Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hamna huyu ni rafiki yake sana awezi kumfanya kitu.ni zaidi ya rafiki
 
Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.
[emoji119]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umerudi tena kutupiga Fix mzee
 
Unawezaje kwanza ku critize wizara yako ya ulinzi katikati ya vita na ukabaki salama? Ni kwanini nyie wenzetu hamuoni tatizo kwenye namna Putin na Urusi walivyomu handle Prigozhin??
Kwa mtazamo wangu: Serikali ya Putin walimuona Prigozhin atakuja kuwa kikwazo mbele kwani dalili za kujaa kiburi zilianza kujionyesha mapema. Serikali ikaja na njia tatu ambazo ni:

a) Kumnyima silaha , wote mashahidi ugomvi mkubwa ni kucheleweshewa silaha na vifaa vingine.Huwezi jua kama angefanikiwa kuzipata zote angefanya nini!!!!!!!


2) Kuwaondoa taratibu na kwa awamu huko Ukraine na kulipa majukumu jeshi la kawaida la Urusi.

3)Kuliondolea mamlaka yake kamili, hapa kuliandaliwa mikataba mipya yenye masharti mapya ambayo ni kama kulivunja kundi lenyewe!!!!!! Hapa jamaa alihisi mbawa zinakatwa akaamua kususa!!!!!!!!!!!

Ujasusi una mambo yake huwezi jua kama yalikuwa ni maigizo ama ni kweli kwani vyombo vya kijasusi vya kimagharibi vimeanza kuhisi kuwa huu unaweza kuwa ni igizo!!!!!!!!


Ukraine-Russia war latest: 'Something smells off' with ...​


6 hours ago — Yevgeny Prigozhin is "stripped of control" of the Wagner Group and set to move to Belarus in return for mutiny charges being dropped; questions ...


Russia rebellion: Wagner Group troops to be absorbed into ...​


10 hours ago — The military preparations raise questions about Prigozhin's explanation for why he seemingly spontaneously sent his forces into Russia and ...

Source: Sky news: 25/06/2023
 
[emoji23][emoji23]
 
Jana narudi home wife ananiuliza mbona hauko sawa unatatizo gan? Mi namuangalia tu mana hata ningemjibu asingenielewa. Hii ishu ilininyima raha sana kwa siku ya jana
Hahahahaahahah, ilinitokea hata mimi, nilishinda home nilikua nabadilisha chaneli kila dakika nikawaza hata akiniuliza ntaanzia wapi kumuelezea mpaka aelewe!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Umeweka nadharia kuntu sana kufikirisha.
Mimi mwisho naishia kusema ulikiwepo Uasi, alidanganywa kwa msaada wa CIA, M16 na wengine , huenda kundi fulani kuonekana kumuunga mkono, ila Intelligency ya Urusi ikasoma mchezo mapema ikaweka mtego mbaya kwake na washirika wakagundua pia kuwa msala umebuma wakamuacha.
The ony soln ni kukubaliana. Maana masharti yake ni kama hayana shinikizo tena maana hayupo na jeshi limemegwa vipande na anaweza kufantwa vyovyote.
Labda kama ilikuwa nia ni kutikisa kujua utayari wa Urusi ikiwa NATO wataamua kuvamia hivyo wakamtumia kama case study
 
Pole pia!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia hawawezi kukuelewa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kukuelewa, hao jamaa wanamuona Putin ni binadamu wa kipekee,kumbe nae ana madhaifu yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…