Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajeshi wa chechen zaidi ya elfu 5 wawasili Rostov.







Sijawahi kuona coup ya kitulivu kama hii!

Mpaka muda huu hakuna hata risasi moja iliyopigwa!

"To confuse your enemy, first confuse yourself".

Kuna kitu hapa Russia anakifanya kikubwa sana!

Ili kuwachanganya wasikijue kwa umakini anajifanya kuleta taharuki kwake yeye mwenyewe!
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwa Ile body language ya Putin huu ulikuwa mchezo wa kuigiza!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio maigizo ilikua ni kweli,makubaliano yamefikiwa sasa na lukashenko
 
Kwani Wagner si wameshatoka Ukraine?
 

Ndio tukikueleza kwamba hata huyo Zelensky ni pandikizi la Russia kwa ajiri ya special mission uwe unaelewaga sasa.

Pia tukikueleza kwamba ishu ya SMO ni zaidi ya kuizuia Ukraine kujiunga NATO uwe unaelewa pia.

Bottom line.... All Warfare are based on deception..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…