Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa Warusi waliotengeneza hizi Zala KYV kamikaze drones hawako serious. Betri za lithium nyingi badala ya kuweka moja kupunguza chance ya kufeli. Hizi drones nadhani zinaongoza kudondoka
 
Team Putin wakipeana moyo 😉
 
Waambie hao troops wenu watoke kwenye makazi ya watu. Kama Urusi ingetumia siku tatu kumaliza vita, hao milioni 3 waliohama nchi wangekuwa marehemu leo. Understood, Joe?
blaha blah as usual,lete hoja iliyoshiba hizi tushazichoka
 
Inashangaza sana kwa kweli.
West kwa propaganda Urusi ajipange.
Ila kiuhalisia Urusi ni noma.
NATO wameshindwa kumsaidia Zelensky,wanampa vijisilaha ajitegemee.
Urusi jeshi la mtu mmoja kawatuliza.
Ongeza kashata tumalizie gahawa
 
Hizi ni kwa ajili ya reconnaissance na ni disposable maana hutuma picha HQ
Hizo ni multi-purpose zinafungwa vifaa vya reconnaissance kama camera au vinafungwa explosives. Kanabeba mzigo wa kama kilo mbili hivi na kuzunguka angani kama lisaa na nusu. Sasa kwa utengenezaji huu wa betri za ovyo ovyo utadhani walinunua dukani. Hizi si ni kama AA size
 
Kashata zimepungua huku Mkuu,bado birika la gahawa limejaa tele🙂
 
Hizi blah blah sasa ni week ya tatu tushazizoea,nilitegemea uje na hoja iliyoshiba lakini siyo hii uliyoleta hapa.
 
Warusi pia wapo juu kiteknolojia na ndo maana nikasema hizo ni zile ambazo ni disposable.

Zatumwa nyingi na jamaa wa espionage walio ndani ya eneo la adui na kisha zafanya reconnaissance na kutuma picha makao makuu ambayo kwa ufanisi itakuwa ni Belarus.

Russia pia atengeneza silaha na kiteknolijia na ana wanunuzi wake akiwemo mchina.
 
Marekani imekataa wazo hilo.
Mbona unasema ^Marekani imekataa wazo hilo^? Marekani haikukataa ila ALIOGOPA! Alitaka kumsukumia Mpolandi hilo seke2, kama alivyomghilibu Zelensky (of course, na wengine wengi).

Ndivyo alivyowachomea wapiganaji wa Middle East. Anawaingiza vitani kwa ahadi za msaada, then moto ukiwaka, anawaacha! Remember the Kurds?
 
Hizi blah blah sasa ni week ya tatu tushazizoea,nilitegemea uje na hoja iliyoshiba lakini siyo hii uliyoleta hapa.
Umezichoka, au umeshindwa kujibu?

Nawashangaa sana wale wanaouliza kwa nini vita haikuisha ile dei wani. Kwa maneno mengine wanasema wangetamani kuona damu, vilema na vifo vya watu wengi wasio na hatia.

Because kitendo cha Urusi kudilei oparesheni yake kinaonesha nia njema ya kuwaruhusu rai wasio na hatia waondoke. Mrusi anashida na professional Comedian wenu.

But Zelensky, Marekani & NATO wanatumia mwanya huo kuwashambulia troops wa Urusi, kuingiza silaha na kupanga mashambulizi mapya, ikiwa ni pamoja na kuchochea propaganda na chuki dhidi ya Urusi. Bila kusahau kulialia, as usual.

Lengo la vibosire wachache wapenda vita wa Marekani na NATO ni kufaidika kadiri iwezavyo kwenye vita hivi.
 

​

Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO​


Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the General Assembly of the United Nations (New York, 25-29 September and 1 October 2012).
 
Mwenye utashi wake tu asie na fikra za kuazima ndo anaeza kukiona hicho kitu.
 
Basi nikajua nitaikuta Ukrain haipo kabisa kwa Ulimwengu ,kumbe bado wapo bwana
Nyamizi Kiev pamekuwa mwiba mkali kwa russia hapaingiliki kiboya boya, russia alifikiri ni rahisi rahisi tu kama vile anaingia ndani ya mkoa wa russia sasa anachokutana nacho haamini anaishia kwa hasira kupiga mabomu majengo. Siku ya 19 leo anambwelambwela kuingia Kyiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…