NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kwahiyo wachechen hawampendi RAMZAN??Jamaa yupo kwenye hatari kubwa mno. Kwanza anachukiwa na faction iliyoshindwa huko kwenye vita vya pili vya Chechen. Kujiexpose vile ni hatari kwake maana msafara wake ni lazima ulindwe mno. Yani ajichunge sana maana waChechen wanaweza kufurahi muda wowote
Bado hujajibu swali mkuu? Hapo si ringanishi ni swali tu la ufahamu maana unachukulia poa sana military operations. Ukiweza kujibu Hilo swali utaelewa dhamira ya ilo swali. Simple n clear. CapicceNdugu unalinganishaje Tanzania na Russia?
Ila watu, mnawazaga nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chaberline was not a comedian as Zelensky is.Even Winston was on his own. French fell, Belgium, Netherland, Russia was on the side of Hitler. All other had surrendered. USA was not in a war as most people did not want their sons to die in a foreigner land. Conservatives did not want Churchill they viewed him with suspicious. They wanted Lord Halifax to take over. Chamberlin was thinking of surrendering. Just imagine alone in the cabinet full of people with the view if negotiating with Hitler. He stood alone but he won because he had courage. Bringing back those men from Dunkirk was a miracle. He did it with God and courage. Zelenski will get help along the way. Now he has to show courage and fight with all his mighty. Kiev is still standing with all the shelling.
Hahahaha nimecheka huo mfano Mkuu.Watu hawaelewi hiyo dhana ya uhuru na mapana yake.
Ety tuko kwenye meli katikati ya bahari mwenye meli
aamue kuitoboa tundu meli useme ana uhuru wa kufanya hivyo kwa sababu ni yake,
wakati anahatarisha usalama wangu hata kama nimeomba lift sitakubali.
🤣🤣🤣🤣🤣,So utulie Basi....kiUkrane hicho[emoji1787][emo,ji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiko ndio ki Russia
Aaah we nawe unanimaliza maarifa!mi nikajua kipigo kweli kumbe vipropaganga vya ZZZZZZZZ!Kipigo kinaendeleaView attachment 2150351
Aaah we nawe unanimaliza maarifa!mi nikajua kipigo kweli kumbe vipropaganga vya ZZZZZZZZ!Kipigo kinaendeleaView attachment 2150351
Nyie na nani? Ingieni basi unadhani kuna kupasua tofali pale?? Unacheza makida weweInaonekana kwa point waliyofikia russia hata tukiingia sisi vitani tunaweza kumaliza show
Watu Wetu hawasomi wanakimbia kimbia kama kuku shingoUSA na ukubwa wake wote na nguvu alizonazo lakini kuna vifaa vya kijeshi baadhi ananunua kwa Mfaransa. Kumbuka hata uwe mkubwa wa kiasi gani still hutakuwa na kila kitu. Hivi kwa mfano Tz ingekuwa inatengeneza mishale na mikuki bora halafu jeshi la Marekani lihitaji kwa ajili ya operation zake misituni, TUNGESEMA USA KAZIDIWA NA HANA UWEZO??
Ubongo wa mwanadamu una uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo, hivyo TUTUMIE BONGO ZETU kikamilifu
Nani anataka kuchumbiwa na Milembe?Sorry? Did you just say ^kutompenda^? Kakuchumbia kwani?
Aisee siwapendi Russia Ila jibu lako limenichekesha Sana....nikapata picha makomando wa Siku ya UhuruNyie na nani? Ingieni basi unadhani kuna kupasua tofali pale?? Unacheza makida wewe
Je?USA aliipiga hivyo mabomu hovyohovyo Venezuela?Huu ni muendelezo kama ule wa Russia walipotaka kuweka kambi yao ya kijeshi kwenye nchi inayopakana na USA
Palikua hapatoshi
Ulaya wanaogopa sana magaidi ila naona Urusi kaamua kuwamwagia 😆NGO ya 'The Syrian Observatory for Human Rights (SOHR)', leo imesema kuwa wapiganaji vita 40,000 wa Syria wapo tayari kwenda kupigana bega kwa bega na majeshi ya Putin nchini Ukraine. Idadi hiyo ya wapiganaji kwa sasa imeongezeka mara dufu ya ile iliyotangazwa siku chache zilizopita na Waziri wa Ulinzi wa Russia (wapiganaji 16,000)
View attachment 2150400
Ye mwache ajifanye maskio Kama nyau![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]View attachment 2150359
Huyu jamaa angekuwa ndio Putin sijui Ukraine ingekuwa katika hali gani?Ananifurahisha sana ramazan kadyrov.....
Nimemfollow Telegram, anaonekana ni mtu wa masihara sana
How sure you are Kama sijaongelea yanayofanyika Syria?Weka mada mezani nikupe misimamo yangu,siwezi kuwa mwehu thread inaongelea masuala currently ya Vita baina ya Ukraine na Russia Mimi nirukie kuongelea Vita ya Libya iliyopiganwa miaka kumi iliyopita,well ilishapigwa Maisha yanaendelea wanapambana kujenga Libya mpya Sasa niongelee nini hapo?Hujajibu swali, unataka peace mbna huajawai ongelea wanayofanyiwa Palestine, Iran, syria ,libya nk? Leo ukraine ndo useme peace kipindi mwafrica mwenzetu libya anapigwa hukuona leo ukraine unajifanya peace huu ndo unafiki ambao west wanawaambukiza