Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner na Russia wametuchezea sana Akili hawa washenzi. Hawa wahuni walikua na jambo lao.
Ni team Putin, Shoigu, Gerasmov na Prigozhin kutafuta negotiations.

Prigozhin ataka guarantees kuendelea na Wagner na kutoingiliwa katika mambo yake na pia sasa ataka usalama wake yaani security guarantees.

Pia tutarajie Putin kuwaondoa Gerasimov na Shoigu.

Huenda Surovikin akarudi kuwa Chief of Staff na akateuliwa waziri mpya wa Ulinzi au wakateuliwa wengine.

Tukumbuke kwamba Shoigu si mwanajeshi bali ni raia tu wa kawaida hivyo ndo maana kuna tatizo kwenye uangalizi wa Wagner na vikosi vingine.
 
Kwahiyo saizi uko na zelensky au prigozin?
 
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya Kremlin kupitia msemaji Peskov.

1. Prigozhin kaambiwa aende Belarus - hiyo yaashiria kwamba Lukashenko kapewa Prigozhin amchunge.

2. Bado Wagner Group watasaini mkataba na wizara ya ulinzi ifikapo tarehe 1 Julai 2013 kuwa sehemu ya jeshi la Russia. Lakini sehemu ndogo itabakia kuwa chini ya Prigozhin.

3. Mashtaka yote ya uhaini na kutotii amri ya jeshi yanomkabili Progozhin na wapiganaji wake yataondolewa.
 
‼️‼️‼️ The United States will postpone the imposition of new sanctions against PMCs.
➡️ The new sanctions were to be announced on Tuesday, but....
➡️ Washington is afraid the world thinks they are supporting Russia.

😂 Ok Joe, we understand you 😂 Bed time now 😂
 
Sema leo tumepigwa na kitu kizito sana. Yaani hii Dunia unaweza potea online hata saa2 tu ukakuta watu washatupiana nukes.

Leo nilikua busy sana naweka mambo sawa home, kufungua JF naona kila post Wagner ( Pro NATO kwa kufungua threads wako vzr). Ikabidi niingie twitter nako Wagner wanatrend kuanza fuatilia naona mambo yashakua moto.

Nikarefer zile kauli za Prigo na kinachoendelea nikajua hii ishu planned sikutaka kuchangia jukwaa lolote. Nimeendelea na mambo yangu naingia jion twitter naona ishu imeisha, nikajua wahuni walikua na mipango yao hawa washenzi (Mission complete).

Hakuna kipindi ambacho Russia wako makini kama sasa ambako wako vitani na Ukraine, wanajua wakicheza kidogo tu wanakwenda na maji. Wanatumia kila mbinu kuwapumbaza adui zao,
 
Kipanya kama kipanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…