Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Marekani kuna bomba kutoka kanada. Mabomba zaidi kutoka nje hamna. Yote mengine kupitia meli. Kwenye vilindi vya Bahari Atlantiki unaweza kuweka waya ya simu na intaneti lakini huwezi kuweka bomba. --- Kuna mabomba yanayopita Bahari Mediteranea (Moroko-Hispania) na Bahari Nyeusi lakini huko si vilindi na njia si ndefu.Sijawahi sikia kama US ana bomba la mafuta kutokea Libya. Hii nimeipata kwako
Kwenye Mitandao mtasema Mengi uhalisia Sivyo
Hali iliopo Sasahivi Mwenzenu Anachapika VibayaView attachment 2150101View attachment 2150102View attachment 2150107
IpoEither fake news or propaganda machinery at work! It is impossible vita isiyofikia wiki mbili Urusi imeishiwa silaha! Haipo hiyo kitu.
Safi! Uichukue jinsi unavyopenda! Ila mimi namwona hapa Putin akijaribu kuokoa uchumi wake ilhali anazidi kuzama polepole.Hii mbona laptop ya Joe Biden aloiazima kwa Blinken?
Hawawezi kukuelewa. Wameshikilia hoja kwamba Putin kaomba msaada. So what? At least basi tuone matokeo yenu mazuri huko field. Propaganda ^nzuri^ mwisho wa siku zitawaumbua nawaambieni.Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia na nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
hizo kitu teyari zipo mikinon mwa wanaume huyu mwajeshi wa urusi
Na hii huthibitisha wazi kwamba Mrusi ana goodwill. Mchawi Mmarekani. Imagine anapump silaha na wanajeshi waende Ukraine, but anadhani siyo haki kwa Putin kufanya hivyo! Madness!Sijajua kuna udhaifu gani Urusi kuomba silaha China? Au kwann warusi mnaona ni udhaifu wa kuupinga kwa nguvu zote? Nchi rafiki kwa Urusi mpak sasa zilitakiwa ziwe zimeshaonyesha nia ya kuisapoti urusi hili zoezi liishe mapema. Si kwasababu Urusi hana uwezo ila ni sehemu tu ya kuionyesha dunia kuwa sisi tupo na Urusi katika hili kwa vitendo kama USA na NATO wanavyofanya kwa Ukraine.
18+
CCTV footage of the moment when the Tochka-U rocket fell in the center of Donetsk.
Galip SV Liwagu
View attachment 2150125
Hizo laptops haziko Russia. Mnato wa Marekani alizipiga sanki (sanctions). Hiyo ni ya mgomvi Joe Biden. Naifahamu vizuri.Safi! Uichukue jinsi unavyopenda! Ila mimi namwona hapa Putin akijaribu kuokoa uchumi wake ilhali anazidi kuzama polepole. View attachment 2150121
Moto umekuwa mkali zaidi, itakuwaSiku izi mmeanza kuweka na waUkraine ehh mana mlikua mnafululiza kuwapost wajeda wakirussia tu