King Mswat 11
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 207
- 319
Mkuu nashindwa kukujibu mstari kwa mstari nachelea nisitoke nje ya mada lakini hili tukio vyovyote vile utakavyoliweka limemuachia Putin na Urusi taswira ya udhaifu mkubwa sana, kwa watu serious huyo Prigozhin alitakiwa kuwa eliminated mwanzo kabisa kabla hajaanza kuituhumu hadharani wizara ya ulinzi juu ya namna inavyoendesha vita.
Unavyosema yalikua maigizo!! Yaani unamruhusu mtu atembee km 600, amebakiza only km 200 kukufikia, with all the panic you have caused all along ili tu uwajue walio for/against SMO yako, hii hoja hai hold water!
Mimi nimeshakubali, Russia or Putin are not as mighty as we would like to believe and I have moved on.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums
Hakuna cha udhaifu wala nini hapo kuMkuu, hii ime expose udhaifu mkubwa kwa Russia na Putin lakini usisahau pamoja na huo udhaifu wote bado hao West wanajua mwenzao anayo nuclear na kipindi kama jana ndo alikua kwenye uwezekano mkubwa sana wa kuitumia kwasababu alishabanwa kwenye kona, kwahiyo ondoa hofu wasingeweza kuitumia hiyo kama opportunity ya kushambulia.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Vip kuhusu September 2001Lini umewahi kusikia hao contractors wana attempt mutiny kwa jeshi ama serikali ya Marekani?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mimi nilishakupuuza siku nyingi.
Weye upo sawa.Kwa mchezo uliochezwa Jana pale Rostov ilikua ni mbinu ya kijasusi ambayo matokeo yake tutayaona hapo baadae ila Kwa akili niliyoiona Jana wale Askari walikua NI wanajeshi kutoka kambi za pale Rostov awakua PMC Wagner na ndio maana UKIONA damu imemwagika wala kurushiana risasi haijawai kutolea kambi ivamiwe bila kutokea mapigano au kuonyeshwa Askari waliosalimu amri, Wagner walibaki katika zone zao na wao wakiujua mchezo mzima na ndio maana baada ya misheni kukamilika urussi anasema Askari wote WA Wagner waliokataa kushiriki watapewa adhi Sawa na kesho la urussi maana yake Askari wote WA wagner wamesajiliwa na jeshi wale Askari waliokua katika uasi watasamehewa,Jana wakati wanayengeneza uasi feki kuna Askari WA Wagner wameelekea belarusi wameenda kufanya nini tutajua zaidi na prigo anaelekea pia belarusi wakati wanaondoka Askari WA Ukraine awakuwashambulia kabisa wakiamini ni wenzao wanahitajika naomba kuchangia
Ukweli unauma na hata ukiukata ukweli haubadilikiOk, so mhaini aketi na nawe na mwajadiliana terms.
Naona hiyo itakuwa ni "Banana Republic" na si Russia.
Lukashenko ni rafiki yake Prigozhin kwa miaka 20 na asingependa rafiki yake auawe kijinga.
Pia Putin kashinda, Wagner wameambiwa warudi kwenye kambi zao (in disguise) waendelea na operesheni sehemu fulani hivi na Wagner watasaini mikataba mipya kuwa sehemu ya jeshi.
Weye endelea kununua propaganda za magharibi.
Mkuu, hii ime expose udhaifu mkubwa kwa Russia na Putin lakini usisahau pamoja na huo udhaifu wote bado hao West wanajua mwenzao anayo nuclear na kipindi kama jana ndo alikua kwenye uwezekano mkubwa sana wa kuitumia kwasababu alishabanwa kwenye kona, kwahiyo ondoa hofu wasingeweza kuitumia hiyo kama opportunity ya kushambulia.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ndo maneno yenu pekee ya kujifariji mliobaki nayo poleni sanaMkuu wa nchi anayeshindwa kumaliza uasi anabaki hana la kufanya akawa analialia tu swahiba yake lukasehenko akamuonea huruma sana akaona mzee putin anadhalilika na atadhalilika sana ndani ya 24 hours akamlilia prigoh akamwambia chondechonde msitiri putin mzee mwenzangu maana ukiendelea na mission yako dunia itatudharau sana, babu Prigoh akatoa masharti anayotaka yatimizwe, Putin kuambiwa mashart akasema afadhal maana dah nlishadhalilika akaishia kuyakubali.
Kuna msemo humu wasema, "Russia si Zimbabwe".Ukweli unauma na hata ukiukata ukweli haubadiliki
Angalau huu uchambuzi unaingia akilini.Jana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana
Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara
Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo
Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin
Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo
Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine
Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia kaa advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze
Na ndio maana tunajiuliza hawa watu wamepitia wapi mpaka wameingia Rostov kumbe wizara ndio imepanga mipango yote tuliyoiona hao waasi walikua NI wanajeshi WA Russia waliotoka ndani ya Rusia na ndio maana awakufanywa kitu wala hakuna aliyejeruhiwa waasi wanamuelekeza prigo nini aongee mchezo umepangwa Kwa ufasaha kuna mtu ataliwa kichwa kuna msaliti ametafutwa hapo Jana kuna wasaliti wamepatikana ivyo tutashihudia mambo ya kutisha katika hii vitaWeye upo sawa.
Putin kashinda kwenye hili na majasusi wake wameonyesha uwezo mkubwa wa kukabiliana na majanga kama hili kwa ueledi na utulivu mkubwa.
Wengi hapa wasahau kuwa Putin ni jasusi.
Ni kweli ndani ya Russia wapo wasoridhia hii SMO wakiwemo matajiri na watu wengine.
Hivyo operesheni iloandaliwa miezi kadhaa imeisha ndani ya masaa 24.
Mkuu, kula tano waeleweka uzuri sana.Jana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana
Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara
Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo
Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin
Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo
Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine
Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia hilo tukio kama advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze
Inasikitisha russia kufananishwa na Zimbabwe.Kuna msemo humu wasema, "Russia si Zimbabwe".
Yaani hivi tunavyoongea mida hii kuna kundi kubwa lipo chini ya uangalizi Russia.Na ndio maana tunajiuliza hawa watu wamepitia wapi mpaka wameingia Rostov kumbe wizara ndio imepanga mipango yote tuliyoiona hao waasi walikua NI wanajeshi WA Russia waliotoka ndani ya Rusia na ndio maana awakufanywa kitu wala hakuna aliyejeruhiwa waasi wanamuelekeza prigo nini aongee mchezo umepangwa Kwa ufasaha kuna mtu ataliwa kichwa kuna msaliti ametafutwa hapo Jana kuna wasaliti wamepatikana ivyo tutashihudia mambo ya kutisha katika hii vita
Sasa kama haina hayo mabavu ile misaada ya trillion of dollars kwenda Ukraine niyanini??Upo sahihi kabisa, Russia inakuzwa sana na propaganda tu ila kiuhalisia hana mabavu wala 'u-superpower' wowote ule.
Angalia hata namna Vita alivyoanzisha anavyoshindwa kuvimaliza (miaka 2 anapigana tu).
Ussr ilikuwa tishio na ikasambaratika, Urusi ya Putin ni masikini jeuri tu.
Hili tukio limemuimarisha zaidi Putin na kumfanya aweze kumpeleka Prigozhin nchini Belarus kiulaini bila shida.Hili tukio linamuimarisha au kumfanya Putin kuonekana dhaifu.
Wengine hawawezi kujaribu huu mchezo pia?
Hata Intel ya US ina udhaifu mkubwa pia ambapo Russia wana uwezo wa kuingilia uchaguzi (2016) na kubadilisha raisi.
Na ndo maana Biden sasa hivi ahaha kuhakikisha ashinda uraisi na si Trump.
Trump hadi sasa ataendekea kuwekewa zengwe hadi ashindwe kugombea uraisi lakini intel ya Russia bado ipo
Umempa ukweli mchungu.Hata Intel ya US ina udhaifu mkubwa pia ambapo Russia wana uwezo wa kuingilia uchaguzi (2016) na kubadilisha raisi.
Na ndo maana Biden sasa hivi ahaha kuhakikisha ashinda uraisi na si Trump.
Trump hadi sasa ataendekea kuwekewa zengwe hadi ashindwe kugombea uraisi lakini intel ya Russia bado ipo kazini.
Hili tukio limemuimarisha zaidi Putin na kumfanya aweze kumpeleka Prigozhin nchini Belarus kiulaini bila shida.
Sasa jiulize Prigozhin ameenda Minks peke yake au ana vikosi vya Wagner?
Hii lazima NATO, Ukraine na US watakuwa wajiuliza mida hii.
Kumbuka mashambulizi ya Russia kwa Ukraine ya February 24 mwaka 2022 yalianzia Belarus na Wagner walianzaia hapo.
Yule mpiga punyeto atasema hilo gazeti ni la UrusiMuingereza kakili kuwa Murusi ni habari nyingine ,iweje isiweje inabidi wasalimu amri kwake limeandika times
View attachment 2668089
Britain says West must come to terms with Russia's historic turn away from Europe
The British edition of the Times reported that the anti-Russian sanctions of the West allowed Moscow to move further in its direction, which cannot be said about the countries of Europe.
“We must adapt to a world in which Russia has made a historic U-turn away from Europe,” the article says.
The publication writes that sanctions imposed by the West on Russia have not had a significant impact on its economy, and the Russian Federation is doing “surprisingly well” in contrast to Europe and Britain, whose defense industry has faced a shortage of resources due to the provision of military assistance to Ukraine. And now the countries themselves “lack sufficient protection.”
Western approach to Ukraine is delusional
Mkuu hujaelewa bado kazi ya Baraza la usalama inaenda namna gani????NATO walienda Libya kama nani?Si tunaambiwa NATO ni umoja wa kujilinda pale mwanachama mmoja anaposhambuliwa,inakuwaje wanaenda kwenye nchi ambazo hazijawashambulia?
Kwanini majeshi ndani ya UN ndiyo yasishiriki hizo mission na badala yake aende NATO?
Halafu baraza la usalama,US ana washirika wengi kiasi kwamba hata kama Russia na China wakipiga kura ya hapana,bado US atapata kura nyingi za ndio!Wakati mwingine US anatumia blackmail au intimidation kwa diplomats wanaowakilisha nchi zao katika security council!
Rejea uvamizi wa Iraq;
Katharine Teresa Gun (née Harwood;[1] born 1974) is a British linguist who worked as a translator for the Government Communications Headquarters (GCHQ).[2] In 2003, she leaked top-secret information to The Observer concerning a request by the United States for compromising intelligence on diplomats from member states of the 2003 United Nations Security Council, who were due to vote on a second UN resolution on the prospective 2003 invasion of Iraq.[3]
Katharine Gun
Wewe huamui hapa. Swali lilikuwa kuhusu NATO na Iraki. NATO haikuhusika Irak. Ukiona tofauti, lete ushahidi (azimio, tarehe)Imeulizwa marekan na uingereza kuke Iraq walikuwa wanajikinda dhidi ya nini, jibu swali acha kuzunguka zunguka!!