lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
A ha ha ha ahaa😀😀😀😀😀😀😀😃😃😃😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😅😆😁😁Inamana pro nato ndo huwa mnaumia hivi? Sisi leo siku moja roho ziliuma japo tukawa tunajifariji kwa historia ya boss wa wagner kuwa ni mchezo tu na hakuna kibaya kitatokea ila tulikuwa tunaumia walai leo
Sasa nyie kila siku mbwa nyie ndo mana hamnenepi akil
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😃😃😃🤣😀🤣😅😆😆😅😅😅😅😅😅😂🤣🤣🤣😅😂😂😂😅😅Yule mpiga Punyeto ameshaukimbia uzi tayari...
Leo alikuwa active sana, ila baada ya Wagner kuondoka, naona shida ya internet huko kwenye mashamba ya mpunga imerudi tena.
Jifunze ujue kutofautisha Propaganda na ukweli utakua umepiga hatua kubwa.Kama pro-Russia nilichojifunza kwa matukio ya leo ni kua inawezekana kabisa kizazi chetu kisishuhudie kamwe wema ukiushinda ubaya.
Chukua mifano ya akina Che Guevara, Fidel Castro, Gaddafi, Sankara, Hugo Chavez, JPM, Trump na sasa Putin na Russia yake kwenye hii vita ya Ukraine.
Imekuaje intelijensia ya Urusi imeshindwa kabisa kujua mipango ya Prigozhin na kuizima au ilikuaje wakaruhusiwa kuwa na nguvu mpaka ya kuweza kutishia kufanya mapinduzi?
Mbona mfano Marekani wanampa Zelensky misaada ya kila aina na bado hawaachi kumdukua kuhakikisha hawezi kufanya kitu nje ya maelekezo yao, na akizingua wanamla kichwa asubuhi tu, Urusi wanashindwaje kwa huyo Prigozhin?
Mbona mutiny za aina hii sijawahi kuzisikia Marekani tokea nimepata akili?
Putin majuzi ametangaza wameshambulia decision-making centers za Ukraine, pro-Russia wengi wakasema Zaluzhny na Budanov waliuliwa kwenye hizo strikes, kama siku tatu nyuma nimeona video zao ni wazima kabisa hawana dalili kwamba wamewahi hata kuumwa siku kadhaa nyuma.
Nitaendelea kuwa pro-Russia kwasababu anasimama kwenye wema lakini from today I'll expect nothing kutoka kwao.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hebu nifundishe hii ya leo ilikua propaganda kwa namna gani, kwa malengo gani na kwa faida ya nani?!Jifunze ujue kutofautisha Propaganda na ukweli utakua umepiga hatua kubwa.
Unawezeje Teka commanding center bila umwagaji damu?. Yaan Wagner ateke Rostov mkoa unaotumika kama Commanding center ya SMO inayoendelea Ukrein bila hata risasi Moja kupigwa?.Hebu nifundishe hii ya leo ilikua propaganda kwa namna gani, kwa malengo gani na kwa faida ya nani?!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
hawa mbwa wavumilivu sana yaanInamana pro nato ndo huwa mnaumia hivi? Sisi leo siku moja roho ziliuma japo tukawa tunajifariji kwa historia ya boss wa wagner kuwa ni mchezo tu na hakuna kibaya kitatokea ila tulikuwa tunaumia walai leo
Sasa nyie kila siku mbwa nyie ndo mana hamnenepi akil
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama umefahamu kuwa huwezi teka bila kumwaga damu na ukajua ni propaganda ni waasi gani wajinga wasione hilo?Unawezeje Teka commanding center bila umwagaji damu?. Yaan Wagner ateke Rostov mkoa unaotumika kama Commanding center ya SMO inayoendelea Ukrein bila hata risasi Moja kupigwa?.
Wagner wasafiri zaidi ya km 200 kuelekea Moscow huku hakuna hata sisimizi alieuliwa?. Yaan vikosi vya Russia viwasubiri waingie Moscow kumpindua Raisi ndio wapambane navyo?.
Wasaliti wote walioko ndani ya Jeshi Leo ilikua nisiku yao kujitokeza Hadharani wawaunge mkono Wagner Sasa kama walifanya movement yeyote wamejulikana.
Uzalendo unatofautiana. Kiwango cha uzalendo kinaamua kiwango cha maumivu. Kuna watu ni active humu ila akilog out kila kitu anaacha hapa sababu ubongo wake haujaamua kuwa hili ni jambo la kumtengenezea kemikali zinazoleta maumivu.Inamana pro nato ndo huwa mnaumia hivi? Sisi leo siku moja roho ziliuma japo tukawa tunajifariji kwa historia ya boss wa wagner kuwa ni mchezo tu na hakuna kibaya kitatokea ila tulikuwa tunaumia walai leo
Sasa nyie kila siku mbwa nyie ndo mana hamnenepi akil
Sent using Jamii Forums mobile app
You nailed it!Uzalendo unatofautiana. Kiwango cha uzalendo kinaamua kiwango cha maumivu. Kuna watu ni active humu ila akilog out kila kitu anaacha hapa sababu ubongo wake haujaamua kuwa hili ni jambo la kumtengenezea kemikali zinazoleta maumivu.
Sidhani kama uko sahihi kuhusu intelijensia ya Urusi.Kama pro-Russia nilichojifunza kwa matukio ya leo ni kua inawezekana kabisa kizazi chetu kisishuhudie kamwe wema ukiushinda ubaya.
Chukua mifano ya akina Che Guevara, Fidel Castro, Gaddafi, Sankara, Hugo Chavez, JPM, Trump na sasa Putin na Russia yake kwenye hii vita ya Ukraine.
Imekuaje intelijensia ya Urusi imeshindwa kabisa kujua mipango ya Prigozhin na kuizima au ilikuaje wakaruhusiwa kuwa na nguvu mpaka ya kuweza kutishia kufanya mapinduzi?
Mbona mfano Marekani wanampa Zelensky misaada ya kila aina na bado hawaachi kumdukua kuhakikisha hawezi kufanya kitu nje ya maelekezo yao, na akizingua wanamla kichwa asubuhi tu, Urusi wanashindwaje kwa huyo Prigozhin?
Mbona mutiny za aina hii sijawahi kuzisikia Marekani tokea nimepata akili?
Putin majuzi ametangaza wameshambulia decision-making centers za Ukraine, pro-Russia wengi wakasema Zaluzhny na Budanov waliuliwa kwenye hizo strikes, kama siku tatu nyuma nimeona video zao ni wazima kabisa hawana dalili kwamba wamewahi hata kuumwa siku kadhaa nyuma.
Nitaendelea kuwa pro-Russia kwasababu anasimama kwenye wema lakini from today I'll expect nothing kutoka kwao.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wameshakua sugu 🤣🤣🤣kwa kifupi tuyaite madunga embehawa mbwa wavumilivu sana yaan
Duh ulipotelea wapi ?Hivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
Network imerejea lini ?,Mbona huyo ni team Russia tangu vita inaanza mwaka jana
Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.Ndio maana heshima Yako imeshuka sana humu Jukwaani,kumbe unaishi kwa kukalili.
Watu wanakushambulia kwa sababu walidhani utakua na hoja kama vile zamani,lkn Sasa umepoteza mwelekeo.
Hivi kwa jinsi unavyojifanyaga mchambuzi,kweli unaweza kusema Ukraine inapigana na Urusi?
Sasa zile package mnazofurahiaga kutoka USA NATO hua mnafirahia za Nini?
Kwa kifupi NATO ndio inapigana na Wagner.
Ukraine inaweza wapi kupigana na Urusi?
Kumekucha sasa, ndio naelekea uko mpaka jioniNetwork imerejea lini ?,
Hakuna kitu propaganda tu, matamko mengi yanarushwa na vyombo vya habari na kuitwa matamko ya viongozi wa Urusi ni ya kubumba tu...Wagner chief Prigozhin will move to Belarus and charges to be dropped under deal
The Wagner group chief, Yevgeny Prigozhin, will move to Belarus under a deal to end the armed mutiny he led against Russia’s military leadership, the Kremlin said on Saturday night.
The deal was brokered by the Belarusian president, Alexander Lukashenko.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov said Lukashenko had offered to mediate, with Vladimir Putin’s agreement, because he had known Prigozhin personally for about 20 years.
Peskov said the criminal case that had been opened against Prigozhin for armed mutiny would be dropped, and that the Wagner fighters who had taken part in his “march for justice” would not face any action, in recognition of their previous service to Russia.
Although Putin had earlier vowed to punish those who participated in the mutiny, Peskov said the agreement had had the “higher goal” of avoiding confrontation and bloodshed.
Prigozhin and all of his fighters vacated the military headquarters in the southern city of Rostov-on-Don that they had previously taken over, the RIA news agency reported.
==========================
Hatimaye jamaa ataishi uhamishoni sasa, huenda hata mamlaka ya kuendesha Wagner yamechukuliwa na MOD.
yule jamaa muongo sana sijawahi ona;Yule mpiga Punyeto ameshaukimbia uzi tayari...
Leo alikuwa active sana, ila baada ya Wagner kuondoka, naona shida ya internet huko kwenye mashamba ya mpunga imerudi tena.