Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hizi ni 4 or 5 generation?
Cover area ya hiyo makitu asogei hata huyo f22/35. Maana hizi Ni mobile system na inauwezo wa kutembea huku inafanya kazi. Ndio Kama ulifatilia mgogoro wa Syria wakati wanafanya installation ya s300 hizo zilikua zina defence mpaka ikamilike ndio inapunguziwa majukumu. Na popote uikutapo s400 Basi huyo jamaa na yeye hukaa pembeni kwaajili ya short and medium range. Sehemu zilipo hizo syria huko hata Israel haijawahi kugusa
 

Kwenye peace umepuyanga hao NATO ndo wachonganishi wakubwa duniani kule libya walifanya nini? Palestine kule vipi dada? Kule iran? Afghanistan?
 
Kweli? habari hii umepata wapi? Yale niliyoona watu walichoka ukomunisti na udikteta wake mnamo mwaka 1990/91. Bila shaka walikuwa pia na ndoto ya paradiso inayokuja wakipokea ubepari (ambayo haikuja,jinsi ilivyo kawaida kuhusu paradiso duniani),
Pia watu wa Kazakhstan, Turkmenistan, Armenia, Georgia, Ukraine, lithuania, Estonia na kadhalika walichoka kutawaliwa na Warusi na kunyimwa haki za kutiumia lugha na utamaduni jinsi walivyoona wenyewe.
Kwa yote niliyoona ugawaji haukufuata matakwa ya "magharibi" au "mashariki" bali mipaka ya ndani kulingana na Katiba ya Umoja wa Kisovyeti - jamhuri 15 zilizounda shirikisho la Umoja wa Kisovyeti ziliachana.
Au una habari nyingine?? Tuonyeshe!
 
Russia accuses Ukraine of missile strike on Donetsk, Ukraine denies
Russia’s defence ministry has said 20 people have been killed and 28 wounded by a Ukrainian missile with a cluster charge in the city of Donetsk in eastern Ukraine.

Russia analia nini
 
Maneno mazito sana haya.
Kweli USA akienda vitani atahakikisha kwanza nchi hiyo anenda pigana nayo kwanza imewekewa vikwazo,imedhoofika kiuchumi,halafu anaondoka na mashoga zake,ambao wote ni NATO na wapambe wengine,Tena baada ya nchi kuwa imepelelezwa na watu wa Nguvu za atomic akina Mohamed El baradei na kuwapa Siri zote za maeneo yenye silaha.ndipo Marekani huvamia.
Hii ilifanyika kwa Iraq.
Asante Mkuu Mwana taaluma.
 
Kwenye peace umepuyanga hao NATO ndo wachonganishi wakubwa duniani kule libya walifanya nini? Palestine kule vipi dada? Kule iran? Afghanistan?
Sasa Kama kesi Ni NATO angepambana na NATO, mwenyewe asiweke hizo military base hapo!kumrukia Ukraine Ni kutafuta chambo tu,hapo Ni Sawa na li Sangara kivamia kidagaa alijua atakimeza kiwe mfano wa vitisho vyake,kwa wababe wake NATO,matokeo kidagaa chenyewe kumbe kina miba ya sumu Sangara anahaha..
 
Inajulikana hivo, na kwa hali ilivo hata wakimweka mtu wao atafurushwa na wananchi. Kwa Waukraine utaifa ni kama dini na hiyo ipo kwa Slavic countries nyingi. Wanaipenda nchi yao kushinda maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…