Ameenda kuomba yaani nakazia hakuna Nchi yenye uoga hapa duniani Kama US Sasa anazani China angemjibu nn? Kwa majibu hayo tusubiri arudi kwanza halafu utasikia China inasema hatutaki kupangiwa nn tufanye.
Wana kazi za kuchangishana silaha kama vile wapo kwenye vicoba[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kweli ni mashoga hayo.[emoji23][emoji23]mrusi enyewe haombi silaha anazo za kutosha kuliko yeyote yule .ila wanavoangaika
Alafu utamsikia kipanya kuwa tunasonga mbele mita 400[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2662552
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzao jana tu wamefanya mashambulizi karibu na mji wa kupyansk na lyman na pembeni ya mji wa marinka.kwa siku tu ya jana wamechukua zaidi ya km 7.Mzee wa multiple directions [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunazungumzia jamii ya hiroshima ambayo ilitumika kwa Japan miaka ile ni toleo kongwe sana lakini hata hiyo bado haijatumika kwa hao mavamizi kutoka urusiHizo siraha kubwa kubwa taja angalau moja..
Jifunze wewe kwanza unashindwa kujibu hoja, anavyoshughulikiwa rusia na putin sasa huwezi amini ndio mana unakuja hapa na frustration, si Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operation Ukraine? sasa jeww kijana uelewa wako wa mambo ya hii vita ni wa kawaida kuliko kawaida yenyewe....!!!..hebu katumie muda kwanza kuupdate bongo yako ndio uje uchangie humu..
au jifunze kwanza kupitia michango ya wakongwe humu ndani
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.Unaweza kututajia hapa silaha Kali hizo za Russia? Maana mlisema anatumia tanks za enzi za usoviet na mlisema Hana silaha hebu zitaje tuone ukali wake ukilinganisha na zile NATO na US.
Hakuna unachokijua kuhusu hii vitaAlitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected
umekosa hoja, poteaHakuna unachokijua kuhusu hii vita
Huna hoja yoyote ile unayoijua zaidi ya kuongea kujifurahisha.hakuna chochote unachokijua zaidi ya kufurahisha watuumekosa hoja, potea
Wewe hebu kuwa smart,unazungumzia nuclear bombs?Russia yeye kazitumia?US + western allies ukijumlisha silaha zao za nuclear,bado hajamfikia Russia!Tunazungumzia jamii ya hiroshima ambayo ilitumika kwa Japan miaka ile ni toleo kongwe sana lakini hata hiyo bado haijatumika kwa hao mavamizi kutoka urusi
Hii Marinka ilichukuliwa juzi na Ukraine baada ya counter offensive?Vikosi vya Urusi vinasonga mbele kwenye msitu wa mji wa Marinka ili kuwatoa kabisa vikosi vya Ukraine kwenye mji wa Marinka.Eneo kubwa la msitu wa mji wa Marinka sasa lipo kwenye mikono ya vikosi vya Urusi.View attachment 2662962
Hamna ni mji unaoshikiliwa na vikosi vya Ukraine muda tu ila kwa sasa Warusi wamebakiza asilimia 5 kuchukuwa mji wote.kwa kifupi mji ushanguka.Hii Marinka ilichukuliwa juzi na Ukraine baada ya counter offensive?
Mungu akusamehe kijana unaifahamu sana RussiaAlitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected