uchumi wake kwenye mgogoro na west kutokana na Serikali kumiliki for 95 means za uchumi.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]




[emoji298][emoji298]Ukraine’s Defense Forces have eliminated another 480 Russian occupiers over the past day. According to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Russia’s total combat losses reached about 204,360 troops.[emoji298][emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
💥💥💥Poland should return to Russia the territories acquired thanks to the USSR and reimburse the funds spent on it in the war and post-war years - Volodin

According to the speaker of the State Duma, a third of the current Polish territories became part of it after World War II only thanks to Russia, and the republic itself received $750 billion in reconstruction aid from us.

Volodin has proposed a ban on Polish lorries travelling in Russia. The politician reckons that in that case the costs for Warsaw would be around €8.5bn, and around 2,000 Polish haulage companies would either suffer or go bankrupt.
💥💥💥
 
[emoji298]Cross-Border Raid into Russian Territory, Kremlin Mobilizes Troops, Attack Helicopters Deployed

A probably small-scale Ukrainian cross-border raid shot up at least a border checkpoint and parts of a village, with firefights in progress. The Russians say it was mostly to create internet content.

Read more on our website.[emoji298]



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Very true

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hivi umisha wahi kujiuliza iwapo Uchumi wa Urusi ingekuwa upo kibepari angalau kwa 70% nini kingetokea kwa Russia kwa wakati kama huu?

Russia amewez kucontain uchumi wake kwenye mgogoro na west kutokana na Serikali kumiliki for 95 means za uchumi.
Ungekuwa wa kibepari huenda hata hii vita isingekuwepo. Mambo mengi sana yangekuwa tofauti.
 
Kumbe na wenzetu wanaona kama tunavyoona sisi Huku Warusi wa Kalebezo.
Uchambuzi kama huu tumekua tukiuchambua Kila siku humu.
Ila Hawa wenzetu wa NATO ya mtoni kwa Azizi Ali hawatuelewi kabisa.
Kwa Hali kama hii inaonesha kua jeshi la Urusi ni Kali sana.
 
Huyu ni seneta wa USA ambae Yuko well informed kayasema haya na kaili.
Sasa Leo anakuja mtu anaejiita T14Armata,Proved na washangiliaji wao wasiojua chochote wala wasio na taarifa za ndani kabisa watakuambia Russia ni kubwa jinga,Supapawa wa mchongo na kua Russia alikirupuka.
Tena Kuna kijibinadamu kimoja kikaja na kauli kua Russia is overrated.kingine kikasema Russia bila nuke ni hamna kitu.
Kwa kweli tuna vijibinadamu vya ajabu sana hapa East Afrika.
Vimevimbiwa propaganda mna.😥😥😥
 
Naomba maelezo kuhusu “Debt ceiling” kwa anayejua

Kiwango cha mwisho cha kisheria ambacho serikali ya USA inaruhusiwa kukopa.

Kabla sijaenda mbele, naomba nikutajie hivi vitu viwili Fed Reserve and US Treasury

Fed Reserve ni private organisation na Kazi ya Fed Reserve ni kutunga sera za ki fedha za US na ku print hela. Kwa hiyo hela ya US ni mali ya Fed Reserve.
US Treasury, wao ni kama wizara ya fedha. Kazi yao ni kusimamia policy zilizotungwa na Fed Reserve na pia ku collect kodi.

Serikali ya USA, ikitaka hela, inaenda kukopa Fed Reserve.
Kwa hiyo Congress wameweka ukomo wa kukopa (Debt ceiling).

Sasa kilichotokea sasa hivi ni kwamba, huo ukomo wa kukopa umefika mwisho, US Treasury hawaruhusiwi kuendelea kukopa. Ndio maana wanawaomba congress ku uplift hiyo ceiling ili waweze kuendelea kukopa.
 

Hali ni mbaya sana, kwanini masuala ya kutunga sera wamewapa private organization kwanini wasisimamie kama serikali??
 
Kwa Leo mmewachinjia upande upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…