Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usilete longolongo hapa kujifanya unajua kuliko mimi mkulu mwenyewe. Kati ya baraza la uslama na mkutano mkuu wa UN, chombo gani kinachotoa maamuzi magumu yanayohusu usalama wa dunia?? Na katika vyombo hivyo marekani anatumiaga chombo gani kutekeleza matakwa yake ya kishetani??
 
Ndivyo ulivyokaririshwa? Pole sana mkuu na kwa kukariri huko, utateseka sanaa
 
Tunywe supu MKUU nyama tutazikuta huko chini ila uhakika RUSSIA [emoji635] anaupiga mwingi
 
Wameanza kuongea ya moyoni.
Ndio wakome.
Zelensky alishafanya miscalculations toka mwanzo, nadhani hakujua mambo yataenda hivi, aliamini/aliover estimate sana umuhimu wake kwa west, aliamini West watampa backup kubwa aliyokua anaifikiri yeye.

Ila baada ya mambo kuanza kupamba moto akaanza kulalamika



mambo yakaenda kinyume na matarajio yake


Misaada ya kijeshi aliyokua anafikiri itakua inamiminika kwa speed akaona inaanza kupungua


Akiomba NATO waweke "no fly zone" majibu yanakuja ya chenga chenga mara wamwambie hiyo itakua ni direct confrontation na hawataki direct confrontation na Russia.


 
Hypersonic sio bunduki ambazo kila mmarekani hadi watoto wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…