Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo wewe unaona anastahili kuendelea kuwa hai? Chukulia wewe ndo ungekua Putin na alichofanya haukua mchezo kama wengine mnavyoamini.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hoja yangu ni kwamba,
Unajuaje kama Putin anamuona kama amekosea?
Unajuaje pengine madai yake yalikua sahihi ila sema njia alizokua anataka kuchukua sio sahihi.
Yeye Lawama zake zote sio kwa Putin,Bali kwa Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Sasa hapo pengine Putin anamuona kama mzalendo lkn hakua na subira.
Hayo ni mawazo yangu TU lkn.
 
Pro NATO wamekosa furaha mda mrefu sana.

Kwa hiyo wakipata ka nafasi ka kufurahi wanakafurahia kwa nguvu sana, lakini Kwa mda mfupi mno ili kufidia mda mrefu wanaokaaga bila furaha.
 
Hawajui kutengeneza simu, lakini wanapeleka rocket angani na engine zao nibora kuliko hao wanaotengeneza simu. Jambo la msingi ni priority.

Huyo T Armata ni mpiga punyeto na mjinga.
Anadai Russia hawawezi kutengeneza Simu.

Kwanza anafahamu simu ni nini/kitu gani?
Anajua principles za telecommunications?

Principles za mawasiliano ni zilezile tu, kama jeshi la Russia wanaweza kutengeneza vifaa vya mawasiliano na wakawasiliana, sasa wanashindwa vipi kutengeneza simu kwa ajiri ya mawasiliano ya kiraia?

Je, ameshafika Russia na kuona kwamba hakuna simu za ki Russia?
 
Kwani kisichofanyika Marekani ndio kiaakisi ustaarabu wa Dunia?
Mkuu tupo team moja, point yangu kubwa ni kwanini Urusi na Putin walimuacha Prigozhin akawa mkubwa kiasi cha kutishia uhai na usalama wa Urusi kwa kujaribu kufanya coup? Nilitoa mfano wa Marekani anavyompa misaada ya kila aina Zelensky na Ukraine ila kila siku haachi kuwadukua ili isije kutokea siku akapigwa kwa silaha zake mwenyewe ama maslahi yake yakaharibiwa kwa kiburi kinachotokana na misaada yake mwenyewe.
Kujifunza hata kwa adui sio vibaya, na kumbuka tukio la jana halikuanza ghafla, hii shida imeanza nadhani wakati ule Wagner na Urusi wanaelekea kuichukua Soledar kwahiyo watu serious walitakiwa wawe wameshamuweka kwenye mstari tokea wakati ule.
Unawezaje kwanza ku critize wizara yako ya ulinzi katikati ya vita na ukabaki salama? Ni kwanini nyie wenzetu hamuoni tatizo kwenye namna Putin na Urusi walivyomu handle Prigozhin??

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hoja yako ya kushindwa kumaliza vita ndani ya muda mfupi tufanye Russia siyo supa pawa. Kwa kutumia hoja hiyo hiyo tumpime supa pawa unayemuamini.
Je marekani ilimaliza vita pale vietnam baada ya muda gani? Je supa pawa alimaliza vita pale Korea baada ya muda gani? Je pale Afghanistan, je Iraq?
Kwa hoja yako inamaanisha hata marekani siyo supa pawa.
 
Hajajibu hii comment yangu,amekimbia
Nilikujibu cheki tena, pia mimi sio pro-Nato, ni pro-Russia na jana ilikua siku mbaya sana kwangu, wife hua sio mfuatiliaji wa hizi mambo ila mpaka alijua kuna kitu kikubwa kimetokea make kwa dakika moja nilikua nabadilisha chaneli hata mara tano, BBC, CNN, Sky news, Al jazeera, CGTN na hapo hapo nafuatilia live updates za Twitter, The Duran, JF, na YouTube kwa Alexander Mercouris kama amepost chochote, haikua siku nzuri na kubali kataa ime expose udhaifu mkubwa wa mfumo wa Urusi.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ooh kwaiyo wewe kiongozi anaeweza kudanganywa na akachukua maamuzi makubwa yenye athari kubwa kwa nchi unamchukulia yuko sawa tu?

Hivi unajua mpaka amepinga sababu za Urusi kuingia Ukraine kufanya SMO kwamba hazikua na mashiko? Kuna uhaini zaidi ya huo kwa kuanzia kabla hata hatujaenda kwenye mutiny?!!!!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Pro Nato msichofahamu ni kwamba US na Western hawatamani hata sekunde moja (only 1second) Prigozhin ndio awe rais wa Russian Federation

Ebu wew jaribu kufikiri huyu mwamba ndio angekua ktk kiti kile cha mzee Putin, nchi yenye masilaha ya hatari ya kila aina
 
Na hiyo ndio akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…