Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu wa information analysis tulikuwa tunawachora tu. Chechen walipo karibia kuondoka frontline story kama hizi zilitokea. Hiyo drama uliyoiona ni exit point ya Wagner. Kuna kikundi kingine kinaingia kufanya kazini.
Heheee [emoji23] naona vijana walikua wana wasi wasi eti mambo madogo kama haya yanawapa taabu
 
Watawala wote hawanaga aman na kuish kiupweke kawaida yao


Hebu angalia Trump anavyohenyeshwa kisa kaficha fail nyumban ilhali Biden nae alizificha nyumban na hakuna mashtaka dhidi yake
 
Mzee ile issue haikua na masihala aisee...Putin kaishasema...zaidi ya mara tatu, kawashukuru makamanda wake.Lukashenko kaongea sana tayari,Prig..mwenyewe kaongea na kasema lengo halikuwa kupindua serikali au Putin..issue ni hao Shiogu
 
Huwezi upiga mwingi bila challange zenye sifa za kukufanya uupige mwingi. Anayekupa hizo challange hawezi dharauliwa.
Hamna challenge yeyote game ilikua imepangwa naimeenda vyema unaamini prigo alikua anaitaka MOSCOW kwa dalili zipi
 
Ingekua haitoi kulingana na mahitaji leo hii ASSAD asingekua rais wa SYRIA [emoji1238]
 
Marekani na NATO yake walipigana zaidi ya miaka 20 AFGHANISTAN [emoji1023] hii SMO hata kuanza haijaanza
 
Huyu mzee anazidi kuchanganyikiwa!!!!!!!!!! Hii vita inazidi kumuibulia magonjwa mengine!!!!!!!!!!! Kazi ipo!!!!!!!!!!


Biden's latest gaffe...​

Joe Biden has added a new gaffe to his growing list.

The US president told reporters today that Vladimir Putin was losing the Iraq war.

Of course, Mr Putin is carrying out an invasion of Ukraine.

Answering questions from reporters on the Russian president, Mr Biden said: "It's hard to tell but he's clearly losing the war in Iraq."


Source: Sky news: 28/06/2023
 
Urusi yalipiga bomu jengo huko Kramatorsk lililokuwa na maafisa wa kijeshi wa NATO wengi kutoka Marekani, maafisa wa Ukraine na mercenaries kutoka nchi za NATO

Damu zimemwagika hatari maafisa wamepagawa

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Hamna challenge yeyote game ilikua imepangwa naimeenda vyema unaamini prigo alikua anaitaka MOSCOW kwa dalili zipi
Boss, hayo ya kupangwa ni ya kwetu wachambuzi. Raisi wa Urusi alipozungumza na raia wake alieleweka. Nimeopt kwenda na anachosema. Haya mengine siyapingi ila ni mengineyo. Prig naye ameshasema nia yake ilikuwa ni nini. Na pia Putin anasifiwa sababu anakwepa mishale mizito kutoka West. Kuanzia vikwazo n.k
 
Kudhihilisha haikuzwi Ni kurudisha maeneo Basi.
 
Ngoja nieke kituo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…