Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BBC hao ambao saizi wapo bize na Nyambizi?
 
Maneno uwa ayajengi ghorofa kipanya44.angekuwa anasema ivyo huku kashika bunduki front, sio anaongea ivyo wakati kajificha kwenye andaki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaalamu wa silaha zote duniani kuanzia mkuki Hadi ICBM
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nimemuona anachangia mada kuhusu F-35, huku akiponda ndege za Urusi.ikabidi nijiulize ndo huyu aliyesema kuwa yupo porini huko network haipatikani au nimemfananisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nimemuona anachangia mada kuhusu F-35, huku akiponda ndege za Urusi.ikabidi nijiulize ndo huyu aliyesema kuwa yupo porini huko network haipatikani au nimemfananisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamba na wenzake wanasubiri vijitukio ambavyo havina madhara Ukraine walifanya,wanarudi kwa nguvu sana.
 

Key points:

1. Promises Ukraine security guarantees,
2. Not quick membership in NATO
3. Looking the current situation soberly

Chancellor wa German ameamua kutoa ya moyoni. Na hii yote imekuja baada ya hiyo inayoitwa Counteroffensive kushindwa.

Sponsors hawaoni tena sababu ya kuendelea na huu mgogoro wakati Ukraine hawafanyi gain yoyote.

Wanatamka kwamba Security guarantees Ndio option kwa sasa. Na wanaambiana waliangalia ili jambo kwa akili timamu

Hizo akili timamu ndio zimeanza kuwarejea sasa?
 
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!

sina upande,ila sipendi vita!
Hata mimi sina upande ila UKRAINE [emoji1255] iendeleee tu kupigwa
 
Sioni chochote kuwa Nuland alikaa miezi huko Ukraine.
 
Hatari kweli kweli....sio rahisi kwa Putin kutumia nuclear hapo Ukraine.

Putin sio mjinga kiasi hicho.
Mkuu!Hatat mimi nimekuwa nikiwaza kama wewe.ila nahisi Putin anaweza tishia(hata pipa) nuke kupiga Ukraine kama Crimea itashambuliwa(ground offensive) au west wakipeleka peace keepes.(rejea kauli za viongozi wa EU)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…