Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wajinga si wanajificha humo na RPG sasa ngoja wapelekewe motoRussia imetumia mizinga kushambulia jengo moja kubwa ndani ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, huku majeshi hayo yakizidi kuelekea katikati mwa mji huo.
Jengo kubwa la gorofa limesambuliwa nyang'a nyang'a.
View attachment 2150044
Kaka kuna mapatano mengi yanayoitwa haki ya kimataifa, ina kasoro nyingi lakini ni muhimu. Si haki ya magharibi wala ya mashariki. Hasahasa nchi za kusini wana interest kuitunza maana inamlinda kila moja (haki jinsi ilivyo)Urusi yupo wima mwenyewe akiwa front kuwakabili Ukraine wanaosaidiwa na West. Marafiki wa Urusi na nchi zisizo za kibepari hawajatoka wazi kusimama na Urusi wakati wenzao wametoka wazi wanaweka vikwazo na kutoa silaha. Kwangu mimi naona kuna woga ambao umesababisha. Najua wapenzi wa Urusi mnaweza nishambulia ila na nyinyi mjiulize, Why?
Ndiyo nashangaa,inabidi watujuze nini shida? Nimekuja nikitegemea kukutana na Breaking News za kumailiza hiki kis special operation,matokeo yake nimeambulia kukutana na maelezo mengi yasiyotoa mweleko wa mwisho wa hiki ki operation.Si walisema putin atachukua ukrain yote kabla ya March 3 imekuwaje tena
Si bishani na viaziWe ni Empty head
Umeongea point kubwa.Kaka kuna mapatano mengi yanayoitwa haki ya kimataifa, ina kasoro nyingi lakini ni muhimu. Si haki ya magharibi wala ya mashariki. Hasahasa nchi za kusini wana interest kuitunza maana inamlinda kila moja (haki jinsi ilivyo)
Kanuni kuu: Usimshambulie mwingine, usibadilishe mipaka ya nchi kwa nguvu.
Hapa iko wazi nani anavunja utaratibu huu. Kwa hiyo hata watu wanaopenda Urusi, si rahisi kushikamana.
Huu ndo wakati Putin Anawajua marafiki wanafikiHahahaha, daah. Kazi ipo.
Tatizo tunangoja iongezeke kunyesha tujue kote panapovuja.......pakikaa sawa nyumba iwe ya uhakikaMbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Labda wamepotezeaNdiyo nashangaa,inabidi watujuze nini shida? Nimekuja nikitegemea kukutana na Breaking News za kumailiza hiki kis special operation,matokeo yake nimeambulia kukutana na maelezo mengi yasiyotoa mweleko wa mwisho wa hiki ki operation.
Kwamba hiyo haipigiki?
Right on the money,lakini kwakuwa hawapendi kuusikia ukweli,watakutolea povu hapa Wazee wa "Putin anakiwasha"Urusi yupo wima mwenyewe akiwa front kuwakabili Ukraine wanaosaidiwa na West. Marafiki wa Urusi na nchi zisizo za kibepari hawajatoka wazi kusimama na Urusi wakati wenzao wametoka wazi wanaweka vikwazo na kutoa silaha. Kwangu mimi naona kuna woga ambao umesababisha. Najua wapenzi wa Urusi mnaweza nishambulia ila na nyinyi mjiulize, Why?
Ile misafara ya silaha ambazo Puttin kasema akiziona anazilipua, vikwazo na wanaojitolea sio kuingilia huko Google?Amini kwamba NATO wanaijua nguvu ya Russia kuliko sisi wasoma habari mitandaoni ndio maana Russia alisema atakayeingilia atapata pigo la kihistoria na mpaka sasa hakuna aliyeingilia.
Unafikiri kwa nini hawaingilii, wanasema Russia kaishiwa silaha mpaka anaomba china huu ndio wakati mzuri wa kumuingilia mbona hawajaribu?
Wewe ndio una tabu, una ushabiki tu wa Kirusi kirusi.....Ujitahidi hata kutumia ubongo wako mdogo kusoma na kuelewa mkuu [emoji3]
Watasaidia silaha za kivita ila nchi kama nchi kujitangaza kwamba inaenda kupigana na Russia ili kuisapoti UkraineIle misafara ya silaha ambazo Puttin kasema akiziona anazilipua, vikwazo na wanaojitolea sio kuingilia huko Google?