Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wameanza kubadili majina ya makampuni na sio mda mrefu kipanya anakuja Russia kwa jina lingine ni suala la mda tu
Volkswagen Group Rus to continue work in Russia under new name: Volkswagen Group Rus to continue work in Russia under new name
Naunga mkono hojaKuhusu Suala La Viongozi wa Africa kufanyiwa Figisu za kishenzi huko Poland
kwa maoni yangu na Mawazo yangu naona nisawa
hivi Wanaujinga Gani hawa?
hivi Kweli kilicho wapeleka Ukrein nikipi hasa?
hivi Wanajitambua Hawa Viongozi!!
Mwanzoni tu vita vinaanza Wanafunzi wengi Tokea Africa Walinyanyaswa kwa Kila Aina ya Unyanyasaji
Walizuiwa Kupanda Treni nakutumia Njia Hatarishi kwao hilo hawakuliona?
hivi Viongozi wa Africa Watajielewa Lini, Kipi cha maana Ukrein?
West hawana mpango na Africa wala Amani pale, Wewe unaenda kufanya nini!
Ni upuuzi na Upumbavu kwa viongozi hao Kwenda Ukrein Huku wakijua hawata Badilisha kitu!
Kwanza Wamezidi Kutudhalilisha tu
Sasa Sky news Wanakuambia Wameenda Kuomba Ngano Kwamba Wananjaa na sio kwa Lengo la Kuisaidia ukrein
Yaani Ukrein kawa wakipekee sana Kwalipi!?
Walivyo wapuuzi wameshindwa Kwenda Sudani Unaenda Ukrein kweli!!
Kunavitu vinaboa nakukera Aisee!
Wakati huu mgogoro unaanza Kuna mzee wangu mmoja akanambia hata RUSSIA [emoji635] wapigane miaka 20 basi hawawezi wakapigwaHivi kama wewe ni BIDEN pamoja na wafuasi wako mtu anaongea kila silaha mtakayoleta tutaichoma utajiskiaje??. Yaani silaha zenu zote ni takataka mbele ya Russia uzuri zinachomwa na soviet made. Hizi AIBU NATO walijitakia wenyewe walichobakiza kwa sasa ni hizo ndege F-16 nknk.
NATO wako kwenye PANIC MODE kwasasa hata mambo wanayofanya unaona kabisa kama watu ambao hawajitambui, watu ambao hawana professionalsm kabisa. Kwa akili zao za kishetani wanataka kuipeleka dunia kwenye WW3, na Putin alisema asifikir U.S atakua salama hiyo ni warning kubwa sana.
Wakati mgogoro umeanza nilijua Russia hawezi fua dafu mbele ya NATO ila kumbe NATO ni overrated wamezoea kuonea Banana countries.
Inauma sana Drone ya $20,000 inachoma silaha za billions[emoji23][emoji23], hata mimi ningepanic wallahi hizi ni dharau.
Wazee wa saa 72 [emoji1787]Ngoma ngumu sana kwa Russia hii, walivyoanza hii vita sikutegemea kama mpaka leo Serikali ya Ukraine ingekuwepo madarakani.
Tena magaidi wakubwa mnooooooNa tayari Mali imeshapeleka ombi UN kuomba waondoe wale wanajeshi wa Peacekeeping
US na France wanalalamika eti ni muhimu hao wanajeshi kuendelea kuwepo.
Mali inawaambia, mambo ya peacekeeping ni willingness ya host nation sasa nyie kwa nini mnatulazimisha kuendelea kuwepo kwa hao wanajeshi?
Hapo ndio utaelewa kwamba hao hao peacekeeping forces ndio magaidi wenyewe.
Urusi ililegeza na kuondoka Kiev Kwa makubaliano aliyoyaonyesha Putin juzi,la sivyo,tungejua tunaongea lugha nyingineNgoma ngumu sana kwa Russia hii, walivyoanza hii vita sikutegemea kama mpaka leo Serikali ya Ukraine ingekuwepo madarakani.
Amekwambia?Putin anajuta sana
SUNAK leo pale LONDON kakiri hili kwa njia isio ya moja kwa mojaPresident Putin: Of the 31.7 million tons of grain from the ports of Ukraine, only 936,000 tons were sent to Africa during the entire period of the grain deal, which is 3.1% of the total.
Ngoja nieke kituo hapa ila UKRAINE [emoji1255] anapata anachostahili anatakiwa abondwe haswaaaZelensky alishafanya miscalculations toka mwanzo, nadhani hakujua mambo yataenda hivi, aliamini/aliover estimate sana umuhimu wake kwa west, aliamini West watampa backup kubwa aliyokua anaifikiri yeye.
Ila baada ya mambo kuanza kupamba moto akaanza kulalamika
View attachment 2660711
View attachment 2660712
mambo yakaenda kinyume na matarajio yake
View attachment 2660703
Misaada ya kijeshi aliyokua anafikiri itakua inamiminika kwa speed akaona inaanza kupungua
View attachment 2660715
View attachment 2660720
Akiomba NATO waweke "no fly zone" majibu yanakuja ya chenga chenga mara wamwambie hiyo itakua ni direct confrontation na hawataki direct confrontation na Russia.
View attachment 2660756
View attachment 2660714
Alligators zimepiga kazi sana kuua counter offensive ya Ukraine.Kuna Alligator new advanced ka-52M ni hatari
@T14 Armata FYIAmekubali mzee baba!!!!!!!!!!!
Zelenskyy admits counteroffensive progress 'slower than desired'
The Ukrainian president admitted the progress was "slower than desired", but said Kyiv would not be pressured into speeding up its counteroffensive.
"Some people believe this is a Hollywood movie and expect results now. It's not," he told the BBC.
"What's at stake is people's lives."
Source: Sky news: 21/06/2023
Mzee baba akamaliza!!!!!!!!
Putin claims there has been 'lull' in Ukraine's counteroffensive
We're hearing more now from Vladimir Putin, who has been chairing a televised government meeting.
The Russian president said Moscow has seen a "lull" in the Ukrainian counteroffensive, with Kyiv suffering heavy losses in attacks in the south.
Mr Putin said it could therefore lose fighting capacity as a result.
He added that although Ukraine retained offensive potential, Kyiv already understood that it had "no chance" in its counteroffensive.
Source: Sky news: 21/06/2023
Nadhani hapa anawajibu washirika wake wanaompatia msaada wa kila hali, lengo kuu la washirika wake ni kuona ya kwamba ukraine ndio wanakuwa na sauti katika ukumbi wa negotiation dhidi ya russia.Some people believe this is a Hollywood movie and expect results now. It's not," he told the BBC.
"What's at stake is people's lives."