Mi Prro Russia ila nakukubali kwa persistence tena hutumii matusi wewe unamsemo wako mmoja japo ni fake sana
Dah!.... Kazi kweli kweli.....Hoja yangu ni kwamba,
Unajuaje kama Putin anamuona kama amekosea?
Unajuaje pengine madai yake yalikua sahihi ila sema njia alizokua anataka kuchukua sio sahihi.
Yeye Lawama zake zote sio kwa Putin,Bali kwa Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Sasa hapo pengine Putin anamuona kama mzalendo lkn hakua na subira.
Hayo ni mawazo yangu TU lkn.
Sidhani kama Kuna member wa kuweza kujibu maswali haya bila mihemko!Huu uasi wa Prigo unachanganya sana. Binafsi sijui nisimame upande gani, wa mapunduzi ama maigizo? Maana nadharia zote mbili ni Tata.
Kama ni mapinduzi kweli napata maswali yafuatayo
1. Prigo anadai wanajeshi wake wapatao 2000 walishambuliwa na MoD. Lakini, hatuoni ushahidi wowote juu ya hilo.
2. Huu ujasiri wa kutaka kupindua serikali ambayo anaitegemea kwa Silaha na pesa Prigo aliutoa wapi? Ama kuna majenerali walikuwa wanamsapot?
3. Wagner waliwezaje kuuteka mkoa wa Rostov bila upinzani wowote yaani combat
4. Wagner waliwezaje kutembea km 700 bila upinzani wowote zaidi ya kusemekana walilipua helicopter 4 na ndege 1. Kwanini msafara wao haukupatwa na madhara?
5. Kama Prigo aliweza kuungwa mkono na jeshi maana yake alipata jeshi na vifaa jeshi. Je ilikuwaje asitishe mapinduzi hata kabla ya mapigano ya ana kwa ana?
6. Inawekanaje, Prigo akubali kwenda uhamishoni na kukubali kulipoteza jeshi lake bila hata ya mapigano yoyote? Tena nusu ya jeshi lake ikiwekwa chini ya wanaya wake, Shoigu na CDF.
7. Inasemekana baadhi ya wanajeshi wa Wagner waligomea mapinduzi ya Prigo. Mbona hakukutokea mapambano kati ya makundi hayo mawili?
8. Je, waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wameondolewa kama yalivyokuwa matakwa ya Prigo
9. Je, Prigo hakuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Putin mpaka afikishe ujumbe kwa njia ya kufanya mapinduzi?
10. Kama Prigo alikuwa na nguvu na ushawishi kiasi hiki imekuaje awe mnyonge kwenye kusitisha uasi mpaka kupoteza nusu ya jeshi lake na uhuru wake wa kuishi Russia?
Kama ni Maigizo najiuliza yafuatayo
1. Je, hili igizo lilikuwa na muhimu gani kiasi cha kuingia hasara ya ndege 4, kubomoa barabara kwa kuchimba mitaro, na kulipua depot ya mafuta
2. Je, Putin haoni kuwa iwapo warusi wakigundua hili ni igizo wanaweza kumchukia yeye na serikali yake maana wameleta taharuki isiyo na maana na pia warubani wamekufa bila sababu ya msingi.
3. Je, hili tukio haliwezi kuamsha uasi kwa waliokuwa wanatamani kufanya mapinduzi lakini wakakosa ujasiri wa kufanya hivyo?
4. Russia inafadika nn na igizo la namna hii?
5. Kitendo cha Prigo kutaka kuasi sababu ya Shoigu na CDF wake hakuleti picha mbaya kwa wawili hao kwa warusi?
Ulikumbuka kumuona daktar maumivu yalipozidi?Mimi ni pro Russia Jana kama ww nilikuwa hoi huzuni tupu
Duh!....hii kali....Jana narudi home wife ananiuliza mbona hauko sawa unatatizo gan? Mi namuangalia tu mana hata ningemjibu asingenielewa. Hii ishu ilininyima raha sana kwa siku ya jana
Sioni mahala Prigozin kaivua nguo urusi.naona umeng'ang'ania sana neno hilo,licha ya kueleweshwa sana na wadau lakini umeshikilia TU.Hii hata yeye ameandika huku roho inamuuma, haamini Prigozhin amewezaje kutuvua nguo kiasi hiki.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Naungana na nyinyi kuwapa pole..,siku nyingine kukitokea maumivu kama haya ni muhimu kumuona daktar haraka iwezekanavyo!Nilipata Pressure hata chakula sikula sisi team Moscow tupeane pole jameni...
Muone mwanasaikolojia haraka,huwenda unajiona huko sawa lakini Madhara ya siku ya Jana yataendelea kukutafna polepole!Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.
Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.
Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
Nilipata Pressure hata chakula sikula sisi team Moscow tupeane pole jameni...
Duh!....Putin angeambiwa ana wafuasi humu huenda angefungua akaunti humu JF.Mimi ni pro Russia Jana kama ww nilikuwa hoi huzuni tupu
Pole sana..,siku nyingine likitokea tukio kama hili jitahidi kunywa maji mengi kadri iwezekanavyoBBC wajinga sana jana walinitisha sana sisi tusiopenda ushoga tuombeane heri kila mmoja anywe mvinyo...
Tuchukue lipi na tuache lipi hapa?Inawezekana mm ndo mtu wa pekee niliyejua toka mwanzo kuwa hii ni mbinu ya kivita, Russia anacheza.
Maana kambi ya jeshi lolote haiwezi vamiwa bila resistance, hapo ndipo nika confirm.
Tukio kama hili, Mkuu wa majeshi anatakiwa kutoa msimamo wa jeshi lake kabla ya Raisi kuhutubia, hapa nako nkaona hii ni staged.
Kinachofuata, ni operation zitatokea Belarus inaweza isiwe ni majeshi kutokea Belarus bali ni command center ikawa Belarus uku kuna route nyngne inatumiwa na Wagna.
Mtego mwengine, Ukrain itapeleka majeshi zaidi mpakani mwa Belarus wakiamini ni propaganda za kweli, watu wanachofikiria sasa ndicho mrusi alikipanga kwa muda mrefu kuwa mtafikiria hvyo na dunia kwa ujumla, kitu cha tofauti kinaenda kutokea, Trust me.
[emoji2][emoji2][emoji2]nashangaa hajanielewa^too shame^ - aibu kubwa hahah
Safii, [emoji122] nimeyapokea maua yangu [emoji119][emoji119][emoji119]Mi Prro Russia ila nakukubali kwa persistence tena hutumii matusi wewe unamsemo wako mmoja japo ni fake sana
" leo tumewachinja.....[emoji16]
Ila jana dk fulani ulikuwa full raha wengine tukiumia. Dk zako 5 bora ukarudi kwenye majonzi pole sana
Pole Sana Kaka,Jana wengi mioyo yetu ilijeruhiwaNilikujibu cheki tena, pia mimi sio pro-Nato, ni pro-Russia na jana ilikua siku mbaya sana kwangu, wife hua sio mfuatiliaji wa hizi mambo ila mpaka alijua kuna kitu kikubwa kimetokea make kwa dakika moja nilikua nabadilisha chaneli hata mara tano, BBC, CNN, Sky news, Al jazeera, CGTN na hapo hapo nafuatilia live updates za Twitter, The Duran, JF, na YouTube kwa Alexander Mercouris kama amepost chochote, haikua siku nzuri na kubali kataa ime expose udhaifu mkubwa wa mfumo wa Urusi.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
kumbe hiki ndo kipanya chenyewe😂😂😂😂😂naona kippanya 44
anachungulia na kurudi huko KIEV [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2668220
Hujui mada imeanzia wapi.Dah!.... Kazi kweli kweli.....
yaani pamoja na Putin kupiga mkwara mzito kwa Prigozhin bado unadhani Putin anamuona huyo jamaa ni mzalendo ?......
Muone mwanasaikolojia haraka sana..,hii ya Jana ni sawa na mtu aliyepata ajali na kuvuja damu ndani kwa ndani..,itaendelea kukuhathir katika siku zijazo!Alhamdu lillah jana imeisha maana kwangu ilikua siku ya mateso hata barabara ilikua nyembamba familia niliitesa maana walihisi ninahoma ya ghafla maana niliwahi kurudi home kuliko kawaida