Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Well said, we jaribu kifatilia maelezo yake linapokuja suala ya uwezo wa kijeshi wa USA masaa yote unaweza kufikiri anapewa handouts za jeshi la Merikani ku propagate propaganda za MoD ili kutishia Banana Republics tu - napongeza sana Uchina by cutting American military to size.Unachekeshaga mda mwingine naona unaongelea mahaba zaidi kuliko uhalisia vipi Lin ulisikia kamala harson siku za karibuni kwenye shughuli zake zaidi ya ziara ya mwaka Jana tu afrika, alafu kila nchi inamfumo wake wa uongozi nchi nying za west waziri mkuu ndyo mtendaji mkuu na mratibu wa shughuli zote serikalin,miswada, sheria na miongozo yote wanasimamia na kuiratib wao raisi ni kama kivuli tu muidhinishaji vipi Lin ulisikia waziri mkuu wa China ameongelewa kokote au wajitoa ufahamu.
Alafu kila jeshi ni dhaifu sehemu yake ata awoo marekani unaowasifia kila ssiku kwamba wako competent kwenye maeneo mengi ni ssababu alipigana na vinchi ambavyo vilikosa usaidizi kokote kule Vietnam alikimbia baada ya kupata aibu ya karne au kudanganya namba ya watu waliokufa vitani. Ukrein anapata usaidizi kama aliopat vietnamu miaka ya nyuma tena zaidi ya kile ambacho vietnamu alikipata ila kurudisha ayo maeneo msahau tu itakuwa yaleyale ya Finland maeneo mchukuliwe alafu kkwenye vitabu mtaandika Russia alishindwa ili kujipoza machungu
Mkuu, hapana shida uko sahihi.
Hakuna alegundua Hybrid Warfare isipokuwa kuna nadharia (Theory) ambayo ilipendekezwa na mwandishi wa vitabu vya vita na sera za mambo ya nje aitwae Dr Frank G Hoffmam.
Ndiye aliependekeza hii nadharia ya Hybrid Warfare katika papers zake mbili "Hybrid Warfare and Challenges" na kingine cha "The Rise of Hybrid Wars".
Kwahiyo kusema kwamba jenerali Gerasimov ndie aliegundua ni jambo ambalo si kweli.
Kupigwa daraja anasema ni ugaidi sasa yale anayoyafanya yeye ya kuvunja majengo,hospital njia kuziharibu na mengineyo tuite ni nini?Putin promised Russia's response to the terrorist attack on the Crimean bridge: the Ministry of Defense is preparing appropriate proposals
Wasije wakalialia tu sijui war crimes,sasa hivi hakuna anayesema hilo kutoka west!Putin promised Russia's response to the terrorist attack on the Crimean bridge: the Ministry of Defense is preparing appropriate proposals
Dunia hii imejaa double standard!Kupigwa daraja anasema ni ugaidi sasa yale anayoyafanya yeye ya kuvunja majengo,hospital njia kuziharibu na mengineyo tuite ni nini?
Ugaidi ni kuharibiwa vya urusi ila vya Ukraine ni haki ati ndugu yangu mzanzibar?
Hiyo ndio tafsiri ya wakubwa. Wakubwa kumiliki Silaha za nyuklia ni halali ila wadogo ni kharam refer Iraq na North KoreaKupigwa daraja anasema ni ugaidi sasa yale anayoyafanya yeye ya kuvunja majengo,hospital njia kuziharibu na mengineyo tuite ni nini?
Ugaidi ni kuharibiwa vya urusi ila vya Ukraine ni haki ati ndugu yangu mzanzibar?
Ilikuwaje Biden akawa Rais wa Marekani maana hata hajui jina la Nchi yake.Huyu Medvedev ilikuwaje akawa Rais wa taifa kama Urusi maana mropokaji sana.
Mpaka Mandela anatoka gerezani marekani alikuwa anamtambua kama gaidi, uliza kafanya kitendo gani cha kigaidi????Wakati nchi za Afrika zinapigania uhuru wao, russia na China wali zisapoti Kwa siraha na mafunzo.kumbukumbu mbaya zaidi Kwa mwafrika ni pale utawala wa makaburu wa south Africa walipokuwa wanasaidiwa na Marekani na Uingereza kuwakandamiza watu weusi. Na kusaidia vikundi vya waasi kama mile Cha savimbi UNITA Leo hii Kuna watu wanawaona wamarekani kuwa ni wakombozi wa dunia kichekesho.
halafu kwenye mazishi yake walikuwa wanamshangilia ObamaMpaka Mandela anatoka gerezani marekani alikuwa anamtambua kama gaidi, uliza kafanya kitendo gani cha kigaidi????
Kulipua daraja ndio mwisho wa vita na ushindi wa Ukraine?Your questions answered: If Western weapons are used to attack Crimea, is it directly involved in the conflict?
We have been putting your questions on the war to our experts and senior correspondents.
The latest comes from John, who asks whether Moscow can claim the US and UK are in direct confrontation with Russia if GMLRS and Storm Shadow missiles are used in an attempt to liberate Crimea.
Military analyst Sean Bell replies...
Following Russia's illegal invasion of Ukraine, the West has been steadily increasing the military aid provided to help Ukraine defeat the Russian aggressor. To date, this aid has not included military fighter jets but even that capability is now being discussed and it looks very likely that Ukraine will secure Western support to develop its own nascent air power capability in due course.
A key factor has been the West's increasing confidence that weapons supplied will not be used to attack Russian territory; this would risk escalating the conflict. Weapons such as Storm Shadow have a 300-mile range and could be used to target military capability well inside Russia itself, so Ukrainian reassurances have been critical.
The challenge for Ukraine is that they would almost certainly want to take the fight to Russia and not be constrained to fighting only on Ukrainian territory; however, needs must.
Long-range weapons do provide Ukraine the opportunity to target Russian logistics supplies and ammunition dumps β usually held some way back from the frontline. With Storm Shadow, all Russian military forces in occupied Ukraine are within range β a huge advantage for the current phase of Ukraine's counteroffensive.
Before Ukraine's attention can turn to Crimea, it must break down the established and formidable layered Russian defences stretching from Zaporizhzhia to the Donbas. Even then, although a relatively small land area, history suggests it will be very difficult for Ukraine to successfully liberate Crimea - not least because its enduring fortified defences withstood the Nazi forces in the Second World War.
In addition, currently the Russians are having to defend a 1,200km front line, leaving forces stretched, but if Russian forces had retreated to Crimea, their frontline would have shrunk considerably so they would have significantly greater density and strength in depth.
Russia considers Crimea to be Russian for historical reasons. If Crimea were under sustained and determined attack, Vladimir Putin might feel obliged to use all means at his disposal to avoid losing this strategically important asset.
However, even then, this would be a fight between Ukraine and Russia, and it is hard to see the West having any appetite to get directly involved.
==========================
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea