jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hapo Ni sawa na Dar chalinzeKadryov Yuko 80km kuwafikia Wagner,Kuna vita vitatokea Urusi vikubwa haijapata kutokea
Umeamua kuchekesha watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jipeni moyo lakini hii inaweza kumuondoa Putin madarakani na Kama hii itatokea itakuwa mbaya sana kwa RussiaWagner sio jeshi mkuu na lilikuwa linalipoti kutoka kwa waziri.ogopa kikosi kinacholipoti moja kwa moja kwa Raisi.prigozhin anajua kabisa awezi fanya kitu ila ameamua kufikisha ujumbe wake.
Wale waasi wa chechnia ndo walikuwa balaa.awajawahi kutokea mpaka leo
Watu wengi wako militaliry ignorant na wako kiushabiki zaidi jeshi la wapiganaji 25,000 la Wagner haliwezi ku over-run nchi yenye ukubwa kama Russia yenye zaidi ya kilomita 6000 bila kua na airforce support na Air cover, stockpile ya weapons source ya revenues na logistics zingine aiwezekani kabisa hi mutiny inaenda kusimamishwa hivi punde na viongozi wa MPC wargner wata kamatwa.Hahaha vituko vya JF bhana. Hao wegner ndio wamkimbize rais ikulu? Yaani nato ameshindwa akaweze privoghin?
Wagner na Akhmat ni hatari sana,sijui hii vita itakuwaje?Hapo Ni sawa na Dar chalinze
Ni hatari Sana lakini hapa inawezekana Kuna uasi wa ndani , haiwezekani Russia washindwe kugundua mapema Kama kuna hii movement ya Wagner means kitengo Cha ushushu ndani ya Russia hakipo vizur au kinajua nini kinaendelea na kwali hauwezi kuiondoa marekaniWagner na Akhmat ni hatari sana,sijui hii vita itakuwaje?
Kama jeshi la Urusi litashindwa kazi, tusitegemee Tiktok warriors hawa wa Chechnya kufanya lolote. Tena inaweza amsha vuguvugu la kujitenga la Chechnya maana Kadyrov yupo kwa misaada wa Putin, baba yake Kadyrov Sr. mwenyewe aliuwawa na wanaotaka kujitenga ndio maana Kadyrov ulinzi mwingi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu acha kuchekesha watu.yani kikosi cha waasi elfu 25 kimuondoe mtu mwenye jeshi la zaidi ya wanajeshi milioni 1. Mjaribu kuwa serious kidogoJipeni moyo lakini hii inaweza kumuondoa Putin madarakani na Kama hii itatokea itakuwa mbaya sana kwa Russia
Sasa jeshi la Urusi limeshindwa vipi wakati hata awajapigana bado[emoji23][emoji23].chechen imesema itafanya yenyewe iyo kazi kwa kushirikiana na kikosi cha National guard kutoka Urusi.Kama jeshi la Urusi litashindwa kazi, tusitegemee Tiktok warriors hawa wa Chechnya kufanya lolote. Tena inaweza amsha vuguvugu la kujitenga la Chechnya maana Kadyrov yupo kwa misaada wa Putin, baba yake Kadyrov Sr. mwenyewe aliuwawa na wanaotaka kujitenga ndio maana Kadyrov ulinzi mwingi.
Mtaua raia wenu kwa mabomu kama kule Ukraine au mabomu yenu na makombora yatakuwa yanachagua askar wa wegner tu lakin yanawakwepa raia au vipSasa jeshi la Urusi limeshindwa vipi wakati hata awajapigana bado[emoji23][emoji23].chechen imesema itafanya yenyewe iyo kazi kwa kushirikiana na kikosi cha National guard kutoka Urusi.
Mji wa Rostov ni mdogo sana watashindwa tu hata wiki sizani kama wataweza kuvumilia maana mashambulizi ya anga yatakuwa makubwa sana
ImesambaratikajeRussia imesambaratika mapema sana
Mambo yanaenda kasi sana hakuna anae amini
Hapo Ni sawa na Dar chalinze
Hadi sasa jeshi la milioni 1 halikuwa na askari hata 1 aliyejaribu kuzuia Wagner wasikamate makao makuu ya Rostov..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu acha kuchekesha watu.yani kikosi cha waasi elfu 25 kimuondoe mtu mwenye jeshi la zaidi ya wanajeshi milioni 1. Mjaribu kuwa serious kidogo
“He wrote “. Huyo ni keyboard warrior tuu kama weweSasa Kama Wagner wanaelekea Moscow Hawa wamefikaje?
Fighters of the Ministry of Defense and the Russian Guard in the Chechen Republic have already left for the zones of tension, said Ramzan Kadyrov. “We will do everything to preserve the unity of Russia and protect its statehood! The rebellion must be crushed,” he wrote.
Akihitaji Wachechen maana yake hana kikosi cha jeshi kilicho tayari kupigana na Wagner?.Wamefika na bungi limeanza huko Rostov
City of Rostov - Russia Battle Map
(June 24th 18:00 Local Time)
The first column of Chechen Forces have reached the City of Rostov which is currently controlled by Wagner Mercenaries. The first Confrontations between Russia’s Chechen Forces and the Wagner Mercenaries have begun
View attachment 2667564
Unataka kumpangia cha kufanya na kuchagua unamlipa?Akihitaji Wachechen maana yake hana kikosi cha jeshi kilicho tayari kupigana na Wagner?.
Ngoja tuone, lakini mpaka sasa hali si nzuri upande wa Russia na hili niliwaambia Pro Russia wenzangu alhamis hii kwamba Putin hii vita itakuwa ngumu kwake,kuna lixenge likatoka huko likanitukana nipo side ya lgbt, kama Wagner wameasi Ukraine itatumia fursa hii kukomboa miji haraka.Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO wakati lengo mama la umoja wa NATO ni kujihami dhidi ya Russia.
Unahisi kwanini USA alishawishi na anashawishi wanachama kutokea Ulaya ila hana habari na wanachama kutoka America kwenyewe, Africa wala Asia?