Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu niwie radhi kuita hoja zako ni za KIPUUZI sana

Yaani wewe ulioko kwa Mpalange Manzese kwa mfuga mbwa ulikua unajua Russia itaivamia Ukraine lakini eti wanajeshi wenyewe walikua hawajui?

Yaani unapeleka askari wako kwenye very serious military operation na huwaambii ukweli unawadanganya tunaenda mazoezini? Unapeleka wanajeshi vitani kama makondoo?
Hizi westen media zinawadanganya sana na mnadanganyika kitoto namna hii
 
Kutia huruma na kutafuta huruma ndicho mulichobaki nacho.
Naona sasa pro NATO mnaishi kwa matumaini😂😂😂😂😂😂
 
Sorry! Which Kiev are you talking about, even? Will you define your terms for us.
 
Nimejuaje?uliyemjibu alikuwa amequote ID inayoitwa Joannah wewe ukanitag mimi...kwanini unitag mimi wakati Joannah na mimi Joanah ni tofauti?
Don't make me laugh! Yaani nilipozungumzia issue ya uchumba wako na Putin ndiyo umekasirikiwa hivi? Don't worry! I'll talk to him. I'm not planning to talk him from you. Leo alikuwa na phone call na ^officiel^ wa Luxembourg. Hivi Zelensky yuko wapi? Nasikia jana alikuwa outing Alaska!
 
Niko hapa! mpaka siku jeshi la urudi linakimbia Ukraine Kama wale wengine walikimbiaga Afghanistan,ukiona hunioni ujue Niko nje ya mji network inazingua
Poa..Red Army ita withdraw baada ya kukamilisha malengo tuliyokubalina hapo awali ya kuhakikisha Ukraine inabaki kama Somalia au Mali
 
Kwa kipigo kile walichopewa na Putin, usidhani hawa wanaelewa hoja yoyote sasa hivi. Wanahitaji chochote positive hata kama si halisi, japo waendelee kusavaivu. What else can you tell a poor patient who has succumbed to a terminal illness?
 
Balozi mstaafu wa Marekani nchini China, Gary Locke, amesema kuwa China ndiyo itakayonufaika na kuibuka 'mshindi' ktk vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nishati na mazao (ya kilimo) ya Russia.

Balozi huyo akafafanua kuwa Russia atakuwa akimuuzia nishati hizo na mazao hayo China. China itajifanya kukubaliana na vikwazo hivyo lakini haitovifanyia kazi. Balozi huyo akaongeza kuwa Russia na China walikuwa tayari wameshatengeneza mifumo yao wenyewe ya kufanya miamala ya kipesa (biashara) itayowawezesha kukwepa vikwazo hivi.

======

 
“I would not advise you to compete with Putin. Too different weight categories.

Kadyrov turned to Elon Musk, who challenged Vladimir Putin to a duel:

"How do you imagine it? You are in the red corner of the ring - a businessman and a twitter blogger. Putin in blue is a world politician, strategist, a thunderstorm of the West and the USA. Vladimir Vladimirovich will look unsportsmanlike when he beats a weaker opponent.

The head of Chechnya suggested that the businessman be trained in the centers of the republic: "You will return as a completely different person, Ilona, that is, Ilon."
Galip SV Liwagu
 
Ananifurahisha sana ramazan kadyrov.....
Nimemfollow Telegram, anaonekana ni mtu wa masihara sana
 
Hizo systems zina uwezo ila ni ile mganga hajigangi, kama hapo imekuwa ambushed sijui au imekimbizwa sana ikapata ajari. Kazi yake kulinda anga la juu ila kwa anga la kati na chini sio kazi yake. Ndio maana zina operation range kwamba kuanzia range flani hadi range flani, hizo ukizishambulia within 5km haziwezi poteza missile yenye gharama kubwa sana kuzuia drone ya gharama labda 1/4 yake. Ndio maana kuna system ndogo kina Pantsir, Tor, electronic warfare systems na anti drones. Ukiona S-300 zimepigwa na drone au vikombola vidogo sio kosa lake. Air defence ni wigo mpana wa kushirikisha systems tofauti
 
Kwamba walikuambia watapokelewa kwa maua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…