Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazungu hawajawahi kuwa wazuri maishani, Alisema hizo siraha Nitakuja kuzilipia sio bure, Kila misaada inayokuja ina price ya kuja kulipia. But if yeye akibaki kuwa President [emoji38] Akipinduliwa basi.
Lakin Deni huwa ni deni la Taifa so la kiongozi aliyepo madarakani.... So nahis litaongezewa kwenye deni lao la taifa sa hivi wanachuchumia kwenye 70+Billion Dollars ka si sikosei... Ukiongeza na hizi zinazoingia nchini apo ndani ya week tatu tangu mgogoro uanze ndo maana IMF wanasema Uchumi wa Ukraine unaeza poromoka kwa 35%.....
 
Inavyoelekea Ukraine itakuwa chini ya Russia.
 
Punguza maelezo nani asome huo mzigo?.
 
Dmitry Medvedev ndo mtu mwenye cheo kikubwa. ukimtoa Putin anayefata ni yeye ndani ya Russia, yeye ni (Deputy Chairman of the Security Council of Russia)
 
Uko sahihi, Nilimanisha! Akibaki yeye Ulipwaji utakuwa smoothly tofauti na akingia mtu mwingine.
 
“Reports and materials are published solely aimed at making Russia the aggressor.”

Russian Ambassador to the United States Anatoly Antonov stated that the majority of Western media "imposes on the audience a one-sided perception of events in Ukraine."

He noted that there is no question of any freedom of speech when YouTube blocks Russian media, and social networks legalize violence against Russians. In addition, Antonov drew attention to the fact that American TV channels did not show a single report about an attempt by the Armed Forces of Ukraine to hit Tochka-U in the center of Donetsk.

The cluster munition rocket was shot down, but the debris killed more than 20 civilians and wounded about 30. “It feels like nobody cares,” Antonov told Newsweek.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
Well nimeupenda ulivyoongea,Mimi naomba tu nikwambie ukweli Mimi sio mdau wa ubabe wa magharibi!Sipendi vile USA anavyojifanyaga yeye ndio kiranja wa dunia,Sipendi kiongozi yeyote anaengilia mipaka na uhuru wa nchi nyingine!hii ndio Sababu nimemchukia Putin, before hii Vita nilikuwa nampenda nilidhani huyu ndio anaweza tunishiana misuli na USA,Sasa kwenda kutunishiana misuli na ka nchi alikokazidi hapo ndio kaniudhi Sana! Kama source Ni hayo ma military base ya NATO kwa vile yeye Ni big fish alikuwa na uwezo wa kupiga biti hao NATO Kama alivyowapiga biti la kutojaribu kuingia kwenye Vita na wametulia,Sasa yeye na kipara chake kile kakurupuka kuua watu.
Kuhusu habari hiyo Ni kawaida Sana kila upande huwa wanatetea upande aupendao so huwezi amini kila kinachoandikwa. Mfano Mimi na wewe hapa tuambiwe tuandike habari za Vita we mwenyewe unajua hizo habari zitakuwaje!
 
Top news for the day:

— The US State Department announced the introduction of restrictive measures against 11 high-ranking representatives of the Russian defense sector. The Japanese government also imposed personal sanctions against 17 individuals from Russia;

- negotiations between Russia and Ukraine will continue on March 15, Volodymyr Zelensky said;

- Sanctions against Russia will have a serious impact on global GDP, says World Bank President David Malpass;

The US administration is not currently discussing with Venezuela the possibility of importing Venezuelan oil, the White House said.
Galip SV Liwagu
 
Uwe unadandia kwa nyuma Ni salama kwako zaidi kuliko kwa mbele.
 
Joannah asipoelewa hii,basi ujue ana mahaba ya dhati ha Yankees.
Hajali hisia za Urusi juu ya usalama wake.
Mpe mfano mdogo TU.
Je USA Yuko tayari Russia irudishe nukes Cuba,au Russo apeleke nukes Mexico?
Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
 
CNBC News:

Mpaka jana (siku ya 19 ya vita vya Ukraine) Russia kishavurumisha makombora zaidi ya 900 kushambulia Ukraine, asema afisa wa Ulinzi wa Marekani. Makombora hayo yanahusisha makombora ya balistiki na cruise; ya masafa mafupi na ya kati.

Jamaa ananyesheleza makombora kwa wingi zaidi ndani ya muda mfupi.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…