Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

That's why tunasema you need to go deep kuhusu these issues..!! Inawezekana hujui karata za USA juu plan zake kuhusu hii Dunia tunayoishi...kama unaamini UN anaweza kwenda against USA basi bado hujajua hizi world organization zinavyo work
 
Sasa kama silaha zinachomwa mbona vita aiishi mkuu,swala la propaganda lipo pande zote hata russia nao sio wakuwaamin sana

$150 billion zilizokwenda Ukraine, kama Russia angekua hachomi hizo silaha Russia angekua kachukua eneo lolote la Ukraine??. Russia anakupa na evidence ndomana naamini taarifa zao vipi ndugu zetu Ukraine ??
 
Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.

Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.

Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.

Bye Bye 👋 hypersonic

 
Kwani umoja wa mataifa si unaundwa na wanachama na hiyo russia n mwanachama wa umoja w mataifa kwanin isingepinga kuidhinishwa kwa uvamiz
Kaishapinga maranyingi sana ktk mambo mengi, lakini marekani ana hila nyingi sana kwa kuweka ajenda n kupigiwa kura wakati wameshajipanga ktk kutembeza bahasha. Sametimes China na Russia wanayaacha mambo ambayo hawana interest nayo
 
USA aka mikurupuko
 
Hivi yule mpiga punyeto atasemaje hapa?
 
Mkuu longolongo tupa kule, leta makubaliano ya Minsk Kati ya NATO na Russia
Mkuu, kuna "Memorandum on security assurances in connection with Ukraine's accession to the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons" ya 1994. Si mapatano kati ya NATO na Urusi, ni mapatano kati ya Ukraine, Urusi, Marekani, Uingereza na Ujerumani.
Nilikosea, haiitwi "makubaliano ya Minsk" bali "makubaliano ya Budapest ya 1994". Basi hapa nasahihisha. Usome mwenyewe.
Ni ahadi ya kuheshimu mipaka ya Ukraine jinsi ilivyo 1994, ahadi ya kusaidia Ukraine ikitishiwa, ahadi ya kamwe kutumia mabavu dhidi ya Ukraine.
 
That's why tunasema you need to go deep kuhusu these issues..!! Inawezekana hujui karata za USA juu plan zake kuhusu hii Dunia tunayoishi...kama unaamini UN anaweza kwenda against USA basi bado hujajua hizi world organization zinavyo work
Mkuu huleti majibu ila moshi tu. Sijali unachoamini ni mipango ya sisri ya huyu au yule. Kuna mapatano na mikataba kuhusu ukraine.
Ni dhahiri kwamba Putin hakupenda maazimio ya watangulizi wake waliojiondoa katika sehemu kubwa ya makoloni ya Urusi. Anataka kurudisha hali ya awali iwezekanavyo.
Hivyo anapaswa kuvunja mikataba.
kufuatana na mikataba iliyokubaliwa na Urusi Ukraine ina haki ya kujiunga na mataifa mengine.
Hadi leo hakuna aliyeleta roketi za kushambulia Urusi wala ukraine wala Poland wala nchi za Baltiki.
 
Mkuu lete ile unayoamini NATO na Urusi walikubaliana! Mimi nimeleta mapatano ya Helsinki 1975 na Budapest 1994 (siyo Minsk, hapo nilitumia jina lisilo sahihi).
nani anayavunja?
 
Unaamini Russia kavunja makubaliano lakini at the same time huamini NATO kama kavunja makubaliano
 
Mkuu heri ujielimishe kidogo tu kabla ya kumwaga maneno kama "ushenzi". Yanaonyesha tu mapengo katika elimu yako! usijadili akili ya watu wengine wakati unaonyesha hali ya akili yako.
Umoja wa Mataifa una bodi mbili za maazimio:
a) Baraza la Usalama (ambako US, Urusi, China, Uingereza na Ufaransa zina mamlaka ya juu yaani kila mmoja anaweza kuzuia kila kitu). Azimio kuhusu Yugoslavia ya 1995 lilikuwa la Baraza la USalama, pamoja na kura za Urusi na China.

B) Mkutano mkuu wa UM - kila nchi inapiga kura 1. Maazimio ya mkutano mkuu mara nyingi yalikosoa matendo ya Marekani, sasa kuhusu Ukraine pia matendo ya Urusi.
 
Unaamini Russia kavunja makubaliano lakini at the same time huamini NATO kama kavunja makubaliano
Mkuu tusiongee hewani. Taja makubaliano pamoja na jina, tarehe, kifungu yaliyovunjwa na nani. Mimi nimeleta mifano ya mikataba inayovunjwa na urusi.
Hapa ndipo sababu nchi nyingi za Dunia zinakosoa Urusi. Watu walio wengi wamejifunza kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…