lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Da aisee,ufafanuzi makini kabisa huu.Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia na nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
Hajui kusoma huyo. Anakuchosha tu bure! Mwambie kuwa Urusi si mwoga kama AMERICANATO wanaomimina mvua za bombs na kuwafukia raia kwenye makazi yao.Sababu zipo nyingi lakini sio kwamba wanashindwa
Wanajitahidi kwa kadiri wawezavyo kupunguza kuua raia na kufanya uharibifu mkubwa wa miundombinu na haswa ikizingatiwa kwamba wapiganaji wa Ukraine wanatumia makazi ya watu na mahospitali na shule kama kambi zao za kujifichia na kushambulia
Russia wakiamua kutia full mziki kama USA anvyofanya anakovamia basi mida hii angekwisha maliza kazi ila maafa yangekua ni balaa kwa raia na miundombinu
If ugekua wewe je ungesarenda the first time wanaingia nchini kwako? A man need to show he is a man. Even when you take him out still he fought like a man!
Vietnam zamani Sana Somalia TU .Haya na ww tuambie ni vita gani ambavyo Marekani alisha pigana akiwa peke yake bila washirika wake?
Ali jaribu Vietnam kilicho mkuta hatokuja kusahahu.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hapana,nimesoma huu Uzi tangu umeanza page one,nimejifunza mengi kuhusu hii Vita hata niliyokuwa siyajui,nimeyajua hapa,lakini bado siwezi kuwa upande wa Putin,Hana busara!dunia ya Sasa tunajitaji Sana peace keeping and conflict resolution through mediation kuliko Vita!Anakuja kutuletea Hali ngumu Sana mifumuko ya bei za ajabuajabu hapo miezi kadhaa mbele...Kazingua sana huyu Mr Zero
Comedian anamjambishaWapi Putin alisema hii vita itachukua siku3? Au nyie ndo wasemaji wake
Kushindwa kwenye vita kawaida tena sana russia mwenyewe alikula kipondo na CheChenya na, Afghanstan na wengine wengine wengi tu washamkung,uta russiaVietnam zamani Sana Somalia TU .
Waliondoka kwa aibu.
Tena sio Serikali,ni waasi wa Somalia wakiongizwa na Gen Mohamed Farah Aidiid
naona mawazo yamekaa kidini hata msimamo ya huku imekaa kidini kama wakati ule wa Osama, Saddam Hussein na Gadaffi...ila tunajuwa hawa jamaa wanajaribu kuonesha ubinadamu kwao sio kitu ila mara zote hawashindi Putin hana haki ya kuuwa watu Ukraine kama vile alivyo uwa Osama na Saddam na Gadaffi ila nao walikufa kam wanyama.Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia na nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
Urusi isingetumia siku tatu. Tumeona vema hawakuwa na uwezo huu. Tena walijiandaa vibaya. hapo sababu kwenye siku za kwanza vifaru viliachwa barabarani maana dizeli ilikwisha, kuna filamu jinsi askari wanavyovunja maduka kutafuta chakula maana hawakupatiwa na kadhalika.Waambie hao troops wenu watoke kwenye makazi ya watu. Kama Urusi ingetumia siku tatu kumaliza vita, hao milioni 3 waliohama nchi wangekuwa marehemu leo. Understood, Joe?
Anafuata mkumbo huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni uongo toka umezaliwa vita ngapi umezishuhudia zilizo sababisha vifo vingi vya watu wasiokua na hati tena Nchi moja inashambuliwa kundi la Nchi nyingi, Libya Iraq,Syria, Palestine, Afghanistan, hii vita ya Russia kwa kua anawaua wazungu imekuuma sana unasahau hapa jirani yako Congo, Mali, Somalia Sudani watuwanauliwa kila siku na haustuki..
Wao kazi yao kuleta fitina tuHawa jamaa sijui vipi Russia ndio yakuishiwa silaha? Mijitu iliyo jipanga miaka na miaka kuuzima mziki wa nato. Asee nilicho wakubali NATO Ni propaganda asee Ni levo nyingine kbsa. Hata Mai Mai hawajawahi kuishiwa silaha.
Huko Russia Kuna shehena kubwa ya silaha kuliko kitu kingine chochote kile. Yaaani Kuna madozen ya silaha kiasi kwamba wakisema wanayagawa tunauwezo wa kugawana dunia nzimana bado mengine tukawasusia. Hivi Russia ya kuishiwa silaha kweli.
ROHO IMENIUMA SANA kutokana na ujinga huu.. mlianza na mafuta leo silaha kesho sijui Nini?
Yaan russia anashindwa kujitengenezea/kujitosheleza kwa madawa yake mwenyewe mpaka anaendelea pata supply ya makampuni ya kibeberu kama Pfizer! kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai!Pfizer has announced that it will continue to supply medicines to Russia.
“A voluntary pause in the supply of medicines to Russia would be a direct violation of our fundamental principle to put the interests of patients at the forefront. Termination of the supply of medicines would result in significant suffering and potential death for patients, especially children and the elderly, ”the company said in a statement.
At the same time, Pfizer made a reservation that the profits from the supplies will be directed "to humanitarian aid to the Ukrainian people," RIA Novosti reports.
Also, the American company refused to conduct new clinical trials in Russia and planned investments in organizing its own production in the country.
Nangoja ajibu lini wanajiunga NATO. Hilo tu![emoji15] he..mmetoka kwenye mapango si mlikimbia nyie
Huu ndo uchambuzi sahihi sasaHapa Kuna ushabiki maandazi tu haku a fact.
USA yenyewe imekiri hadharani kuwa haiwezi kuingia kivita na Russia maana inaelewa kbsa haitoweza kushinda. Kama NATO wananguvu kwanini wasimzuie mrusi. Mrusi kwingia Ukraine kwa silaha ambazo Kila mtu anazijua ten hakuna silaha ya kizazi Cha tano aliyo ingia nayo vitani. Anaye bisha aitaje silaha ya kuanzia 4±generation ambayo urusi kaitumia. Ivi wewe usiejua hata ghala kuu la brigedi hata Moja ya Tanzania achilia ghala kuu la jeshi uje ujifanye unaijua Sana urusi,na siraha zao. Hayo ma Bm smash yenyewe inasemekana tu kuwa yametumika kuipiga Kiev lakini hakuna utbibitisho wowote.
Mnadhani uchambuzi wa kijeshi upo Kama wa mpila. Jeshi mpaka linachukua silaha ujue limejiridhisha kua ita wasaidia. Inachambuliwa silaha,mashine (mobile instrument),mapigo,shabaha na madhara. Sasa niambie silaha gani ilooenda vitani imeshindwa kubadilisha matokeo. W
Watu wanatupa silaha na kutokomea wakiwa na silaha za kisasa wanazikimbia silaha za miaka ya 60.
Huko idbil unaambiwa wamevamiwa na masniper. Wanakiwaeha si kitoto yaaani.
Alafu ukumbuke offensive sio sawa na defensive maana unaenda kwaadui ambaye anasapoti ya mazingila anakusubiri ufike sehemu ambayo haina msaada ndio unashushiwa vituz. Mnakumbuka 78/79 masaka ilipigwa mizinga kwa masaa 24 ndio kutekwa mji we unafikiri Russia wanashindwa?. Yaaani zelensky amecheza Sana kuwaasa raia waendelee kubaki field area maana mrusi inabidi aje ili aje kwenye 18. Hamjiulizi kwanini huko kwenye makambi na porini hakuna ushindani, maana zinashushwa roketi alfajiri asubuhi watu wanajinyakulia base. Sasa mjini Ni ile hali raia kupewa Kinga ndio inatia ugumu maana hujui adui yupo jengo gani na yupo na Nani lakini wakijua jngo Fulani linaleta upinzani hapo aangaliwi mtoto Wala Mzee Ni kulishushatu.