kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Safii, tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji94] General Staff: Russia has lost 215,640 troops in Ukraine. The General Staff added an estimated 980 casualties to the count on June 10
Habari njema mnoooKumekucha! Naskia tayari huko IRAN imezindua rasmi leo makombora yake ya hypersonic nakuyapa jina la "FATTAH" ....bila shaka yatapelekwa urusi soon kwamajaribio kule ukraine
Nahuu ndio ukweli hata mimi nishachoshwa na ujinga wa united snake [emoji216] of amurikaRussia will "never again" accept American rules - Lavrov
Other nations are also tired of Washington's orders, Lavrov claims
Nahuu ndio ukweli hata mimi nishachoshwa na ujinga wa united snake [emoji216] of amurika
Kuna unyama juzi imeufanya kwenye Iris-T ya mjerumani. AD imeundwa kudeal na drone ila umeangamizwa na drone. Lancet ni habari nyingine kabisaLancet ndio kitu kinawaumiza vichwa wamagharibi mpaka sasa.....
Hii kitu ishapita na Chui kadhaa za kijeremani.
Hakika mkuuYou're right, mkuu. Usikute nia ya Marekani ni kuendelea tu sasa kumfanya Russia aonekane mkatili dhidi ya Ukraine, kwa sababu mwisho wa siku ndiye atakuwa amepoteza watu wake na almost kila kitu -- kama ambavyo tayari amepoteza maeneo yake.
Kwa kifupi zaidi ya 3/4 ya alowaasa waweke silaha chini wote wameshaliwa vichwa,Hawa wanaopigana Sasa hivi ni wapya
Mkuu!watakomboa baadhi ya maeneo lakini si yote.hususani Cremea na Luhansk yatakuwa mfupa mgumu.Naona counter offensive inawaendea vizuri Ukronazi,ngoja tuone wataishia wapi.
Ngoja nieke kituo hapaI wish kp kipanya44 na umshana wangekuwa wanajua kusoma, la sivyo watazame picha basi!
This message is too pointed!
Naona jina la Ukraine halitumiki tena, badala yake ni ^country 404.^ Duh! Ramani ndiyo hiyoo imeanza ku-change!
Mkuu!Credible source please(neutral)
Leta Ushahidi mana Urusi ikiwaua watu wa NATO Inaonyesha na hata bbc huwaombea msamaha wkaisingizia ni askari wastaafu.. Kumbe ni Watu wao juzi Tulipopiga makao Makuu ya Jeshi lao walikuemo..Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !
Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,
[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app