jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Wangekuwa wanajeshi wa Russia wamekamatwa Mali najua kipanya 44 ungepost laakini ngoja tuone.Hiiiiii!!!! Naomba kufahamishwa hii inahusianaje na huu Uzi [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kilichorudisha nyuma kutoka Kiev Ni mkataba au silaha? Mbona unaleta Mambo ya ajabu Sana?Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected
Naweka mambo sawa japo kuna watu ni ving'ang'anizi na hawataelewa. Kyiv na Bucha Russia aliwithdraw mwenyewe ili kuonyesha kuwa yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza mgogoro. Kama kuna mtu anavideo ama picha za taarifa ya Russia akishambuliwa kwenye hayo maeneo atuwekee hapaAlitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected
Wazoee ndio kawaida yao wanayouliza na kujibiwa hayawatoshi.Mkuu!unfortunately unataka kuniingiza unataka kuniingiza katika propaganda.
Swali; hakuna siraha Ukraine hajatumiwa na NATO !
Jibu;nikazitaja baadhi na si zote!
Now unasema hata hizo zilizotumwa hazitasaidia chechote na kutaja siraha zako za upande wako kuwa ni bora zaidi(nje ya mada) japo zinashindwa komboa Donbas mpaka sasa.
NIGGA PAC
Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected
Wewe unaamini hilo? mbona anarusha long missles kuelekeza Kyiv kila siku?Ukraine Violated Peace Agreement Approved in Turkey, Putin Reveals
Russian President Vladimir Putin revealed during an African leaders meeting in St. Petersburg that Russian forces had withdrawn from Kiev and other regions of Ukraine last year in compliance with a peace agreement reached in Turkey, as part of an African mediation mission to Russia. However...orinocotribune.com
Tukuamini wewe wa hapo kibaigwa? Unazani hii Ni Vita ya masai na mang'ati Kama muongo wewe ulisaini kwa niaba ya zelensky waliosaini na kukubaliana mkataba wanatuletea ww unasema muongo tuamini hizo propaganda zako?Wewe unaamini hilo? mbona anarusha long missles kuelekeza Kyiv kila siku?
Putin ni muongoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzao jana tu wamefanya mashambulizi karibu na mji wa kupyansk na lyman na pembeni ya mji wa marinka.kwa siku tu ya jana wamechukua zaidi ya km 7.
Wao wiki ya pili hii hata km 10 wameshindwa kuchukua[emoji23][emoji23][emoji23]
Katika historia ya USA toka kuundwa kwao wamejikuta wamepanda mtumbwi wa kibwengo Kwa kuanzisha Vita hapo Ukraine
NATO imekutana na kile ambacho ndiyo sababu ya kuundwa yaani umoja wa kijeshi ulioundwa Kwa lengo la kuidhibiti urusi wakiongozwa na kaka Yao marekani
Kwenye maeneo kama Yugoslavia, Afghanistan, Libya, Iraq n.k walikuwa kama wanafanya mazoezi na kupata uzoefu wa kuja kushambulia urusi, baada ya kuona wameiva na wapo tayari ndiyo wakaandaa hii mbungi ya Ukraine, tahamaki wameingia Choo cha kiume maana wao asilimia kubwa ni mashoga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa sasa hivi NATO na USA wamejikuta wapi katikati ya bahari kwenye kina kirefu halafu hawana namna mbadala wa kutoka hapo walipo
Mrusi anaendelea kutoa dozi ya kipigo na wala haonekani kama atakuja kupunguza zaidi sanasana kila siku anaongeza mapigo na kibaya zaidi viwanda vyake vinazalisha silaha kupita matumizi, hapa ndipo west wanachanganyikiwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ulaya yote imeyumba kiuchumi, dollar inapoteza udhibiti wake duniani, mchina anakuja Kwa Kasi ya hypersonic kwenye maendeleo na kiuchumi duniani kutokana na nishati ya bei nafuu, Saudia kamwambia mmarekani wazi akifanya ujinga basi atamyumbisha kiuchumi (hapa mmarekani kawa mpole maana anajua nini kitafata)
Juzi Kati Bunge la marekani limeongeza kiwango cha ukomo wa kukopa Kwa lugha nyingine Bunge wameruhusu kuchapisha dollar zaidi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] swali langu watachapisha Kwa kiasi gani????, Maana hali haitegemei kutengemaa Leo wala kesho, na mrusi anapigana mdogo mdogo Hana haraka maana anataka kuona Vita inachukua muda mrefu lakini uchumi wa west unaweza kuhimili maumivu Kwa muda mrefu?????, Na mrusi anajua mpaka sasa wako kwenye dakika za mwisho za uvumilivu wao, na ndiyo maana mrusi kuna wakati anasema nikimalizana na Ukraine naingia Poland hii kauli haitoki Kwa bahati mbaya au ni kitisho, Ila wanasema hivyo ili ulaya useme kumbe tukishindwa hapa mrusi atatuvamia Kwa hiyo inabidi tupigane kufa na kupona ili tushinde, lakini kipindi wanapigana maana yake muda unasogea uchumi unaanguka pesa nyingi za walipakodi wanakuwa ni kama wamezichoma Moto maana hakuna wakuja kuwalipa, na hata wakija kushtuka uwezo wa kupigana na urusi hawana na kama watashindwa na kukubali matokeo basi haya yatatokea
1) NATO kuvunjika rasmi Kwa kuwa itaonekana haina umuhimu zaidi ya kutumia pesa za walipa Kodi, maana Yule adui ambaye ndiyo msingi wa kuanzishwa kwa NATO kawapiga na kuharibu uchumi wao kabisa
2)USA na EU kuanguka duniani kiushawishi, kiuchumi na kijeshi, hapa ndipo jumuiya ya ulaya itaona kila rangi, walizoea wizi ili watajirike hiyo mirija inaenda kukatwa rasmi
3)vikundi vingi vya kigaidi kupungua duniani, nchi nyingi kuanza kujitambua, mikataba mingi ya kilaghai kufutwa
Ila kuna kitu nataka nione mwisho wake
USA anachapisha pesa halafu OPEC wanaenda kupunguza uzalishaji wa mafuta jumlisha huu mfumuko wa bei pamoja na mdororo wa uchumi wa ulaya
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naenda kushuhudia ulaya ikipiga magoti mbele ya urusi tena Kwa aibu ya dunia
Patriot ilikua imelala.
That's why tunawaambia hawa nyumbu pro NATO Kwamba hii vita ilikuwa calculated na Putin. + His alliesKatika historia ya USA toka kuundwa kwao wamejikuta wamepanda mtumbwi wa kibwengo Kwa kuanzisha Vita hapo Ukraine

Nimerudia mara kadhaa kusoma hii comment yako bado nimeshindwa kuelewa unataka kusema nini.
1: kushambulia kwa kutumia "arms" unamaanisha nini?
2: Mifumo ya Patriot na Lopard kwa ajili ya ulinzi wa anga. Hii Lopard ni siraha gani au ndo kile kifaru cha mjerumani? Kama ni hicho, hivi nacho kinalinda anga?
Mazombi ya putin, huwa hayana jana. Yana leo na kesho tu... Ukiyakumbusha yaliyosema jana yanasema ni propaganda.Sasa hapo anawachagulia siraha Ukraine? au anatafuta njia ya kuwanyosha USA?
maana kawa ambia wazi mkitumia siraha mlizopewa toka USA za HIMARS Urusi itajibu kwa waliotoa siraha hizo!!
Hapo Russia anataka NATO wasijofiche kwa mgongo wa ukraine bali wajitokeze kieleweke....
Yaani kama ulaya wameshachoka Ila USA analazimisha Kwa kuwa anatoa pesa yake na silaha na ndiye anaitaka NATO zaidi kuliko ulaya Kwa malengo yake binafsi,Tuliawaambia watu mapema sana, uzuri tulokua tunawaambia ndo haya tunayaona.