Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nani kasema urusi yuko vitani, ye yupo kwenye mazoezi lini ukaona vita unatoa taarifa maraia wasepe kabla ya kushusha kipigo
 
NATO haikufanya nini? Seriously? Do you recall, or better yet, read, your history?
NATO haikuhusika katika hayo, hakika. Marekani ilihusika lakini Marekani si NATO. Mara kadhaa pamoja na Uingeeza, lakini NATO ni kitu kingine. Vietnam ilikuwa vita kubwa ya Marekani, lakini NATO haikuhusika.
Irak mara ya kwanza Marekani iliingia pamoja na uingereza kwa sababu waliitwa na Waarabu majirani wa Irak baada Saddam kushambulia na kuvamia Kuweit. Msingi ya hatua dhidi ya Irakilikuwa azimio la umoja wa mataifa. Vita ya pili dhidi Irak Marekani ilishambulia pamoja na Uingereza na Waarabu lakini NATO ilibaki nje, wala Ufaransa wala Ujerumani wala Kanada hawakushiriki.
Ona ramani ya nchi zilizoshikamana na Marekani dhidi Irak mwaka 2003. Tofauti na ramani ya NATO unajua?
 
Yule kamanda wa ^Chechens^ akisoma maneno haya, na kutazama hali halisi field huko Ukraine atacheka sana hatari!
Jamaa yupo kwenye hatari kubwa mno. Kwanza anachukiwa na faction iliyoshindwa huko kwenye vita vya pili vya Chechen. Kujiexpose vile ni hatari kwake maana msafara wake ni lazima ulindwe mno. Yani ajichunge sana maana waChechen wanaweza kufurahi muda wowote
 
Elon Musk trolls on Twitter:

“Netflix is waiting for the end of the war to make a film about a black guy from Ukraine who falls in love with a transgender Russian soldier.”
Galip SV Liwagu
 
The reason you hate Putin: Because your mind cannot see the real issues involved in the conflict. Siamini kama kweli ^umejifunza mambo mengi,^ kama usemavyo!
Mie nimeamua kumuacha TU.
Naona haelewi kitu kabisa.
Au ni movie za USA na akina Beyonce na akina Shakila ndo wanchengua.
Haijui vizuri USA katika masula ya vita na uchochezi.
Na naona hajui kua Urusi ana haki ya kujilinda na hajua kua USA. Ndio kachokoza hii vita.
 
"United Russia" proposes to introduce responsibility for following the sanctions within the country.

“We propose to establish strict, including criminal, liability for such entities, their leaders for following and implementing Western sanctions,” said Andrei Turchak, secretary of the party’s general council.
Galip SV Liwagu
 

Wasiseme ^Germany won't boycott,^ bali waseme ^Germany cannot afford to boycott!^ We understand! Waombeni ushauri watu wa Hungary.
 
sawa kabisa ila walimfupisha. Alisema hatukati sasa hivi maana tunataka kubaki na nguvu kusaidia Ukraine kwa hiyo tunaendelea kupunguza manunuzi kwa kasi yetu.
Miezi ijayo anataka kukata kununua makaa kutoka Urusi, hadi mwisho wa mwaka mafuta kutoka Mrusi. Gesi bado kidogo, ameanza kujenga bandari kwa meli za gesi itamalizika mwaka ujao halafu kujenga akiba ya gesi na kupunguza tena manunuzi ya gesi kuanzia mwaka ujao. Alichosema ni, wakisimamisha sasa yote kuna hatari watakosa nguvu ya kuendelea baadaye. Anachagua njia tofauti.
Dalili si nzuri kwa Urusi, hata wakiendelea kupata pesa bado kwa muda kutoka biashara ya gesi.

Tokeo ni ajabu kidogo: Urusi inapeleka gesi Ujerumani, Ujerumani inaendeleza uchumi wake na kununulia Ukraine hizo stinger za mkononi, zitakazoharibu vifaru vya Urusi, vinavyolipiwa kwa pesa ambayo Urusi inapokea kutoka Ujerumani.
Mantiki ya vita!
hata hivyo, kama Puin angetaka kuangusha uchumi wa Ujerumani angesimamisha gesi mara moja. Sehemu kubwa za tasnia zingekwama huko Ujerumani, pamoja na wafanyakazi kukosa ajira..
Lakini Putin hasimamishi gesi kwa sababu uchumi wake unaporomoka anahitaji kila senti ilhali maji yamefika shingoni kwake.
 
It really doesn't make sense to YOU (AMERICANATO), because you are used to genocide and indiscriminate killing--Iraq, Iran, Syria, Afghanistan, and everywhere on earth!
 

Karibu USA na NATO ambako wako tayari kufreeze na kuseize mali kidogo za kampuni kama Chelsea, kwa kisingizio cha kum-contain Putin, all the while wao wenyewe wanaendelea kupump billions Russia kupitia demands za nishati gesi na mafuta. Hypocrisy at work!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…